LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Umeongea point muhimu sana watu kuelewa kuwa mabeberu yako smart sana kwenye mambo yao. Russia mwenyewe anajua mabeberu yanamfuatilia kila step kwenye operation yake Ukraine na inawezekana logistics nyingi jeshi la ukraine linapata kutoka kwa mabeberu
 
Maduro atafaidi sana huu msimu... Siwaoni EU na Uk wakiban hii rasilimali
U.K. Plans to Ban Russian Oil Imports in New Sanctions Move
Imports of oil, refined products to be phased out by end-2022
U.K. acts in concert with U.S.; ban won’t apply to natural gas
 
Ukraine itakuwa Somalia ya Ulaya soon.....
1.Si silaha zote zitarudi hata baada ya vita kuisha, lazima vitazaliwa vikundi vingi vya waasi kama sio magang ya Uhalifu ( Ukizingatia uchumi utakuwa umeyumba)
2.Kuna mahala nimeona wapiganaji kutoka middle East wanakuja kujitolea ( Tunawajua hawa watu, na tabia zao za looting zinafahamika). Watalowea hapo Ukraine na kinachofuatia kinafahamika.
 
BREAKING NEWS

Sasa ni Rasmi. Marekani imepiga marufuku uagizaji wa mafuta kutoka Marekani. Marekani iliagiza wastani wa mapipa Milioni 20 kila mwezi kwa mwaka 2021.
 
The European Union does not intend to ban the import of Russian energy carriers, said the head of European diplomacy, Josep Borrell.
 
BREAKING NEWS

Sasa ni rasmi. Marekani imepiga marufuku kuagiza Mafuta kutoka Urusi. Marekani iliagiza wastani wa mapipa Milioni 20 kila mwezi kutoka Urusi.
 
Kipigo kinawachanganya Russia sana
 
Mwana umetisha, hadi yeye mwenyewe yuko kimya
 
Kumbuka USA alikuwa anavipiga nchi ndogo ndogo vya dunia ya tatu
Kwani mrusi anavipiga vinchi vikubwa kubwa ?
anavipiga nchi ndogo ndogo vya dunia ya tatu
Kwa hiyo mpigani anapotoka dunia ya kwanza na kuipiga nchi ya dunia ya tatu basi huyu mpigani wa dunia ya kwqnza anakuwa sio taifa teule kwa sababu tu katoka dunia ya kwanza ?

Lakini mpogaji wa dunia ya kwanza akiipigia nchi yoyote ya dunia ya kwanza basi inakuwa mpigaji huyu ni taifa teule kwa sababu tu ameipiga nchi ya dunia ya kwanza mwenzake ?


kwa msaada wa nchi wanachama NATO
Umetumia marejeo gani kwamba nchi ikipata msaada wa NATO inakuwa sio taifa teule ?
Na katika harakati zake hakupata vitisho wala vikwazo toka nchi zote kaama ilivyo kwa sasa kwa Urusi
Umetumia marejeo gani kuhitimosha kwamba nchi ikivamia bila vitisho vyovyote haiwi taifa teule na nchi ikivamia ikapewa vitisho basi inakuwa taifa teule ?
 
Russia calls for return to 'peaceful co-existence' with U.S. like during Cold War -Interfax
Reuters

March 8 (Reuters) - Russia and the United States should return to the principle of "peaceful co-existence" like during the Cold War, the Interfax news agency cited the Russian foreign ministry as saying on Tuesday.

The foreign ministry added that it was open to honest and mutually respectful dialogue with the United States and that hope remained that normalcy in relations between the two countries could be restored, Interfax reported.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…