Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia akikwambia wamekufa 63 piga mara tatu yake,hawa nakumbuka walituambia Moskva haina tatizo lolote siku baadae wakaja kukiri Meli imezama ilipata ajali ya Moto.
Kabisa mkuu, usitegemee kiongozi wa urusi akasimama na kukuambia " tumepoteza askari 63" na wewe ukaiamini hiyo habari

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wengi wa watu wataona mbn Ukraine wanafanya mambo yasiyotarajiwa kwenye ardhi ya urusi na urusi yuko tu idly by bila reaponse ya maana.

Kuna mambo mengi hapo na Urusi anaact kwa uangalifu sana with strategy wala sio kwa kukurupuka na mihemko. Mimi kwa mtazamo wangu nahisi response ya Urusi ni kinyume na inavyotarajiwa na wengi kwa sababu;-

1. Kwanza, Nyingi ya taarifa zinazoletwa zimejazwa chumvi. Propaganda. Inategemea na upande unapoptoa taarifa. Sasa hivi hata tukio la kawaida tu alimradi litaashiria udhaifu wa Urusi litahusishwa na vita. Situation kwenye ground ni tofauti kbs. Na Kremlin hawawezi fanya maamuzi kwa kufuata propaganda za namna hii. Inakuingia akilini anga la Ukraine linalolindwa na s300 drone zote zinazotumwa zinadunguliwa alaf anga la Urusi linalolindwa na s400 drone zikitumwa zinafika!? Basi ni muda tu hatuna ila tungeanza kuchambua kila taarifa ya kila tukio inayotumwa hapa kupitia vyanzo mbalimbali ili tujaribu kupata picha ya hali halisi ya propaganda kwenye hii saga.

2. Labda Response ya kukurupuka kutoka kwa Urusi ndio hasa kusudio la Ukraine! Urusi hawezi kucheza mziki/kwenda na mdundo wa Ukraine. Zipo sababu kwa nini Urusi hakuanza mashambulizi mazito hapo mwanzo. Sababu hizo hizo ndio zinazofanya anakwenda kwa step along tha way. Hakuna sababu ya kuacha plan yako ya vita ukikimbilia kujibu shambulio lililofeli la drone kwenye ardhi yako.

3. Urusi wanaupima uwezo wao wa kivita wenyewe na hawajali wengine wanasema nini! Hakuna haja ya kufanya mambo nje ya plan zako ili tu uprove kwa dunia kwamba unaweza. Ikiwa wewe unajua kwamba unaweza basi inatosha. The rest of the world's opinion doesn't matter. Lengo la propaganda na uongo kwenye baadhi ya report ni kuonesha udhaifu wa Urusi. Urusi yeye anajua sio dhaifu ndio maana hahitaji kufanya jambo kubwa ili tu aprove hasa kama hilo jambo haliko kwenye plans zake kwa sasa. Ndio maana Surovikin aliomba kuhamisha wanajeshi ukingo wa pili wa mto dnipro na akasifiwa na Shoigu licha ya kuwa the rest waliona kama ni dalili ya udhaifu. Haina haja ya kuabandon wanajeshi wako wafe eti unataka usionekane mdhaifu.

Mwisho, Wapo wanaosema Urusi hakutegemea kama vita ingechukua muda mrefu hivi. Pengine wao ndio hawakutegemea. Kwa mzigo wa vikwazo na misaada waliyompa Ukraine walikuwa na uhakika kbs it was only a matter of time kbl Urusi hajarudisha majeshi nyuma na kuregret kuingia Ukraine.

Vita kuchukua muda mrefu ni swala la kumpongeza Urusi considering all circumstances.
i. Misaada. Juzi Biden wamtetangaza kifurushi kingine cha msaada kwa Ukraine cha dola bilioni 45. Endapo kifurushi hiki kikipitishwa bungeni (which is most likely to happen) Kwa jumla ukichanganya na zile za mwanzo ni zaidi ya dola bilioni 90 kutoka US tu ndani ya miezi 10. Hicho ni kiwango kikubwa kuliko bajeti yote ya defence ya urusi kwa miezi 12. Bado msaada kutoka ulaya na mataifa mengine. Unawezaje kupigana na taifa linalosaidiwa namna hii kutoka mataifa yenye nguvu duniani kwa miezi kumi bila kuyumba huku ukifanya advances!?
ii. Mwanzo wanajeshi wa Urusi waliokuwa deployed Ukraine ni around laki 2.5 to 3. Hawa wanashikilia zaidi ya kilomita laki za mraba imagine hiyo line ya frontline ni ndefu kiasi gani kuanzia kharkiv mpk kherson!? Dhidi ya jeshi la Ukraine lililokuwa na wanajeshi 300k jumlisha mobilization iliyofanyika nchi nzima na wanaume kuzuiwa kutoka jumlisha maelf ya foreign mercenaries.
iii. Vikwazo
iv. Style ya upiganaji wa urusi yenye kujali zaidi maisha ya raia na wanajeshi wake.
 
Kuna raia walidai Vita vya Sasa vifaru sio lazima Sana na drone zimechukua nafasi (wakitolea mfano huu mzozo) ila naona bado vifaru vitaendelea tu kutumika.

Axel Lloyd HIMARS Sela Son
Vifaru ni lazima mno na muhimu. Kasome 1st Tank Brigade ya Ukraine ilivyozuia mashambulizi ya Russian 41st Combined Arms Army na vikosi vingine wakati ilizidiwa mara 10 kwa ukubwa. Battle of Chernihiv ilipigwa hasa na 1st Tank Battalion ambayo ni the best kwa Ukraine na ilipokea mafunzo miaka ya hivi karibuni kutoka nchi za Ulaya
Wana hasa hasa modernized T-64BM ambazo Ukraine huwa inauza hata soko nje. Wiki za mwanzo zile waliofanya Russia isifike Kiev ni hawa, Chernihiv haiko mbali na Kiev hata 60km sidhani kama zinafika

Na wengine waliofanya kazi kubwa hasa kwa vikosi vya Russia vilivyokuwa kwenye miji ni artillery men. Vifaru vilipigana uko mbugani na kwenye vicinity ila vilipoingia mijini Ukraine wakatumia artillery zaidi na anti tank missiles zao na muda ukasogea zaidi wakapewa Javelin na zile za British & Sweden nimezisahau jina. Baadae wakapewa Panzerfaust chache za Wajerumani.

Vita haitaki vilaza, watu smart tu ndio huongoza vizuri majeshi. Kuna nchi zinaweka emphasis wenye akili pekee na wastaarabu ndio wafanye maamuzi, training, waongoze mapambano. Vifaru kama silaha nyingine havitaki uvitumie kichwa kichwa, hata Turkey walifanya hivyo pale Syria wakajikuta wanavirudisha nyuma kwa maumivu makali

Hapa niko napitia artillery za Finland. Huwa hawakubali kwenye hii sekta ukitaka kasome, translate from Suomi Suomella on järisyttävän suuri ja kadehdittu tykistö
 
Kuna raia walidai Vita vya Sasa vifaru sio lazima Sana na drone zimechukua nafasi (wakitolea mfano huu mzozo) ila naona bado vifaru vitaendelea tu kutumika.

Axel Lloyd HIMARS Sela Son
Changamoto za drone hazifanyi umuhimu wa vifaru kupotea hasa kwenye vita vya ardhini. Haitachukua muda mrefu hizi nchi kubwa zitaadapt hiyo changamoto ya drone na kuzitaftia mbadala wake.
 
Pro Russia mwanzoni mlikuwa na mbwembe sana huku mkiendeshwa na mihemko..,Leo hii baada ya kuona uhalisia ndo mnaweza kutulia na kutoa uchambuzi hambao angalau unaelekeana na ukweli..,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Pro Russia mwanzoni mlikuwa na mbwembe sana huku mkiendeshwa na mihemko..,Leo hii baada ya kuona uhalisia ndo mnaweza kutulia na kutoa uchambuzi hambao angalau unaelekeana na ukweli..,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Teh teh 😂😂 akili zimeanza kurudi....Kuna wale jamaa walikuwa wanaandika comments kwa lugha ya 'kirusi' wamepotea kabisa.

Yoda MK254 dudus
 
Kuna raia walidai Vita vya Sasa vifaru sio lazima Sana na drone zimechukua nafasi (wakitolea mfano huu mzozo) ila naona bado vifaru vitaendelea tu kutumika.

Axel Lloyd HIMARS Sela Son
Aliye sema vifaru havina faida ni huyo huyo .
Kwa vita ya ardhini vifaru vitaendelea kuwa muhimu sema baada ya hii vita nchi nyingi zitajikita kwenye kuviboresha ili visiharibiwe kirahisi maana kwenye hii vita vinaharubiwa kirahisi sana.
 
Hivi uhakika wa hii habari upoje? Nisaidie tafadhali!

Nimekunywa dawa inanipa usingizi nahisi muda si mrefu nitalala.
Claimed by Ukraine -400
Claimed by Russia -63

Ila unajua mtu ukishushiwa kitu kizito huwezi sema exact figures na mtu ukimshushia mwenzio kitu kizito unaweza ukazidisha chumvi.

My estimation 63x3~~around 200
 
Claimed by Ukraine -400
Claimed by Russia -63

Ila unajua mtu ukishushiwa kitu kizito huwezi sema exact figures na mtu ukimshushia mwenzio kitu kizito unaweza ukazidisha chumvi.

My estimation 63x3~~around 200
Nimeipata ripoti nyengine. Hapa Russia kala kapigo!


Na hii ni ripoti kutoka telegram inayounga mkono Russia kwenye hii OP.
 
Lakini simlituambia ni 600 ndo wameuwa?
Hizo taarifa za kufa mamia ya wanajeshi zilianzia toka Telegram channels za ProRussia na baadhi ya viongozi wa DPR. Ukraine imekuja kukiri Leo kufanya hilo shambulizi

Igor Girkin, a former Federal Security Service officer who helped Russia annex the Black Sea peninsula of Crimea in 2014 and then organise pro-Russian separatist forces in eastern Ukraine, said on Monday that “the number of dead and wounded runs into many hundreds.

Daniil Bezsonov, a senior Russia-backed official in the region, said the vocational college had been hit by HIMARS rockets a minute after midnight on Saturday.

“There were dead and wounded,” Bezsonov said late on Sunday in a post on the Telegram messaging app. “The exact number is still unknown. The building itself was badly damaged.
Russia says 63 troops killed in attack on Donetsk barracks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…