kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Naona unajaribu kuwafundisha kazi moderators hambao wameona vyema kuuacha Uzi huu uende kama ulivyo..., unajifanya una akili nyingi lakini unazidi kudhihilisha upuuzi wakoWote humu watu wazima lakin mmefanya Kama kijiwe Cha story za kijinga ..unakuta mtu anapost kitu anajua kabisa Ni uongo afu akiambiwa alete chanzo Cha habar ana quote twiter za watu .. tweets zenyewe unakuta za raia tuh ila kisa Ni wwzungu bhc ndio inakua ushahid wake
Ndio ujiongeze mkuu Sio kila kinachoandikwa humu Ni cha kweli Kuna vingine uongo mtupu.na Bahati mbaya huna mamlaka YA kumpangia MTU cha kupost.Wote humu watu wazima lakin mmefanya Kama kijiwe Cha story za kijinga ..unakuta mtu anapost kitu anajua kabisa Ni uongo afu akiambiwa alete chanzo Cha habar ana quote twiter za watu .. tweets zenyewe unakuta za raia tuh ila kisa Ni wwzungu bhc ndio inakua ushahid wake
Kati ya wewe na huyo Ndugu ni Nani ni mpumbavu?!?! Wewe kuleta humu picha za nguchiro aliyefananishwa na mtu unadhani siyo upumbavu?! Kuleta hapa picha mtu amenyosha juu kidole Cha Kati (Jambo anbalo ni tusi) unadhani huo siyo upumbavu?!?! Kuleta humu data za uongo kuhusu vifo vya watu/Askari unadhani kuwa huo siyo upumbavu?! Kuleta humu picha za maiti unadhani kuwa huo siyo upumbavu?!?!Tatizo hutaki kuficha upumbavu ulio nao...,kama unaona wengine hawana fact leta wewe facts zako..,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣Mbona mnampa za uso mchambuzi huru bila huruma?Usipanic sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Huwezi kutetea ubora wa F series bila kuitaja Su!? Ina maana ubora wa F ni relative na ubora wa Su57!?
Acha kulialia mchambuzi wa mchongo
Huyo utachoka kumwelewesha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani israel yupo vitani na Syria mpaka kila siku atumie ndege vita.Israel anatumia sana f-16 na f-18 kwenye mashambulizi Syria.
Israel ndo mtu wa kwanza kutumia F-35 kwenye mashambulizi.na imetumika mara 4 tu kwenye mashambulizi,mpaka walipoamua kutozirusha kwa sababu ya kuonekana zina shida.
Sasa hapo zimetumika vipi.ungeniambia F-16 nisingepinga maana ni ndege iliyotumika sana kwenye operation nyingi na pia katika ndege bora zilizofanya vizuri uwezi kukosa kuitaja.
Kwenye F-16 walitulia.wanastahili pongezi[emoji120]
Hizi kampuni zinafurahia vita iendelee na Urusi kushindwa maana ndo watauza silaha zaidi.US weapons sales to NATO states nearly doubled in 2022
globalvillagespace.comDec 31, 2022 10:37 AM
US weapons sales to NATO states nearly doubled in number and value in 2022, Foreign Policy magazine reported on Thursday. With the conflict in Ukraine draining European military stockpiles, the top US arms merchants have all seen their share prices skyrocket.
weapons sales to NATO
US weapons sales to NATO states nearly doubled in number and value in 2022, Foreign Policy magazine reported on Thursday. With the conflict in Ukraine draining European military stockpiles, the top US arms merchants have all seen their share prices skyrocket.
The US government approved 14 major US weapons sales to NATO members in 2021, totalling around $15.5 billion, the magazine stated, citing an analysis of Pentagon figures. By the end of 2022, it had approved 24 sales worth roughly $28 billion.
While some of these deals were negotiated years beforehand, Russia’s military operation in Ukraine sent NATO’s European members scrambling to bump up their military spending, and to replenish vehicles, weapons, and ammunition donated to the Ukrainian military.
Latvia, Lithuania, and Estonia have all ordered HIMARS Multiple-Launch Rocket Systems (MLRS), the same systems the US has given dozens of to Ukraine. Earlier this month, the US State Department authorized the sale of 116 M1A1 Abrams tanks to Poland, after Warsaw sent its Soviet-era T-72 and domestically-made PT-91 tanks to Kiev’s forces.
Amid the rush to arm Ukraine, European and American arms stockpiles are running low, according to media reports and admissions by top officials.
In addition to the arms sold to its allies, the US has also allocated more than $110 billion in military and economic aid to Kiev since February, with approximately $21 billion worth of weapons transported to Ukraine as of December 21.
The unprecedented strain on US stockpiles – Washington had given Kiev a decade’s worth of Javelin missiles by September, for example – has resulted in record profits for the arms industry.
The US’ four largest defense contractors are all ending the year with their stock at or near all-time highs. Lockheed Martin’s share price is currently up 37% from this time last year. Boeing’s stock, which had taken a hammering since the Coronavirus pandemic grounded flights worldwide, has been buoyed by the conflict in Ukraine and now sits roughly where it did a year ago.
Raytheon has seen its share price rise by 17% this year, while General Dynamics has increased in value by 18%.
The success of these companies is so intertwined with the demand for weapons in Ukraine that Northrop Grumman, Raytheon, Pratt & Whitney, and Lockheed Martin all sponsored a reception at the Ukrainian embassy in Washington, DC earlier this month, causing controversy when they emblazoned their logos on the invitations.
Silaha za Urusi nyingi ni za kwenye karatasiHizi tunaweza kuzifananisha na T14 Armata yaani 'features' zake na kwenye utendaji ?
Sela Son HIMARS
Ha ha haa ,umembana sana .Haya yote uloyaandika hayauondoi ukweli kwamba f35 zinashida nandio maana zimepigwa stop
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka ushahidiSilaha za Urusi nyingi ni za kwenye karatasi
Na kwa west hasa USA Ugaidi ni haramu,lkn Sasa hivi inavyoonekana west wanaunga mkono Ugaidi.Kilichobaki ni Ukraine [emoji1255] mashoga kufanya vitendo vya kigaidi
Yani sasa hivi wanavyofanya wanawalipa magaidi ili waende kupigana UkraineNa kwa west hasa USA Ugaidi ni haramu,lkn Sasa hivi inavyoonekana west wanaunga mkono Ugaidi.
Ata ikibaki magofu tayari ukraine ameshapata ushindi mnono wa kuigeuza operation ya saa 72 kuwa ya muda hambao hautapungua miaka miwili..,Kwa mwendu huu ukrain itabakia magofu
Wew dogo huwa Ni msenge Sana ,Mpaka Sasa Putin anatafta namna ya kumaliza hii vita lakini bado amenasa.., mikwara yote imegonga mwamba View attachment 2464812
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app