TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 1,079
- 1,376
It uses Linux OS invented by Americans!MADE IN RUSSIA
Server INEUM Elbrus 802 1U
Interface:
Elbrus OS, Alt Server 8 OS, Astra Linux Leningrad OS, Neutrino-E ZOSRV
Type of:
Server 19'
Processor Line:
Elbrus-8S
Clock frequency, MHz:
1300
Unajua unix wewe?It uses Linux OS invented by Americans!
Hii onyo lilitolewa last weekSikutegemea kama ukrain angeweza kushambulia base za kijeshi za urusi,kama ndivyo basi kunbe ndio maana pootin anaomba mazungumzo
Wewe ni fala hasa kuniuliza mimi hilo swali.Unajua unix wewe?
Nimeiona hiyo habari BBC Swahili.., wanajeshi watatu wamelambishwa mchanga..,Ile Base ya Supapawa inayotumiwa na Nuclear bombers imebutuliwa tena na drone za Ukraine, wanajeshi 3 wameliwa vichwa. Base ipo 700km toka mpaka wa Ukraine. Halafu kuna watu wanatuambia Russia ina air defenses [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaboom [emoji95]
Blasts were heard at Russia's Engels air base hundreds of miles from front lines in Ukraine, Ukrainian and Russian media outlets reported
Wewe ni nani usiulizwe?Wewe ni fala hasa kuniuliza mimi hilo swali.
Acha uwongo wewe.drone ya Ukraine imepigwa na Air defence za Urusi.Mabaki ya drone yamedondokea wanajeshi wa tatu.wewe iyo habari umetoa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ile Base ya Supapawa inayotumiwa na Nuclear bombers imebutuliwa tena na drone za Ukraine, wanajeshi 3 wameliwa vichwa. Base ipo 700km toka mpaka wa Ukraine. Halafu kuna watu wanatuambia Russia ina air defenses [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaboom [emoji95]
Blasts were heard at Russia's Engels air base hundreds of miles from front lines in Ukraine, Ukrainian and Russian media outlets reported
Putin ameshaona wazi kwamba kichapo kinazidi kuwa kikali..,kwa Hali hii lazima ayatafute mazungumzo kwa tochiSikutegemea kama ukrain angeweza kushambulia base za kijeshi za urusi,kama ndivyo basi kunbe ndio maana pootin anaomba mazungumzo
Mabaki ya drone yauwe wanajeshi watatu?Acha uwongo wewe.drone ya Ukraine imepigwa na Air defence za Urusi.Mabaki ya drone yamedondokea wanajeshi wa tatu.wewe iyo habari umetoa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa Drone ishambulie kambi alafu kusiwe na hata kitu kuungua.au ni drone ya majiMabaki ya drone yauwe wanajeshi watatu?
Hiyo drone imetunguliwa ikiwa tayari imewatembezea urusi mkong'oto
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Maumivu yakizidi muone daktari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa Drone ishambulie kambi alafu kusiwe na hata kitu kuungua.au ni drone ya maji
Swali ni kwamba drones zinaendaje ndani ya Russia almost 1000 kms bila kuonekana wala kutumbuliwa na air defenses ambazo russia superpower inajisifu nazo ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa Drone ishambulie kambi alafu kusiwe na hata kitu kuungua.au ni drone ya maji
Can't wait for the satellite pictures to debunk the "it was just 3 soldiers killed by falling debris" story.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa Drone ishambulie kambi alafu kusiwe na hata kitu kuungua.au ni drone ya maji
Sasa na wewe hayo maelezo ya drone kupigwa na air defence na kudondokea wanajeshi watatu umeitolea wapi?Acha uwongo wewe.drone ya Ukraine imepigwa na Air defence za Urusi.Mabaki ya drone yamedondokea wanajeshi wa tatu.wewe iyo habari umetoa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tutaendelea kuwakemea muache kusambaza michezo yenuTafuta basha wakukushika hilo taarabu wewe punga
Wao waendelee na kelele sisi tunapiga tuWARUSI wanashambulia kwa kasi sana maeneo ya pande tano za jimbo la donesk.
Upande wa Bakhmut vikosi vya Ukraine kwa sasa maombi yao yapo kwenye kitongoji cha Ivaniivske.kikianguka tu basi supply ya vifaa vya kijeshi kwa vikosi vya Ukraine vilivyopo Bakhmut itakuwa imekata, kwa iyo watalazimika kupigana kama Mariupol
Upande mwingine wa mji wa Siversk Warusi baada ya kuchukua kitongoji cha yakovlivka sasa wapo kwenye kitongoji cha Rozdolivka.inaonekana Warusi wanataka kuzunguka mji wa SiverskView attachment 2458496View attachment 2458497
Wewe umeshaacha ushoga ?Tutaendelea kuwakemea muache kusambaza michezo yenu View attachment 2458646