Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Hivi mnaelewaga lugha au miruko tu Kiongozi!!?? Aseee ..... Unafahamu watu tena wanajeshi 1M !?? .... 1M !!? Ficheni ujinga basi kidogo daah.... Kufanya military expansion sio deployment .... Unajua mpaka sasa wamepelekwa wanajeshi wangapi!!?? Ndio uje kuongelewa 1M!!? .... Hii nchi hiii Kuna shida mahala.... Viongozi wa nchi za NATO wenyewe waseme Kwa sasa hawawezi na hawana uwezo kumkabili Urusi ..ila wenzangu wa UkrainNato wa Chembaya huko wanashupaza mafuvu.... Ujerumani , Poland nchi kibao bado zinaongeza muda wa kufanya manunuzi na bidhaa za mrusi lakini on paper oooh tumewawekea vikwazo.... Kila siku kuextend deadlines ...shubaamit. mkuki haupigwi konzi.Hahahaha si juzijuzi hapa Babu aliongeza idadi ya wanajeshi mpk 1.15m[emoji23] Leo wanaongezA tena mpk 1.5m. Watakiona cha mtema kuni[emoji23][emoji23][emoji23]
Yanakuja kuteketezwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ndo Ile tunaita ya kufungia mwaka.[emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1255][emoji1255][emoji1255]
[emoji298]️Secretary of State Antony Blinken confirms that the US is providing Ukraine with additional military aid worth $1.85 billion, and it includes Patriot air defense systems.
[emoji298]️The list of military aid to Ukraine from Pentagon reserves ($1 billion):
- Battery "Patriot" and ammunition for it;
- ammunition for HIMARS
- 500 155mm artillery shells with precise guidance;
- 30 different caliber mortar systems and 10,000 shells for them;
- 37 Cougar MRAPs;
- 120 HMMWV vehicles;
- 2,700 grenade launchers and small arms;
- an unnamed amount of HARM and JADM;
- antipersonnel mines, night vision devices, tactical protected communication systems and body armor.
[emoji298]️The list of military aid to Ukraine under the USAI program ($800 million):
- ️45 thousand 152mm artillery shells;
- ️20 thousand 122mm artillery shells;
- 50 thousand 122mm rockets for BM-21 "Grad" systems;
- 100,000 125mm tank ammunition;
- SATCOM terminals and services;
- financing of training and maintenance.
Kweli Ukraine na Tz tofauti ni ngozi tu Ila kwa kufurahia misaada ni sawa yaan mwanaume kutwa nzima nunafurahia msaada Sasa mwenzenu atarudi bila marinda[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yanakuja kuteketezwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Watanzania hiyo tabia ya kurahia misaada itaisha lini? Ee mungu tunaomba utusaidie kutuondoa kwenye janga Hilo la umaskini.Hii ndo Ile tunaita ya kufungia mwaka.[emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1255][emoji1255][emoji1255]
[emoji298]️Secretary of State Antony Blinken confirms that the US is providing Ukraine with additional military aid worth $1.85 billion, and it includes Patriot air defense systems.
[emoji298]️The list of military aid to Ukraine from Pentagon reserves ($1 billion):
- Battery "Patriot" and ammunition for it;
- ammunition for HIMARS
- 500 155mm artillery shells with precise guidance;
- 30 different caliber mortar systems and 10,000 shells for them;
- 37 Cougar MRAPs;
- 120 HMMWV vehicles;
- 2,700 grenade launchers and small arms;
- an unnamed amount of HARM and JADM;
- antipersonnel mines, night vision devices, tactical protected communication systems and body armor.
[emoji298]️The list of military aid to Ukraine under the USAI program ($800 million):
- ️45 thousand 152mm artillery shells;
- ️20 thousand 122mm artillery shells;
- 50 thousand 122mm rockets for BM-21 "Grad" systems;
- 100,000 125mm tank ammunition;
- SATCOM terminals and services;
- financing of training and maintenance.
Jibu hojaKama hutaki kuamini bisha upewe picha nyingine uombe msaada wa geolocation. Na Zelensky akifika Marekani ubishe tena
Inaonesha vita iko upande mzuri kwa Ukraine ndo maana Yeye na Waziri Mkuu wameweza toka kwenda USA.“It's an honor to be here. Thank you for the invitation. I really wanted to come (earlier) and the president (Biden) knows that, but I couldn't because the situation was difficult.” — Zelenskyi.
“Now that I've come, it means that we control the situation, and this is primarily thanks to your support,” — Zelenskyi said.
Kajilipua haswaa[emoji298]️After the trip to the USA, Volodymyr Zelenskyi may visit the UK, as well as possibly France and Germany, – CBS.
Aisee huu mzigo ni wa maana sana.Hii ndo Ile tunaita ya kufungia mwaka.[emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1255][emoji1255][emoji1255]
[emoji298]️Secretary of State Antony Blinken confirms that the US is providing Ukraine with additional military aid worth $1.85 billion, and it includes Patriot air defense systems.
[emoji298]️The list of military aid to Ukraine from Pentagon reserves ($1 billion):
- Battery "Patriot" and ammunition for it;
- ammunition for HIMARS
- 500 155mm artillery shells with precise guidance;
- 30 different caliber mortar systems and 10,000 shells for them;
- 37 Cougar MRAPs;
- 120 HMMWV vehicles;
- 2,700 grenade launchers and small arms;
- an unnamed amount of HARM and JADM;
- antipersonnel mines, night vision devices, tactical protected communication systems and body armor.
[emoji298]️The list of military aid to Ukraine under the USAI program ($800 million):
- ️45 thousand 152mm artillery shells;
- ️20 thousand 122mm artillery shells;
- 50 thousand 122mm rockets for BM-21 "Grad" systems;
- 100,000 125mm tank ammunition;
- SATCOM terminals and services;
- financing of training and maintenance.
Hivi mnaelewaga lugha au miruko tu Kiongozi!!?? Aseee ..... Unafahamu watu tena wanajeshi 1M !?? .... 1M !!? Ficheni ujinga basi kidogo daah.... Kufanya military expansion sio deployment .... Unajua mpaka sasa wamepelekwa wanajeshi wangapi!!?? Ndio uje kuongelewa 1M!!? .... Hii nchi hiii Kuna shida mahala.... Viongozi wa nchi za NATO wenyewe waseme Kwa sasa hawawezi na hawana uwezo kumkabili Urusi ..ila wenzangu wa UkrainNato wa Chembaya huko wanashupaza mafuvu.... Ujerumani , Poland nchi kibao bado zinaongeza muda wa kufanya manunuzi na bidhaa za mrusi lakini on paper oooh tumewawekea vikwazo.... Kila siku kuextend deadlines ...shubaamit. mkuki haupigwi konzi.
Sio kwamba hawataki Ila walijaribu wakashindwa,Russia tangu mwanzo walijaribu kum-assassinate Zelenksy Ila mipango Yao ilitibuliwa na idara ya intelligence ya Ukraine ikishirikiana na za magharibiUrusi tangu mwanzo General wao Mmoja alisema na niliweka humu.... "Hatuna haja ya kumuua Zele ..SABABU tunahitaji Rais halali wakati wa kusaini makubaliano yoyote yatakapofikiwa" mwisho wa kunukuu.... Kama Katibu mkuu wa UN alikuwa Kiev na hotel ya jirani tu ikapigwa mabomu Zele ... Wanakahitaji hako kakinyago wakati wa makubaliano ndio maana wanakaacha kazurure.
Kama kilivyoteketezwa hiki kifaru chenu cha kisasa eeeh[emoji23][emoji23][emoji23]Yanakuja kuteketezwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wao ProRussia Warusi wa mchongo toka Buza utasikia wakisema ni "Propaganda za magharibi "😂Hii ni Jana,nchi imekua km Afghanistan kila siku milipuko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu mnasaidiwa mpk chanjo za mabusha halafu mkija huku mtandaoni mnachongoa midomo.Watanzania hiyo tabia ya kurahia misaada itaisha lini? Ee mungu tunaomba utusaidie kutuondoa kwenye janga Hilo la umaskini.
Marekani ilitumia miaka 20 kupigana na watu wanaotumia ngamia kama usafiri na mwisho wa siku wakakimbia Afghanistan kwa aibu sana.mpaka leo ukiwambia kurudi Afghanistan awataki hata kupasikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Russia imetumia miezi tisa kupigana na watu unaosema hawana usafiri na bado haijamaliza. Kisha inataka kupigana na NATO
Fikiria huyo Supa-pawa wa mchongo angekuwa yupo vitani na nchi yeyote ya NATO yenye airforce bora alafu li-msafara mbuzi kama hilo liwepo......One week into its invasion of Ukraine, Russia massed a 40-mile mechanised column in order to mount an overwhelming attack on Kyiv from the north.
Jamaa anapewa coordinates na intelligence asset za NATO sasa ndugu yetu Supapawa upande wa ISR ni mbovu anashindwa hata kulinda miundombinu yake muhimu ya Gas na mafuta ndani ya nchi yake kila siku inalipuliwa lipuliwa.Aisee huu mzigo ni wa maana sana.
Ukraine amekuwa akikata Supply Routes za Urusi, kwanini Urusi hajishughulishi na supply routes za Ukraine?
Anapeleka msafara bila air cover utafikiri anaswaga ng'ombe malishoni matokeo yake limsafara lote likapukuchuliwa kama biskutiFikiria huyo Supa-pawa wa mchongo angekuwa yupo vitani na nchi yeyote ya NATO yenye airforce bora alafu li-msafara mbuzi kama hilo liwepo......
............lingegeuzwa majivu tu kama vikosi vya Saddam kule Kuwait......wana bahati Ukraine haina airforce yenye nguvu kama nchi za NATO.......ila mpaka leo ingekuwa bado ni maafa.
T14 Armata lee van cliff
MK254 dudus Jackal
Hakuna hapa Duniani wa kuweza kumkabili Urusi kwa uchumi na kijeshi, ilo mbona lipo wazi wala huitaji kuwa na macho matatu.Wewe ndio ufiche ujinga wako, August Putin alitangaza kuongeza idadi ya wanajeshi 137,000 zaidi kufikia 1.15m. Miezi minne baadae wanaongeza tena wengine kufikia 1.5m.
Sasa wapi nilipoongelea deployment ya wanajeshi 1M?! Msomage kwa makini na kuelewa kabla ya kumjibu Mtu.
Mbona huyo Urusi wako nae kaongeza import toka Ujerumani?! Cha ajabu kipi hapo?! Si kila siku anasema Ujerumani si nchi rafiki sasa mbona kaongeza importation ya bidhaa toka Ujerumani?!
Wapi NATO wamesema hawawezi mkabili tena Urusi?! Leta ushahidi!!!