LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
An adviser to the head of Zelensky's office revealed the conditions for discussing the issues of refusing Ukraine's membership in NATO: "We need security guarantees."
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Hapa Kuna kitu hakiko sawa,[emoji848]

Hawa Ukraine SI waliomba cease fire kipind cha wiki moja ili watoe raia wao kwny battle field, Russia wakaacha kuwapiga.

Sasa ndani ya cease fire,
Wao wanafanya mashambulizi Hii Ina maana gani. Tena wanajimwabafai kabisa

Putin Akiamua kuipiga chin Hii cease fire, arejeshe kichapo as usual lawama zimwendee Nani Kama sio Zelensky mwnyw[emoji848]
 
Mkuu wanajeshi gani wanabeba hadi Passport wakati wa VITA?? asee hiyo sio PEACEKEEPING mzee, hizi kamba wapige madogo wa Buza huko.
mtandao wa walioko Frontline, Ukraine ndio umetupia hizo Passport.Sasa ni Warusi ndio wabishe kwamba hizo passport sio zao,na sio wewe uliye zoea ubishi wa vijiwe vya kahawa,vya yanga na Simba🤔
Fungua hii link ya Telegram:

 
Ifike mahali tuyakumbuke mawazo ya jenerali wa chenchens kwamba Hawa Ukraine hawatakiwi kupewa pumzi. Wapewe amri waimalize Hii Vita haraka sana

Wapewe ruhusa TU,
Washushe mabomu chap chap wamalize Hii Vita haraka, uyu Zelensky anaitumia ceasefire Kama gepu la kujipanga kivita na kuua wanajeshi wa Russia.

Huu upumbavu hautakiwi kuvumiliwa, Hii Ni dharau kubwa Sana kwa pro Russia duniani kote[emoji3525]
 
payment system ya china CIPS nayenyewe inatumia System za SWIFT kuoperate ht kwe domestic transactions, pia unatumia yuan pekee kwa both domestic na crossborder transactions so russia labda atumie mfumo wake mwenyew ambao nao unfny kaz day time tu siku za kazi lkn unaweza kutumika urusi, armenia, kazakhstan na uturuki hivi kitu km hicho
 
Hapa Kuna kitu hakiko sawa,[emoji848]

Hawa Ukraine SI waliomba cease fire kipind cha wiki moja ili watoe raia wao kwny battle field, Russia wakaacha kuwapiga.

Sasa ndani ya cease fire,
Wao wanafanya mashambulizi Hii Ina maana gani. Tena wanajimwabafai kabisa

Putin Akiamua kuipiga chin Hii cease fire, arejeshe kichapo as usual lawama zimwendee Nani Kama sio Zelensky mwnyw[emoji848]
Wewe mwamba unashabikia ususi as if umezaliwa Moscow, kwenye real battle field propaganda ni silaha muhimu sana coz inamchanganya adui hata kushusha morale, jiulize kwanini Russia wanafanya destruction wakati mwanzoni kabisa hawakufanya hivyo Kuna Mahala pengine wamekosea logistically. Uki overcome bias russia ( invaders wanapata casaulities wengie kwenye hii battle kitu ambacho wengi hawakutarajia coz ukraine imegawanyika kuna upenda wanaunga mkono urusi wengine kwa mabeberu. Pitia documentaries ambazo unahisi hazina bias kisha ulete facts kama waukraine hawajaonesha steel balls kwenye battle
 
BREAKING NEWS

Ukraine kwa kutumia Drone ya Kituruki wameilipua Meli ya Kivita ya Urusi iliyoko Bahari nyeusi. Marekani imekili Kutoa COORDINATES za Meli hiyo. Meli hiyo ilikuwa ikiushambulia mji wa bandari wa MARIOPOL wa Ukraine.

Naleta Evidence soon.
 
Back
Top Bottom