LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
NYUNDO YA MOTO huwa anadai anatoa taarifa zisizokuwa biased 😂.Mkuu hawa Pro Russia wenyewe wanaongea haya kuwapondea Mabeberu lakini wengine unakuta wanakula bata Nchi za Mabeberu au ndoto zao ni kwenda kuishi huko.Ikitokea wakapewa option ya kwenda kuishi Russia au USA sote tunajua watakimbilia kuishi USA.Twende nao hivyo hivyo hapa Jamvini lakini katika uhalisia wa maisha wote dreams zao ni kwenda kutafuta maisha au kuishi kwa Mabeberu

Swala la kuanzisha mashindano yake mwenyewe ya mpira nnje ya UEFA ni sawa na kuanzisha Ndondo Cup,hao Footbollers wa Russia wanadream na wanapenda kwenda kuchezea Clubs kubwa kubwa kwa Mabeberu leo hii uwafungie Russia na mashindano yako ya Ndondo Cup nani atakubali?

SLAVA UKRAINE.
Umeongea point muhimu sana watu kuelewa kuwa mabeberu yako smart sana kwenye mambo yao. Russia mwenyewe anajua mabeberu yanamfuatilia kila step kwenye operation yake Ukraine na inawezekana logistics nyingi jeshi la ukraine linapata kutoka kwa mabeberu
 
Maduro atafaidi sana huu msimu... Siwaoni EU na Uk wakiban hii rasilimali
U.K. Plans to Ban Russian Oil Imports in New Sanctions Move
Imports of oil, refined products to be phased out by end-2022
U.K. acts in concert with U.S.; ban won’t apply to natural gas
 
Ukraine itakuwa Somalia ya Ulaya soon.....
1.Si silaha zote zitarudi hata baada ya vita kuisha, lazima vitazaliwa vikundi vingi vya waasi kama sio magang ya Uhalifu ( Ukizingatia uchumi utakuwa umeyumba)
2.Kuna mahala nimeona wapiganaji kutoka middle East wanakuja kujitolea ( Tunawajua hawa watu, na tabia zao za looting zinafahamika). Watalowea hapo Ukraine na kinachofuatia kinafahamika.
 
BREAKING NEWS

Sasa ni Rasmi. Marekani imepiga marufuku uagizaji wa mafuta kutoka Marekani. Marekani iliagiza wastani wa mapipa Milioni 20 kila mwezi kwa mwaka 2021.
Screenshot_20220308-204809.jpg
 
The European Union does not intend to ban the import of Russian energy carriers, said the head of European diplomacy, Josep Borrell.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
BREAKING NEWS

Sasa ni rasmi. Marekani imepiga marufuku kuagiza Mafuta kutoka Urusi. Marekani iliagiza wastani wa mapipa Milioni 20 kila mwezi kutoka Urusi.
Screenshot_20220308-204809.jpg
 
This video, according to social networks, is filmed as the Ukrainian Armed Forces transport weapons, in particular the British NLAW, in civilian vehicles.

The Russian military has previously stated that Ukrainian nationalists are using the civilian population of their cities as human shields. These words are confirmed by the refugees who managed to escape.
View attachment 2143570
Kipigo kinawachanganya Russia sana
 
Leo Israel imeivamia nchi huru ya palestina,
inaua wapalestina kibao kwenye nchi yao na kujiongeza mipaka kinyume na michoro halali ya umoja wa mataifa,

USA wapo kimya,
NATO wapo kimya,
EU wapo kimya,
AU wapi kimya,
Umoja wa mataifa wapo kimya,
Wewe mwnyw pia upo kimya,

You Ni kuskilizia marekani anamtetea yupi, yupi anamkandamiza.
Sijaona comment yako ya kulaani Hilo, au unadhani wale wapalestina wanaokufa kila siku kwny ardhi yao walimkosea Nini mungu.

Hebu tuache double standard,
Hii Dunia Ni yetu sote, Hakuna many hati miliki ya kuwafanya wenzie watumwa kwny ardhi ya mungu.

Karma Ni Kama msumeno bwashee[emoji4][emoji106]
Mwana umetisha, hadi yeye mwenyewe yuko kimya
 
Kumbuka USA alikuwa anavipiga nchi ndogo ndogo vya dunia ya tatu
Kwani mrusi anavipiga vinchi vikubwa kubwa ?
anavipiga nchi ndogo ndogo vya dunia ya tatu
Kwa hiyo mpigani anapotoka dunia ya kwanza na kuipiga nchi ya dunia ya tatu basi huyu mpigani wa dunia ya kwqnza anakuwa sio taifa teule kwa sababu tu katoka dunia ya kwanza ?

Lakini mpogaji wa dunia ya kwanza akiipigia nchi yoyote ya dunia ya kwanza basi inakuwa mpigaji huyu ni taifa teule kwa sababu tu ameipiga nchi ya dunia ya kwanza mwenzake ?


kwa msaada wa nchi wanachama NATO
Umetumia marejeo gani kwamba nchi ikipata msaada wa NATO inakuwa sio taifa teule ?
Na katika harakati zake hakupata vitisho wala vikwazo toka nchi zote kaama ilivyo kwa sasa kwa Urusi
Umetumia marejeo gani kuhitimosha kwamba nchi ikivamia bila vitisho vyovyote haiwi taifa teule na nchi ikivamia ikapewa vitisho basi inakuwa taifa teule ?
 
Russia calls for return to 'peaceful co-existence' with U.S. like during Cold War -Interfax
Reuters

March 8 (Reuters) - Russia and the United States should return to the principle of "peaceful co-existence" like during the Cold War, the Interfax news agency cited the Russian foreign ministry as saying on Tuesday.

The foreign ministry added that it was open to honest and mutually respectful dialogue with the United States and that hope remained that normalcy in relations between the two countries could be restored, Interfax reported.
 
Back
Top Bottom