LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Chochote kinachotokea hapa duniani huwa kina chanzo. Ukiangalia chanzo cha mgogoro uliopo kati ya Urusi na Ukrane, ni mmojawapo kuwa tayari kujiunga na NATO, ambapo kwa hali ya usalama kwa Urusi, ungekuwa ni mdogo.

Ni sawa na ujenge nyumba kubwa nzuri , uoe mwanamke mrembo aliyemaliza chuo mwaka jana na ukaishi naye; baada ya mwezi mmoja , ukasikia jirani yako mnaeshea naye ukuta, anataka apangishe nyumba yake kwa mpenzi wa zamani wa mkeo aliyesoma naye chuo.

Hapo lazima, uwe mkali kwa sababu itakuwa ni hatari kwa ndoa yako. Hicho ndio chanzo cha mgogoro unaoendelea kwa sasa.
Kamfano kazuri sana, simple, clear and understandable
 
Hizi nyuzi zimekua nyingi mods wangeziunganisha maana kila baada ya dakika chache uzi unaanzishwa

Moderator
 
Breaking news:

Russian forces are in Kyiv - Ukraine officials

Russian operatives are now in Kyiv, Ukraine officials have confirmed in a tweet.
Ukraine's Defence Ministry said "the enemy" were in the district of Obolon.
They've encouraged locals to make Molotov cocktails to fight back, while also advising others to seek shelter.
"Peaceful residents- be careful. Do not leave the house!"
Our correspondents in Kyiv earlier reported hearing gunfire although they add it is impossible to know what it signifies at this point. They say they can now hear louder explosions too.
 
Binafsi sipendi vita, na sipendi kuona mtu au nchi ikichukua uhuru wa nchi nyingine.

LAKINI naweza kusema kwamba Rais Putin yuko sahihi kulinda maslahi ya nchi yake. Kumbuka Ukraine ni zao la USSR, kwa namna moja hii ni sawa na territory au state ndani ya USSR...Ingawa hii haifanyi kazi au sio hoja kwa sasa.

Hoja ni kwamba NATO inatumiwa na US kwa nia ya kutaka kuisambaratisha Russia. Putin kuzuia uwepo silaha za NATO ndani ya Ukraine ni sawa na US ilipopiga Cuba sanctions kwa kuruhusu Russia kuweka silaha zake pale. Russia hakuwa na nguvu tena Cuba, na uchumi wa Cuba ukambaratika. Juzi juzi Russia imetaka kusaidia Venezuela, US kapiga pin kufanya mpango wa kumuondoa kiongozi madaraka. Huwezi temper na US security na interests akuache salama, sasa sijui kwa yeye ni ngumu kukubali wengine kulinda interests zao.

Ni kweli US hajapora ardhi, ila madhila alioyoacha Iraq, Afghanistan, Iran ni makubwa sana...yaan bora angechukua nchi maana wananchi wasingekuwa wanahaha na ugumu wa maisha.

USA ina sifa kubwa ya kutetea demokrasia na haki na kutoa misaada yenye kugusa maisha ya watu maskini na wahitaji (binafsi dola ya mmarekani imenisaidia binafsi), ILA ktk agenda ya democracy kuna linaumiza baadhi ya watu.

USA NDIYE CHANZO CHA MATATIZO HAYA YOTE!
 
🤣🤣🤣🤣Ha ha ha ha ha

Ndio maana Tanzania Taifa bora barani Afrika lina sera ya KUTOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE💪

SIEMPRE JMT🙏

In other words: Bendera fuata upepo! Tungebaki na Mrusi au Mchina tangu enzi za Nyerere, ila dhana na falsafa ya ^donor country,^ leo ingekuwa zaidi ya halisi!
 
marekani alipo jaribu kuivamia Syria kwa manowari za kivita
Urusi ilipeleka meli mbili tu! Mmarekani akakimbia

Urusi ikachukua jimbo la Crimea marekani hakufanya kitu

Noth Korea imejihami kwa Uchina na Urusi marekani hawana la kumfanya kiduku

Tangu hapo kikafahamu kuwa Marekani siyo super power tena
 
mdogo wangu nyani na wewe umeingia mtego wa "maamuma"? unashabikia nchi huru kuvamiwa?
MAREKANI KWA MIAKA 300 ya uhuru imewahi kuiteka nchi na kuifanya sehemu yake? Iraq , Libya, somalia zimechukuliwa na kufanywa sehemu za USA?

URUSI wanavamia na kuteka nchi na kuzifanya sehemu zake, wewe upo hapo?

tatizo la Tz utapiamlo wa akili.
Jichunguze mazee.
 
Ukraine's military chief Valerii Zaluzhnyi said Friday that the country's army was successfully resisting Russian forces advancing from the north.

Zaluzhnyi said Ukrainian forces had been able to repel the breakthrough of Russian troops in the Chernihiv area north of the capital, Kyiv.
 
Huyu Puttin ni chizi na mashabiki wake mtajionea muda si mrefu kuwa jamaa hamnazo.

Akiachwa, kesho atavamia nchi nyingine akihisi kuwa anaogopewa, ila watu wakikshiwa uvumilivu, basi tujiandae kwa vita ya tatu ya dunia siku moja huko mbeleni na Puttin akiwa ndio chanzo.

Poland akiingia vitani na mrusi, Marekani na mataifa mengine ya ulaya wataisadia Poland, na hapo ndio mgogoro utakuwa mkubwa zaid.
😳😳😳😳😳
 
Breaking news:

Several explosions are heard in the Ukrainian capital Kyiv

There are reports of Russian troops advancing on Kyiv

Ukrainian officials say Russia has carried out missile attacks on the city

At least one apartment building in the capital badly damaged - reports say three people injured

Ukrainian President Zelensky addressed the nation and has appealed to Russia for a ceasefire

He says 137 Ukrainian citizens - both soldiers and civilians - died on Thursday

Zelensky spoke to UK PM Boris Johnson and pleaded with other Western allies to do more to stop Russia's assault

Russians seize control of the Chernobyl complex - site of the world's worst nuclear disaster

New sanctions on Russia, including asset freezes on banks, are imposed from Brussels to Canberra

President Vladimir Putin defends the invasion, saying there was no other way to defend Russia

BBC
Hii imekaaje?

Kwenye mitandao ya kijamii anatuonyesha anamdhibiti Urusi. Kwenye luninga anaomba misaada kwa west.
 
Bwana wenu uko washa anza kuishiwa pesa. kageuka fisiemu gafra ana kamata Warusi wenzie wanao protest war
Yaani nchi iko vitani halafu raia mnaandamana mitaani kuwatetea mahasimu ?!! 😳😳😳

Serikali ya Kremlin iko SAHIHI.....
 
Back
Top Bottom