Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Pitia hapaMaombi yenu jamani.., warusi wanapukutika mno 🥱🥱View attachment 2469884
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimemuonyesha hii videoPitia hapa
Russian Lancet Drones Take Out More Ukrainian Military Equipment (Videos)
On January 4 and 5, Russian sources shared videos documenting three recent strikes with Lancet loitering munitions on equipment of...southfront.org
Sasa mbona imemega eneo la Ukraine ?Mkuu haujui kuwa Russia ina eneo zaidi ya nusu ya eneo lote la Africa?
Uliona mbali...Nachoona Putin atapoteza wanajeshi wengi,wengi watakaoenda Ukraine asilimia kubwa hawatarudi hai
Mh!... military analystNikifanya Tathimini ya haraka naona kama vile Tz inauwezo mkubwa kijeshi kuliko Ukraine. Mimi nadhani tukipigana tunamkalisha tu.
Saw wa Ukraine ina wahusu niniSasa mkuu hivi unajua kusoma kweli ulichoandika na post yako ilivyoeleza ni TOFAUTI kabisa.
Ishu ni Christmas ya orthodox ndio DINI yao .
Hawezi ku give up sio kwasababu hapendi,ni kwasababu mazingira haya mruhusu ku give up.Ukifel jambo si kwamba maamuz hayakuw saw ni kwamb hatakiw ku give up
Sio swala la utumwa, huo ndio ukweli.Watu kama nyie mnafaa kuwa watumwa maisha yenu yote
Urus alipigwa mkwara na USA na Magharibi kwamba akitumia silaha za maangamizi watamjibu, na yeye Urus akausoma mchezo anaweza kuiharibu nchi yake bure, labda mifumo yake ya kuzuia makombora siyo imara. Rejea mashambulizi ndani ya Urus kutoka Ukrain yalivyopenya.Sio swala la utumwa, huo ndio ukweli.
Putin ameilea hii vita kijinga sana.
Alikuwa na uwezo wakuimaliza ndani ya mwezi mmoja na nusu,uwoga unamcost Sasa.