MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
48th law of power inasema:Naomba Urusi ielewe kuwa
1. Marekani inamuogopa sana.
2.NATO yote inamuogopa sana
Ila
Kuruhusu mashambulizi ndani yake kwa mgongo wa Ukrein kutasababisha miundo mbinu mingi kuharibiwa. Wanaoharibu ni NATO na Marekani. Wanataka kumzoofisha kisha wammalize.
Cha kufanya ni Urusi kumaliza vita kwa gharama yoyote mapema.
Atumie nuclear au silaha yoyote vita iishe au NATO waingie moja kwa moja.
Asisubiri kudhoofika.
Russia tunakuhitaji sana na zaidi utulinde dhidi ya mashoga.
Tuthibitishie hao Ni askari wa kirusi .yah_ rabbih mola wetu mlezi twakuomba urejeshe akili zao askari wa Russia. uwape mlango wa kutokea na uwape hikma tu llah
Amen.
View attachment 2458979
View attachment 2458980
Dunia nzima ukiwa na nyuklia ndo unazidi kuwa mbabe.Russia kinachomfanya awe mbabe ni hizo silaha zake za manyuklia tu. Hakuna kitu kingine!
Urusi anaogopa wasije wakamgombania kama mpira wa Kona.., maana marekani na washirika wake wameshaweka wazi msimamo wao bila kupepesa macho kwamba iwapo urusi atatumia silaha za maangamizi nini kitafanyika48th law of power inasema:
Assume formlessness: by taking shape or having a visible plan you open yourself for attack.
Instead of taking form for your enemy to grasp keep yourself adaptable on the move. Accept the fact that nothing is certain and no law is fixed. The best way to protect yourself is to be as fluid and formless as water.
Never bet on stability or lasting order. Everything changes.
Nato wanajua na Russia wanajua hili. Sijajua kitakachotokea ni kipi! Ila mwisho wa siku ili kumaliza moja kwa moja ni lazima itumike nguvu kubwa itakayomfanya adui wako abwage manyanga na kutofikiria tena kukuvamia au kupigana nawe tena. Kwa ufupi hatua hii huambatana na unyama.
Vijana wakakamavu wa rais zelensiky wanazidi kuchanja mbuga tu,Hadi Raha kwa kweli [emoji56][emoji56][emoji298]️Heavy battles continue near Kreminna. The occupying forces are withdrawing a huge amount of reserves and equipment there. Militants are dying there by the hundreds, — Serhii Haidai, the head of the Luhansk Regional Military Administration reports.
If Kreminna is lost, the entire line of defense of the Russians in the Luhansk region will be broken. Success on this part of the front is on the side of the Armed Forces of Ukraine.
Kubishana na huyo jamaa bora huo Muda ukajipigie puli tu.Alikuzwa na nani???Vitu vingi mnajitengenezea wenyewe, mfano embu tafuta credible source yako halafu tupe list ya powerful countries (military power). Hao wazungu mnaowaabudu kama miungu watu ndo wanawatengenezeeni hizo list......au basi nao wanaongopa??
Ndo maana huwa tunasema tunaongea humu utafikiri watoto wa form four.......
"Et wa kawaida sana" kwa sababu unamapenzi tu...na unaandika tu na hisia.....Yaani hivyo vi drones vinavopenya na kuripuka ndo unatumia justification....
Wapalestina mara kibao wamewaotea wayahudi..(Utasema Israel wa kawaida kisa wapelistina wanawaoetea siku moja moja)
Wakurdi wanawasumbua kupita maelezo Turkey (Utasema Turkey ni wa kawaida)
Al Quida walifanikiwa kupenya mpaka wakalipua (Pentagon & NY ):Utasema Wamarekani wa Kawaida
US-Afghanistan wamekipiga 20 yrs...wameondoka..Taliban wamerudi (Utasema US wa kawaida)
Yemen pale Houthi...wanampa tabu Saudia Arabia pamoja na washirika wake..( Utamlinganisha Saudia na hao Houthi kweli...Hao Houthi wanarusha maroketi yanapenya tu utafikiri Saudia hajawekeza billions kwenye ulinzi)
US aliondoka Somalia 1994...(Utasema US wa kawaida)
Wa Viet-cong..walimpa tabu US..kaamua kusepa (Kweli utalinganisha USA na Vietnam:Utasema US wa kawaida)
Wa-Japan walimpa usumbufu wa ajabu USA kwenye vita vya pili..mpaka wakaamua kutumia nyuklia...Utasema USA wa kawaida sio-we unafikiri USA angeamua kukaza kwelikweli..hata bila nyuklia Japan asingesalimu?)
Haya Ujerumani ya Hilter alipokea kichapo baada ya miaka 6 ya kutwangana.....(Kwa akili zako utasema Ujerumani ya Hilter ilikuwa superpower ya mchongo..kisa tu alishindwa???
Waafrika tunawekaga chuki zetu mbele, utafikiri kuna kitu zitabadirisha....
Tunachambua vita utafikiri....ni ugomvi kati ya mke na mme..au Wakina Mandonga....
Aibu sana
Mbona Pakistan ina nyuklia ila Ttp (Pakistani Taliban) wameivuruga hiyo nchi kisawasawa mpaka haikaliki huko Swat na hata miji mikubwa kama Lahore, Punjab, Islamabad, Kashmir ni roho mkononi tu ?Dunia nzima ukiwa na nyuklia ndo unazidi kuwa mbabe.
Hebu fikiria nchi Kama North Vietnam ingekuwa karibu na US kijiografia then US bila nyuklia ingekuwaje?
Nyuklia Ni ufahari.
Nyuklia Ni kitisho,
Nyuklia Ni Ulinzi
If wishes were horses...
Duh! Akikujibu nitag aisee [emoji848]Mbona Pakistan ina nyuklia ila Ttp (Pakistani Taliban) wameivuruga hiyo nchi kisawasawa mpaka haikaliki huko Swat na hata miji mikubwa kama Lahore, Punjab, Islamabad, Kashmir ni roho mkononi tu ?
Hii Vita ina mwaka mwingine mzima mbele mpaka mmoja afilisike au aishiwe kabisa.Na alisema ndani ya siku 2 au 3 urusi itakuwa imeshamaliza kazi huu ni mwezi wa 11 lakn mambo bado.
Akishinda au akishindwa Ukraine nataka amtie hasara urusi hadi wafuasi waache kumkuza huku kwenye keyboard.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Supa-pawa alikwama wapi ?...mbona alianza vizuri mno pale mwanzoni mwa uvamizi, japo alionyesha udhaifu mkubwa kwenye 'logistics' hasa mafuta, chakula, huduma ya kwanza.
Ina maana Supa-pawa wa mchongo nafasi yake inapotea?....Kama Masihara Ukraine inaenda kuwa moja ya Taifa lenye Nguvu duniani