Sio udhaifu, kwa ufupi hawajali watu waoDuh!..wamekosa wa kuwazika?...Russia wana udhaifu mkubwa kwenye 'logistics' hasa kuhudumia majeruhi na Marehemu wao.
Axel Lloyd HIMARS T14 Armata
Maana yake zimerudishwa nyuma zaidi.Hahahaha...Nyani katema bungo [emoji23][emoji23][emoji23]
The RF Armed Forces evacuated four to six Tu-95 strategic bombers from the Engels-2 airfield
According to ZN, the planes were transferred to the Ukrainka airfield in the Amur region. Most likely, this is due to the increased frequency of attacks on #Russian airfields.
#Ukraine
Una AK kwanini upigwe fimbo mgeuzie umpige tuHao waliokufa walikuwa frontline zaidi zaidi kwenye trench lines hivyo kuwatoa sio rahisi. Na wameuwawa kwa artillery shells ukiwaona juu, wakiwa kwenye trench inaweza kuwa shell yenye airbusting fuse au grenade zinazotupwa na mini UAVs.
Hali ni ngumu zaidi frontline, jana hujaona ile video wapiganaji kumi wamebeba majeruhi wawili walipofika kituoni kamanda wao akawatandika fimbo kwa uzembe
Alreigh Burke ni proven concept na ina logistics wezeshi na kila kitu chake kipo. Zumwalt ni future destroyer, on paper iko vizuri sana ila vitu vyake kama missiles nyingine hazijawa matured kutumika vita ya leoleo ila Marekani haishindwi kitu chake ukiivamia production yake inaongezeka maradufu na miradi inayosuasua inakamilishwa ingawa mnakuwa mmechelewa mwanzoni.Ina maana ukiambiwa utaje best destroyer kwa sasa utaitaja Arleigh Burke class mbele ya hiyo Zumwalt? Au Daring class (UK)
Hakuwa na uwezo wa kuzuia endapo yangeanza rushwa kwake.Again, kutokushinda hii vita kwa Ukraine sio ajabu, ajabu ni Ukraine kushambulia ndani ya Urusi....
Be honest, wakati wa mwanzoni uliwafikiri kuwa Ukraine anaweza ishambulia kambi ya Urusi ndani ya Urusi? Hili halikufikirika kwenye vichwa vya watu wengi hata kwa wamarekani wa humu.
Anaanda planKwani kuna sehemu nimeitaja marekani?
Kuhusu Urusi jibu lipo February 2022.
"Whoever tries to interfere with us, and even more so, to create threats for our country, for our people, should know that Russia's response will be immediate and will lead you to such consequences that you have never experienced in your history."
Drones kushambulia ndani ya Urusi ni tishio kwa Urusi, Urusi kutokujibu kwa kiwango cha uzito wa hayo maneno hapo juu ni kuweka nafasi yake kwenye walakini.
Walikuwa wamekabidhi silaha na kamanda wao alimpa gun mojawapo ya mtu wake na akamtaka ampige risasi yeyote atakayeondoka. Na alipopewa simu ya kamanda aliye juu yake uliona pale anasema atareport baada ya dakika tano
Yaani mazungumzo yatafanyika tu iwapo Russia atayaacha maeneo yote ya aliyoyachukua ya Ukraine ikiwemo Crimea na DombasHuenda miezi ya mbeleni mwakani tukashuhudia mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine ila itabidi Zelensky ashinikizwe au ahakikishiwe usalama na washirika wake wa magharibi ili akubali maridhiano na Putin.
.........Sidhani kama Putin yupo tayari kwa miezi mingine mipya ya Vita na uharibifu wa uchumi.
Nimewahi ona documentary ya hiyo arleigh, kitu hatari sanaIna maana ukiambiwa utaje best destroyer kwa sasa utaitaja Arleigh Burke class mbele ya hiyo Zumwalt? Au Daring class (UK)
Russia hawezi maana anajua atapigwa na West.Mmmmh hasira za haya mataifa maguvu makubwa hua ni mbaya sn.
Yaani Ukraine km atafanya hivo tunaweza kushuhudia matumizi ya manyuklia
Ndio itakua ni machafuko Duniani kote sasa! Kwsbbu hii vita ya Ukraine itakua ma miisho mibaya Kwa Dunia. Yaani Kwa kifupi ni hivi the worse are still to come
SVR na FSB katika ubora waoKumekuchaaa
Russian MP dies in India
The politician who was visiting India as a tourist has died after apparently falling from a hotel’s third floor, police have said
MK254
Kwa phase hii hadi Putin anakufa Russia itakuwa bado inapigana UkraineKreminna soon inarudi [emoji1255][emoji1255][emoji1255]
AFU has liberated Chervonopopivka and Dibrova near Kreminna.
Russian forces will soon have to decide how feasible it is to hold western bank of the Krasna River (blue line). #Luhansk
Okey mkuu..... plan ni muhimu.Anaanda plan
Mabomu hayapigwi tu kuna kujiandaa, na kumbuka kwa sasa anategemea Iran ampe ili ayatumie
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa aliwahi mkosoa Putin kuhusiana na hii vita ya UkraineKumekuchaaa
Russian MP dies in India
The politician who was visiting India as a tourist has died after apparently falling from a hotel’s third floor, police have said
MK254
Yani huyu Babu anavyopenda kuua wenzake utafikiri yeye hatokua