Ndio mana nimesema uwoga umemcost, otherwise labda tunamuona so special na tuna expect kitu ambacho hana.Urus alipigwa mkwara na USA na Magharibi kwamba akitumia silaha za maangamizi watamjibu, na yeye Urus akausoma mchezo anaweza kuiharibu nchi yake bure, labda mifumo yake ya kuzuia makombora siyo imara. Rejea mashambulizi ndani ya Urus kutoka Ukrain yalivyopenya.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huyu naye anatembelea kiki ya USABREAKING:
Germany officially confirms that it will send a battery of its Patriot Missile Defense System to Ukraine.
Poland was offered a Patriot battery from Germany a few weeks ago and asked it to be sent to Ukraine instead.
Berlin would not agree to it at that point.View attachment 2470467
Hadi sasa ana hasara ya watu zaidi ya 200,000Nachoona Putin atapoteza wanajeshi wengi,wengi watakaoenda Ukraine asilimia kubwa hawatarudi hai
Special epereshen hambayo imemobilize raia kwenda kupigana,sawaMSICHANGAYE HII
NI SPECIAL MILITARY OPERATIONS ZONE.
SIJUI MNAKUMBUKA HIO.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Bradley IFV
Marder IFV
Kupelekwa Ukraine
No hajamaanish porn but kuwa na simu Ni rahisi ku be- tracked na mifumo ta Ulinzi na hivyo kuangamizwa.So Askari wa Russia walikuwa wanaangalia Porn wapige nyeto au?
Ila Waziri wa Ulinzi ametoa excuse ya ajabu [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee hizi picha ni kama zimepostiwa tena[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Wanamgambo wa Ukraine wamepokea kipombo kitakatifu mpaka wamekimbia machuma Yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2470570View attachment 2470571View attachment 2470573View attachment 2470574
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa mujibu wa data za kimagharibi kudungua na kyizamisha carrier Ni kazi ngumu. Ni ngumu kweli Tena Sana kwa nchi Kama Kenya, shelisheli na Zimbabwe. Ila linapokuja swala la direct war na taifa kubwa Kama Russia Carrier Ni shabaha ya wazi zaidi.Acha ubishi, kuizamisha carrier sio rahisi
HahhaaaaHali mbaya huko
Zele amelie tuu vita
Ceasefire sababu ya Orthodox Church Christmas ambayo ni sikuku kubwa kwao uko Russia. Hizo siku mbili wataomba miungu yao. Siyo sisi uku tunasherekea Christmas bila kuomba miungu zetu mababu na mabibi zetu waliotangulia. Tunaomba miungu wa Israel, isiaka, Joshua, yakobo, Petro, etc. Na muslimu wanaomba miungu ya uko uharabuni. Tungekuwa tunaomba miungu zetu akina tembo, mapunda, mangi, mkwawa, mirambo, koku, rutashobya, etc. Ndo maana baraka zinatupita mbali mababu na mabibi zetu wanashangaa kwa nini hatuwaombi na kuwaombea. Badala yake unaomba miungu za watu wengine baraka zinaenda uko. Ndo maana wahindi, Japan, Wachina, wanaomba miungu yao wanapata baraka zote maendeleo na akili kubwa sisi tunabaki kuwa watazamaji tu. Wazungu na waharabu walituweza sana.Cease fire inahusu mpaka wanajeshi tunaokesha humu. 🙂
Russia ana submarines mamia na za ziada kibao. Ukiskia mashambulizi Wenda Ukraine kwa kalibri missiles ujue Ni kutoka submarines.Ina maana Supa-pawa hakukamilisha zile assault ships project 23900 ? Au alitaka tu kuongeza teknolojia kutoka Ufaransa ?
Zile submarine zake kina Yasen hazijatumika mpaka Sasa ?...au zile ni kwa Vita ya nyuklia tu ?