Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo tutegemee kufikia x-mas warusi watakuwa ndani ya Kiev kama ulivyosema??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wakuu,tunapoelekea kumaliza mwaka Hawa ndio watu wawili hambao wameufanya moyo wangu uwe na furaha zaidi na kusuhuzika mara zote kila nikiona picha zao.., sidhani kama Kwa hizi siku chache zilizobaki atakuja kutokea mwingine..,niwie radhi kwa kutoka nje ya mada[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji56][emoji56][emoji56][emoji41][emoji41]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu Ana matusi zaidi yako wewe?! Tuambatishe humu comments zako za matusi yako humu?!?! Umewahi kuleta humu picha ya kidole Cha Kati....tuweke humu Kama uthibitisho?!
 
Lazima niwape hbr

Unamuona kiboko ya Putin Huyu chini???


[emoji116][emoji116][emoji116]

Mwamba ndani ya nguo za kz.[emoji123][emoji123][emoji123]View attachment 2454471
Huyu hawezi kuwa kiboko Cha Putin hata siku moja...huyu ni kibaraka tu wa West ambaye anatumika tu na West Kama frontman wa conflict Kati ya West na Russia...History will one day judge him as a villain and not a hero...
 
URUSI HAJATUMIA KILA AINA YA SILAHA CHIEF . NATO WALETE DIAPERS ZAO NDIO UTAJUA SILAHA BADO ZIPO GHALANI
 
WALEMAVU WATAKUWA MILIONI NYINGI
 
Kumbe mnafuatilia ziara yake?

Safi sana[emoji122][emoji122]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Duuu.... Tafuta speech ya Waziri Mkuu wa Finland ..IPO humuhumu niliweka... Ficha tena ujinga....
Hahahaha embu ficha huo ujinga,Sanna Marin alisema kwamba Europe bila msaada wa Marekani wangepata ugumu kumkabili Urusi. Sasa wewe unakuja na story za kusadikika eti West walisema hawamuwezi Urusi.

Tena na speech yake nakuwekea hapa chini.FICHA HUO UJINGA TENA UFUNGIE NDANI KABISA.

Finland's Sanna Marin says Europe would be in trouble without US
Finland's Sanna Marin says Europe would be in trouble without US
 
URUSI HAJATUMIA KILA AINA YA SILAHA CHIEF . NATO WALETE DIAPERS ZAO NDIO UTAJUA SILAHA BADO ZIPO GHALANI
Alichobakiza pale ni nyuklia au chemical weapons lkn convectional weapons karibu zote kamaliza

Kashatumia
Thermobaric missiles and rockets
Lasers
Cruise missiles za kila aina
Iskander ballistic missiles
Phosphorus bombs
Smerch heavy rockets
Hypersonic missiles
Su-35,Su-34,nk
Vifaru vya kisasa T-90M
Lancet kamikaze drones

Ni silaha gani Kali ambayo Urusi haijaitumia Ukraine?!!! Kama zipo tuambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…