Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Repeated explosions in Kyiv, explosions are also heard in the Dnieper and Cherkasy region
Recorded mass use of loitering ammunition
Nasikia umeme nchi nzima ukraine hamna.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] ni muda wa west kutuma tena magenerator mengine.waliyotuma juzi yashakarangwa
 
Afu Unamsikia mtu anasema russia hana technology ya maana.[emoji1][emoji1]
 
Usiku wa kuamkia leo huko Luhansk ile kiboko ya Russia imefanya kazi Himaars kambia ya jeshi imekaangwa vibaya sana tazama video hapo chini

 
A fragment of an AIM-120 anti-aircraft missile from the NASAMS complex fell on a car in Kiev[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]


Tumepigwa na kitu kizito hapa.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
I'la Kuna Jambo nyuma ya hili NATO dhidi ya Urusi Ni wafupi sana
 
Silaha za kawaida kabisa.
M777, himars Ni silaha za kawaida?
Bushmaster Ni silaha ya kawaida?
Starstreak,
Iris T,
NASAMS inayolinda pia ikulu ya Marekani Ni silaha za kawaida,
Patriot ijayo pia Ni ya kawaida?
 
Kuna Pro Russia mwenzako juzi hapo alisema Ukraine itatekwa Christmas, akasahau ni wiki ijayo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajua Nini alosema Hili SI huyo was mwanzo but Generali mkuu wa Ukraine ndo alikuja na wazo Hili hasa akisema pamekua na mkusanyiko wa silaha na majeshi katika mpaka wake na Belarus hivyo anafikiri pengine Russia ana mpango wa kurudi Kiev kabla ya krismas.
But kiuhalisia Ni mawazo TU ya jenerali ambayo Ni ishu ya kusubiri na kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…