Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Endelea kuota

Welcome to Ukraine [emoji1255][emoji110] Opytne, south of Bakhmut. The area is completely cleared of Russian forces. The town is under full control. With great help of the 53rd brigade.
Ilikuwa majuzi hiyo vikisi vya urusi vilisumbuliwa huko mji lakini tangu Jana hali ikawa nzuri huko bakhamut .ila kiukweli jeshi LA Ukraine limepigika mno huko bakhamut
 
Kuwa makini

1. Source yako sio credible. Huwezi kuleta habari za urusi kutoka Pentagon. Habari za urusi toa kwa warusi wenyewe au washirika wake. Kama ambavyo habari za Ukraine zinatoka kwa Ukraine wenyewe au washirika wake (EU/US)
2. Taarifa ya pentagon ni Total casualitie yaani WIA + KIA!
3. Tumia akili
4. Pamoja na hao 100k waliouawa kwa mujibu wa Leyen pia kmsq laki mbifi na ushee za mtu zimeenda pia. Vipi za urusi ngapi zimeenda!?
 
Wakati anasema hayo alikuwa Bahkmut hiyohiyo. Na nyinyi ni superpower uchwara adui yenu yuko mlangoni na hamjui. Putin hajawahi leta pua frontline, wakati huo Ukraine ilimshambulia Dmitry Rogozin akiwa kwenye birthday party yake uko Donetsk nyuma zaidi ya Bahkmut na ndani ya eneo lililo chini ya Russia.

Btw Warusi tuambie vipi madaktari wa Moscow wameweza kumfanyia operation Rogozin au imesubiri wajadiliane mara nyingine? Maana mwanzoni alisema ameumia bega, baadae ikasemekana ameumia chini kidogo ya mgongo, baadae yeye akasema kuna chuma kimekwama kwenye mfupa gani sijui eneo la nyonga kama sikosei. Na amesema yuko hatarini kuwa paralysed. Tupeni taarifa tujue, Rogozin huwa napenda blatant bragging anayofanya na ingependeza akipona
 
Kwa kipigo hiki urusi anachopata bora aondoe wanajeshi tu warudi makwao wanajeshi wataisha,aljazeera wameonyesha maiti nyingi za urusi hadi nimeogopa kuendelea kuangalia
 
Kwa kipigo hiki urusi anachopata bora aondoe wanajeshi tu warudi makwao wanajeshi wataisha,aljazeera wameonyesha maiti nyingi za urusi hadi nimeogopa kuendelea kuangalia
Sawa kwa sababu Urusi anapigana na maroboti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Mkiambiwa mtaje list yenu mmekufa wangapi, kila mtu anaingia chocho.Ukitaka kupata jibu kamili la vita basi chukua habari za pande zotr mbili
 

1)Hahahaha naona umeshikilia km laki mbili, kilometres ambazo zimeshikiliwa na Urusi zinajumuisha Crimea pamoja na maeneo ambayo alikua akiyashikilia Urusi (kwa mgongo WA waasi) huko Donbass tangu 2014. Maeneo ambayo Urusi iliyakamata tangu wavamie February 24, zaidi ya 50% yamerudi chini ya Ukraine na bado Ukraine inachanja mbuga soon Kreminna itarudi ambapo itakata Supply route ya warusi kwenda Bakhmut.

2)EU walitoa ufafanuzi wa taarifa ya Ursula na kusema kwamba 100k ilijumuisa majeruhi pamoja na waliokufa kama taarifa ya Pentagon ilivyoeleza awali.

3)Halafu unauliza km za Urusi zimeenda ngapi,kwani kuna aliyeivamia Urusi?!

4)Tumia akili
 
Huyu kenge alitaka kuongopea watu juu ya Optyne[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].wala hana tofauti kabisa na Vunjo
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni bora huyo Vunjo kidogo anaeleweka kuliko wewe unayetuleteaga mipicha ya January na kutuambia eti ni Bakhmut
 
Babu yenu mwenyewe last week alilalama Hali ni mbaya kwenye maeneo yote manne ambayo alisema ni sehemu ya Urusi

Putin: Situation ‘Extremely Difficult’ in Areas Russia Claimed to Annex from Ukraine
December 20, 2022 10:28

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…