passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Wewe wa huku Africa umeiona NATO nyuma ya Ukraine lakini warusi wenyewe hawakuiona?hapa sasa amua mwenyewe Nani ni mpumbavu.Bado maandiko yapo sahihi, Putin hakuiona NATO nyuma ya Ukraine, yeye aliiona Ukraine kama Ukraine kwasababu ni mpumbavu.
Inawezekana Kati ya manabii wa uwongo waliotabiriwa ni pamoja na wewe unatumia maandiko mtakatifu kufananisha na vitu ambavyo hata havina maana Ukraine na NATO wananafasi gani mbele ya mungu zaidi ya washupaza shingo farao.Luka 14 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³¹ Au kuna mfalme gani, akitaka kwenda kupigana na mfalme mwingine, asiyeketi kwanza na kufanya shauri, kwamba yeye pamoja na watu elfu kumi ataweza kukutana na yule anayekuja juu yake na watu elfu ishirini?
³² Na kama akiona hawezi, hutuma ujumbe kutaka sharti za amani, mtu yule akali mbali.
Interesting...Yaani wewe et ndiye umuone Putin ni mpumbavu.?????!!!! Yaani Mtanzania sijui wa wapi miaka karibu 70 bado jiji kama Dar halina maji huku Rufiji ikiwa siyo zaidi ya kilomita 120 eti unamuona Putin ( a leader of a superpower nation) kuwa eti mpumbavu...incredibleBado maandiko yapo sahihi, Putin hakuiona NATO nyuma ya Ukraine, yeye aliiona Ukraine kama Ukraine kwasababu ni mpumbavu.
Be straight to him...usimung'unye maneno yeye ndiye mpumbavu kabisa...Kazi yao ni kupiga kelele tu humu JF. I am tired of them...hawana hata A<B<C za issues za kimataifa.Wewe wa huku Africa umeiona NATO nyuma ya Ukraine lakini warusi wenyewe hawakuiona?hapa sasa amua mwenyewe Nani ni mpumbavu.
Alidhani yatajirudia yale ya Crimea mwaka 2014 kirahisi tu, tatizo alikariri..Bado maandiko yapo sahihi, Putin hakuiona NATO nyuma ya Ukraine, yeye aliiona Ukraine kama Ukraine kwasababu ni mpumbavu.
Uzuri ni kwamba wengi wameshakiri kwamba Kwa hii vita urusi kakutana na kisiki hambacho hakukitegemea.., zile kauli kwamba ""operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo Inakwenda kama ilivyopangwa"" yanazidi kupotea taratibu,Alidhani yatajirudia yale ya Crimea mwaka 2014 kirahisi tu, tatizo alikariri..
BrahMos anatunia INDIA tu na Philipines wameorder. Urusi hatumii hiyo, japo design yake ipo based na P-800 Oniks ya UrusiBrahMos ni cruise missile ya kisasa na bora kuliko zingine zote ulimwengu huu tulionao. Mbona haitumiki kumuangamiza Ukraine?
Kwani Himars zetu zimeenda wapi?[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Wanajeshi wa Russia Wanazidi kuchanja mbuga wanakamata maeneo kwa kasi kubwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 2449915
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inanoga ukitoa na habari picha ya hata makombola 10 yakiwa yanatunguliwa