Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kamfano kazuri sana, simple, clear and understandableChochote kinachotokea hapa duniani huwa kina chanzo. Ukiangalia chanzo cha mgogoro uliopo kati ya Urusi na Ukrane, ni mmojawapo kuwa tayari kujiunga na NATO, ambapo kwa hali ya usalama kwa Urusi, ungekuwa ni mdogo.
Ni sawa na ujenge nyumba kubwa nzuri , uoe mwanamke mrembo aliyemaliza chuo mwaka jana na ukaishi naye; baada ya mwezi mmoja , ukasikia jirani yako mnaeshea naye ukuta, anataka apangishe nyumba yake kwa mpenzi wa zamani wa mkeo aliyesoma naye chuo.
Hapo lazima, uwe mkali kwa sababu itakuwa ni hatari kwa ndoa yako. Hicho ndio chanzo cha mgogoro unaoendelea kwa sasa.
Usijali.Ufaransa itawatuma RPF kama ilivyofanya MozambiqueTuwaombee Ukraine.
π€£π€£π€£π€£Ha ha ha ha ha
Binafsi sipendi vita, na sipendi kuona mtu au nchi ikichukua uhuru wa nchi nyingine.
LAKINI naweza kusema kwamba Rais Putin yuko sahihi kulinda maslahi ya nchi yake. Kumbuka Ukraine ni zao la USSR, kwa namna moja hii ni sawa na territory au state ndani ya USSR...Ingawa hii haifanyi kazi au sio hoja kwa sasa.
Hoja ni kwamba NATO inatumiwa na US kwa nia ya kutaka kuisambaratisha Russia. Putin kuzuia uwepo silaha za NATO ndani ya Ukraine ni sawa na US ilipopiga Cuba sanctions kwa kuruhusu Russia kuweka silaha zake pale. Russia hakuwa na nguvu tena Cuba, na uchumi wa Cuba ukambaratika. Juzi juzi Russia imetaka kusaidia Venezuela, US kapiga pin kufanya mpango wa kumuondoa kiongozi madaraka. Huwezi temper na US security na interests akuache salama, sasa sijui kwa yeye ni ngumu kukubali wengine kulinda interests zao.
Ni kweli US hajapora ardhi, ila madhila alioyoacha Iraq, Afghanistan, Iran ni makubwa sana...yaan bora angechukua nchi maana wananchi wasingekuwa wanahaha na ugumu wa maisha.
USA ina sifa kubwa ya kutetea demokrasia na haki na kutoa misaada yenye kugusa maisha ya watu maskini na wahitaji (binafsi dola ya mmarekani imenisaidia binafsi), ILA ktk agenda ya democracy kuna linaumiza baadhi ya watu.
π€£π€£π€£π€£Ha ha ha ha ha
Ndio maana Tanzania Taifa bora barani Afrika lina sera ya KUTOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTEπͺ
SIEMPRE JMTπ
Huyu jamaa akili hana kabisa aiseehii Analysis umeitoa wapi?
Jichunguze mazee.mdogo wangu nyani na wewe umeingia mtego wa "maamuma"? unashabikia nchi huru kuvamiwa?
MAREKANI KWA MIAKA 300 ya uhuru imewahi kuiteka nchi na kuifanya sehemu yake? Iraq , Libya, somalia zimechukuliwa na kufanywa sehemu za USA?
URUSI wanavamia na kuteka nchi na kuzifanya sehemu zake, wewe upo hapo?
tatizo la Tz utapiamlo wa akili.
π€£π€£Umeandika as if Russia ni Burundi
Na inaelekea hana pa kutokea.The Russians are going into Kyiv now with the intention of capturing and killing the President and his family.
Is the US and Europe going to continue to stand by ?
π³π³π³π³π³Huyu Puttin ni chizi na mashabiki wake mtajionea muda si mrefu kuwa jamaa hamnazo.
Akiachwa, kesho atavamia nchi nyingine akihisi kuwa anaogopewa, ila watu wakikshiwa uvumilivu, basi tujiandae kwa vita ya tatu ya dunia siku moja huko mbeleni na Puttin akiwa ndio chanzo.
Poland akiingia vitani na mrusi, Marekani na mataifa mengine ya ulaya wataisadia Poland, na hapo ndio mgogoro utakuwa mkubwa zaid.
Hii imekaaje?Breaking news:
Several explosions are heard in the Ukrainian capital Kyiv
There are reports of Russian troops advancing on Kyiv
Ukrainian officials say Russia has carried out missile attacks on the city
At least one apartment building in the capital badly damaged - reports say three people injured
Ukrainian President Zelensky addressed the nation and has appealed to Russia for a ceasefire
He says 137 Ukrainian citizens - both soldiers and civilians - died on Thursday
Zelensky spoke to UK PM Boris Johnson and pleaded with other Western allies to do more to stop Russia's assault
Russians seize control of the Chernobyl complex - site of the world's worst nuclear disaster
New sanctions on Russia, including asset freezes on banks, are imposed from Brussels to Canberra
President Vladimir Putin defends the invasion, saying there was no other way to defend Russia
BBC
Yaani nchi iko vitani halafu raia mnaandamana mitaani kuwatetea mahasimu ?!! π³π³π³Bwana wenu uko washa anza kuishiwa pesa. kageuka fisiemu gafra ana kamata Warusi wenzie wanao protest war
π€£π€£Hujui historia ya Marekani. Yale majimbo 52 yote hayakujiunga kwa hiari. Mengi yalitekwa na kuunganishwa kwa nguvu.