Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa mwendo huu,hata wenzetu somalia Wana unafuu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Watu wana mpaka ICBM halafu jamaa anatuambia hawana ballistic missiles, wanazo tangu miaka ya 1960s wakati Tanganyika ndo inapata Uhuru.
ICBM ZA MAREKANI NYINGI WAMECOPY KUTOKA URUSI KWENYE MAKOMBORA MAREKANI NI WABOVU KINOMA NDO MAANA HATA TOMAHAWK ZAO HAZIKUFUA DAFU KWENYE S 200 ZA SYRIA
 
Hatimae Babu Putin akubali kinachoendelea Ukraine ni vita na sio SMO,kwahiyo ProRussia zile hahari za SMO ziishe kuanzia sasa[emoji23]

Putin calls Ukraine conflict ‘war’ for first time, says he wants to end it

President Vladimir Putin said Thursday that Russia’s goal is to end the conflict in Ukraine, which he referred to as a “war” for the first time since the February invasion.

Putin made the unprecedented comments to Kremlin pool reporters a day after President Biden hosted Ukrainian President Volodymyr Zelensky and promised him continued and unwavering support.

“Our goal is not to spin the flywheel of military conflict, but, on the contrary, to end this war,” Putin said. “We will strive for an end to this, and the sooner the better, of course.”

Putin’s use of the term “war” caused a stir among his critics in Russia, where there is a law on the books — signed by the president himself in March — which prohibits citizens from describing the “special military operation” in Ukraine as a “war” on pain of heavy fines and jail time.

Nikita Yuferev, an opposition councilor from St. Petersburg, has asked prosecutors to investigate Putin for breaking his own law against spreading “deliberately false” information about the armed forces.

Yuferev said he knew his legal challenge would go nowhere, but he had filed it to expose the “mendacity” of the system.

“It’s important for me to do this to draw attention to the contradiction and the injustice of these laws that he [Putin] adopts and signs but which he himself doesn’t observe,” he told Reuters.

“I think the more we talk about this, the more people will doubt his honesty, his infallibility, and the less support he will have,” the councilor added.

In his challenge, filed in an open letter, Yuferev asked the prosecutor general and interior minister to “hold (Putin) responsible under the law for spreading fake news about the actions of the Russian army.”
 
Eti asilimia 25 ya ardhi ya ukraine imechukuliwa [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Au sio mkuu. Kiev ilichukuliwa ndotoni? Niliwaambia Urusi ina jeshi la kawaida mkabisha, karibia miezi 10 sasa
Hata kwenye vita ya dunia warusi walivitelekeza viunga Vingi vya jiji LA Moscow ila baadae wakavirudia urusi inajeshi zuri usifananishe na wale makomando uchwara walioshindwa kuiteka Mogadishu tu
 
Hata kwenye vita ya dunia warusi walivitelekeza viunga Vingi vya jiji LA Moscow ila baadae wakavirudia urusi inajeshi zuri usifananishe na wale makomando uchwara walioshindwa kuiteka Mogadishu tu
Makomandoo wa Mogadishu ilikuwa helikopta moja Black Hawk ya 1970s. Ambavyo leo Russia na misururu ya kilomita 64 hamna kitu alifanya kwa mji wa Kiev. Na isitoshe helikopta zake latest ndio hizi hapa zinapigwa. Ka-52 ya 2000s
 
Duuuh hii Kali!!!!

Embu tuambie Ile Trident II ICBM inayoweza beba mpk vichwa 12 vya nyuklia wamekopi toka kombora gani la Russia?!
Ha ha ha hii ni developing baada ya kukopi vizazi vya MAKOMBORA mengi ya ICBM vya marekani vinatokana na MAKOMBORA ya urusi hasa Scud . kisha wao huyaongezea uwezo .


Technology ya Injini za MAKOMBORA na marokoeti ya Masada marefu bodo ni yakutia shaka ktk jeshi LA marekani ndo maana wamewekeza sana kwe ndege
 
Makomandoo wa Mogadishu ilikuwa helikopta moja Black Hawk ya 1970s. Ambavyo leo Russia na misururu ya kilomita 64 hamna kitu alifanya kwa mji wa Kiev. Na isitoshe helikopta zake latest ndio hizi hapa zinapigwa. Ka-52 ya 2000sView attachment 2456202
Kama wangeingiza msululu wa ndege huko Mogadishu ungefyekwa balaa


Marekani ingepigana vita na Ukraine isingeteka hata kijiji marekani inajeshi kubwa ila mbinu ni sifuri na wanajeshi wake ni waoga kinoma

Sasa kama kuiteka Mogadishu mlishindwa je ? Mtaweza kuiteka Tehran kweli?
 
Sasa Scud na ICBM wapi na wapi Shekhe?!

Marekani ilitengeneza ICBM zake za Kwanza miaka ya 1950s wakati Soviet walianza kutengeneza scud missiles mid 1960s. Sasa unakopije kitu ambacho HAKIPO?!!!!!
 
Marekani ilitumia wiki tatu kuiteka Iraq, Russia Leo ni mwezi wa 10 hana hata dalili ya kuiteka Donbass yote.
 
Ulikuwa sahihi kabisa...hii comment ina uhai mpaka Sasa..
Kitu nilichokosea pekee pale tarehe 25 masaa kama 30 hivi baada ya uvamizi kuanza ni kudhani Russia ina Navy ya maana. Ndani ya muda huo nilishaona Airforce ni mbovu zaidi, Army inajitahidi ila nikaamini Navy iko uwezo wa juu.

Nilikuja kuamini sivyo pale Moskva ilivyopigwa na pia purukushani za Snake island.

Russia ikiondoa rushwa, ubadhirifu na ukiritimba kwenye majeshi itafanya vizuri zaidi. Na ni vigumu sana kuondoa mazoea haya, aliyejaribu ni Waziri wa Ulinzi kabla ya Shoigu naye walimuondoa mapema maana hakuwa anaelewana na wezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…