Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Huyu ni kijana mwenye kichwa kikubwa kuliko mwiliJamanii Huyu jamaa anaweza akawa ni MTOTO, kama sio hivyo basi anaweza akawa mirembe.
Nalala ila naendelea kuamini hakuna mashambulizi yaliyofanywa na Ukraine ndani ya miji ya Urusi leo kama alivoripoti jasusi misheni town Axel Lloyd. Leo nimeshinda kwenye tv ila sijaiona hii habari zaidi ya kumuona Zelensky analia na kumlaani Putin wakati jasusi wa viwanja na nyumba za kupanga ndugu Axel Lloyd anasema drone zote za Urusi zilitunguliwa
Angalia juu hapo mbona unapita kama unioni sheikh wangu[emoji23][emoji23][emoji23]Zelenksy anayelialia ndo huyu au?![emoji116]
[emoji298]Evening address of the President of Ukraine Volodymyr Zelenskyі:
"New year, new day, new results. 45 "Shaheds" were shot down on the first night of the year. Thanks to our Air Force - pilots and anti-aircraft gunners: 33 "Shaheds" on their account.
I thank the air defense of our Ground Forces for another 12 downed Iranian drones. Well done boys!"
Unataka TV ikutangazie mpk kahotuba kama haka Ka Zelenksy?! Mambo mengine ni kujitaftia mwenyewe... Twitter kuna channel ambazo zinareport hii vita 24/7.
Wapi tena Sheikh....maana sijaona notification ya kuniquoteAngalia juu hapo mbona unapita kama unioni sheikh wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari mbaya kiupande wetu team RUSSIA.Tunangoja uthibitisho
Ukraine used HIMARS to strike a school building housing hundreds of a Russian soldiers in Makiivka today.
Ndugu zangu baadhi ya ProRussia watakwambia wamekaa kwenye TV kutwa nzima hawajaona hiyo taarifa hvyo ni fake,au hawajaona kwenye vyombo vya habari vya magharibi. Angetokea mwingine angesema nina undugu na Vunjo hivyo hiyo taarifa ni ya mchongo,km umeongea ww ndugu Yao wa damu Labda watakubali hiyo taarifa.Habari mbaya kiupande wetu team RUSSIA.
Nimeona kurasa hii pia wamepost hii taarifa na si kawaida yao kupost mara kwa mara habari mbaya kwa upa de wa RUSSIA.
walikuwa wanakunywa na kusaza kusherehekea mwaka mpya
Bado anaogopa kuambukizwa Covid-19 ?Hii picha mm ninayo na urefu wa meza sio kama huu wa picha yako. Ngoja nione km naweza kuiweka hapa. Hii ni picha ya kupikwa. Again, Propaganda!View attachment 2163414
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nilichojifunza kwenye hii vita siku unayozidiwa kiintelijensia basi hapo hapo adui yako anaitumia faida hiyo.Ndugu zangu baadhi ya ProRussia watakwambia wamekaa kwenye TV kutwa nzima hawajaona hiyo taarifa hvyo ni fake,au hawajaona kwenye vyombo vya habari vya magharibi. Angetokea mwingine angesema nina undugu na Vunjo hivyo hiyo taarifa ni ya mchongo,km umeongea ww ndugu Yao wa damu Labda watakubali hiyo taarifa.
Bwana Utam kwenye ubora wake...😂😂Manazi wa RUSSIA wanamisimamo ya wastani
Manazi wa UKRAINE wanamisimamo mikali kifo pekee ndio kinawastahili waache waendelee kufa