mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Kambi za Urusi zilizopo Central Africa zinashambuliwa muda.WAgner kwa sasa wameishika AfricaView attachment 2449356View attachment 2449357
Source?Kambi za Urusi zilizopo Central Africa zinashambuliwa muda.
Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
Wote wamevaa combat za jeshibna wako kivita zaidi. TafakariSasa hivi kazungukwa na wanajeshi tu wanamlinda na wako tayari kufa nae wakati wowote. Na yeye binafsi anavaa mavazi ya kijeshi kwa sasa. Tafakari.
Watakuwa walitumia risasi za mpiraCha ajabu izo oil refinery zinaendelea na kazi.sasa sijui walilipua kutumia bomu la mafuta ya taa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji635][emoji635][emoji635]
Hizo silaha unalinganisha na masilaha na mazana anayo tumia Russia?Silaha za kawaida kabisa.
M777, himars Ni silaha za kawaida?
Bushmaster Ni silaha ya kawaida?
Starstreak,
Iris T,
NASAMS inayolinda pia ikulu ya Marekani Ni silaha za kawaida,
Patriot ijayo pia Ni ya kawaida?
76 Kwa 60. 16 ndio yamepiga lkn 60 yote yameharibiwaLeo hakuna hata kombora moja LA urusi lililotunguliwa dadeki
Na hayo 16 mengi uamepiga porini yaliyopenya mji mkuu kyiv ni 3 tu yamerushwa 40 na 37 yakatunguliwa76 Kwa 60. 16 ndio yamepiga lkn 60 yote yameharibiwa
Mkakae chini Tena mje kivingine
Wote wamevaa combat za jeshibna wako kivita zaidi. Tafakari
[emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inanoga ukitoa na habari picha ya hata makombola 10 yakiwa yanatunguliwa76 Kwa 60. 16 ndio yamepiga lkn 60 yote yameharibiwa
Mkakae chini Tena mje kivingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12] mbavuzangu mieNa hayo 16 mengi uamepiga porini yaliyopenya mji mkuu kyiv ni 3 tu yamerushwa 40 na 37 yakatunguliwa
Uongo unapingwa kwa ukweli kinyume chake wewe ndiye muongo.Acha Uongo
Sasa wewe na na huyo kamanda nani mkweli??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani wewe Vunjo katika watu ambao awana akili ya hata kuvukia kwenye standad gauge wewe mmoja wapo.we ulitegemea mkuu wa jeshi la ukraine aseme kuwa yametua yote kwenye ardhi yake.mi nilijua unaleta ushahidi wa jinsi mfumo unavyopigana na makombola.wewe unaleta mambo ya flani kasema[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kenge mkubwa wewe