Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

F35 ingekua na idadi sawa na Su basi zingekua zishaisha zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuitaja taja Su 57 kufunika ubovu wa f 35.

Yaani unachotaka kusema ni kwamba F35 ni boflo ila angalia, su57 ndio boflo zaidi.

Huwezi kuzitetea f series bila kuzitaja su!? Huwezi kuitetea airforce ya marekani bila kuitaja airforce ya urusi!?
Hiyo SU-57 huwa inalinganishwa na F-35 hata na Warusi wenyewe....japo wanazo chache tu.

Ukijiona una mbio msifie na anayekukimbiza, huwezi kujiona bora kama huna mpinzani wa kueleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…