NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Mkuu naomba link ya hii taarifa kama hutojali.
mtandao wa walioko Frontline, Ukraine ndio umetupia hizo Passport.Sasa ni Warusi ndio wabishe kwamba hizo passport sio zao,na sio wewe uliye zoea ubishi wa vijiwe vya kahawa,vya yanga na Simba🤔Mkuu wanajeshi gani wanabeba hadi Passport wakati wa VITA?? asee hiyo sio PEACEKEEPING mzee, hizi kamba wapige madogo wa Buza huko.
Family First popote utakapokuwa. Ufie vitani wakati Option ya kuwa mzima ipo. Unapigana kama hakuna Namna.View attachment 2143408nikikumbuka hii nachekaga
picha za hizi zitakuja kukumbukwa sana huko mbelenUkraine flattened by Russian bombs
View attachment 2143378
View attachment 2143379
View attachment 2143380
View attachment 2143381
Kupata vichekesho ivi bonyeza 1[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Endeleeni kuleta vichekesho tu [emoji3]
Wewe mwamba unashabikia ususi as if umezaliwa Moscow, kwenye real battle field propaganda ni silaha muhimu sana coz inamchanganya adui hata kushusha morale, jiulize kwanini Russia wanafanya destruction wakati mwanzoni kabisa hawakufanya hivyo Kuna Mahala pengine wamekosea logistically. Uki overcome bias russia ( invaders wanapata casaulities wengie kwenye hii battle kitu ambacho wengi hawakutarajia coz ukraine imegawanyika kuna upenda wanaunga mkono urusi wengine kwa mabeberu. Pitia documentaries ambazo unahisi hazina bias kisha ulete facts kama waukraine hawajaonesha steel balls kwenye battleHapa Kuna kitu hakiko sawa,[emoji848]
Hawa Ukraine SI waliomba cease fire kipind cha wiki moja ili watoe raia wao kwny battle field, Russia wakaacha kuwapiga.
Sasa ndani ya cease fire,
Wao wanafanya mashambulizi Hii Ina maana gani. Tena wanajimwabafai kabisa
Putin Akiamua kuipiga chin Hii cease fire, arejeshe kichapo as usual lawama zimwendee Nani Kama sio Zelensky mwnyw[emoji848]