Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nmechungulia humu naona page nzima magari kumbe ni update za made in Russia na sio uzi wa uuzaji magari 😀. Unaweza dhani umekosea ukiangalia haraka.
Dawa imeshaanza kukuingia vizuri. Sasa tulia sindano iingie vizuri.
 
Kwani malengo ya hiyo operesheni yalikuwa ni yapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…