Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Kupitia Trophy Merkava imefanikiwa kujilinda dhidi ya Kornet lakini still hakuna mfumo wa Ulinzi wenye ufanisi 100%Kweli but mbinu hii ya Ulinzi Ni Kama kupiga risasi kwa risasi. Ipo katika NATO ipo pia katika Russian made t90 M but bado so effective dhidi ya ATGM za kisasa Kama Javelin na Kornet
Ok.Kupitia Trophy Merkava imefanikiwa kujilinda dhidi ya Kornet lakini still hakuna mfumo wa Ulinzi wenye ufanisi 100%
During the fighting between Israel and Hamas in Gaza in the summer of 2014, of the 15 anti-tank missiles which launched on Israeli tanks that were intercepted by the Israeli active protection system Trophy, most were of the Kornet type. In some cases the Kornet launchers were destroyed after the Trophy system had detected the launch and directed the tank's main gun to the launcher position.[45]
9M133 Kornet
We mwanamgambo wa Ukraine bado unakaza shingoMwaka unamalizika hivyo huku warusi wakiendelea kulambishwa mchanga..,tusikose kuwaombea, Putin kaamua kwa makusudi kabisa kuwapeleka machinjioni watoto wa mother Russia 🥱View attachment 2464672
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Usiseme "unabishana" sema " unamtukana" kp kipanya44 ??Oh mkuu unabishana na kp?
Achana nae huyo utapoteza energy nyingi.bila shaka u mgeni humu.
Hapo umewasahau, bush,na Tony
We jamaa huwa napenda sana arguments zako.. Hauna utoto na upumbavu kama mjinga flani humu."Majority ya weapons nyingi za west zinafanya vizuri kwenye stone age republic"
Waulize Urusi wakati huo (USSR) kilichowakuta baada ya kujaribu kwenda One Vs One na Israel kwenye vita vya anga.
Wakati huo Israel alikua na F-4 phantom ya Mmarekani na Mirage III za Mfaransa,zilitungua Mig 21 ambazo zilikua zikiendeshwa na marubani wa kisovoeti wenyewe. MIG 21 zote za USSR zilitunguliwa bila Israel kupoteza ndege hata moja. Kwa upande wa angani hawa jamaa hawana mpinzani.
Operation iliitwa Operation Rimon 20. Jaribu kuipitia uone warusi (sovieti) walivyokula kichapo heavy.
Na hawo pro rusia wanaotuma video kutoka YouTube nao wanaokoteza?[emoji23][emoji23][emoji23] achana na huyo jamaa uwa anatafuta views,video zake uwa ni zakuokota okota tu.kuna uyo bwan, pia yupo na pacha wake anaitwa Vunjo.akipata support kutoka kwa shoga yao Kipanya44[emoji23][emoji23][emoji23]
Source ?..Zelensky in his New Year's address mentioned how "a woman shot down a drone with a can of tomatoes."
Ni akina nani hao??? Wataje hapaNa hawo pro rusia wanaotuma video kutoka YouTube nao wanaokoteza?