kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Yeah,hili jibu Lilimlenga 1954 aliyekuwa anauliza hasara anazopata Ukraine kwenye hii vita,Mkuu bila shaka ulikusudia kumjibu mwingine.
Sio kweli.....Na sasa anapigana hao hao Poland na Finland na kaka zao kama 30 hizi akiwemo USA.
Acha waendeleze propaganda zao tuTunazidi kusogelea mji wa Lyman.muda sio mrefu kitaeleweka.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2470844
Bado vita mbichi mkuu , Leo Russia amerudisha Mkia mkunduni anasema anakula Christmas mkuu.Kumbe kaharibu mikoa kibao mbona wanasema kashindwa vita.
Sema US kupitia oblast yake ya Ulaya imethibitisha......Germany officially confirms that it will send a battery of its Patriot Missile Defense System to Ukraine.
Kumbe anapumzika atarudi, waambie tunasubiria mpambano huku.Waambie wote.Bado vita mbichi mkuu , Leo Russia amerudisha Mkia mkunduni anasema anakula Christmas mkuu.
Hebu Tuonyeshe hao 200,000 wamekufaje maana repost za NATO wenyewe WANASEMA URUSI walipeleka wanajeshi 150,000 Ukraine.Hadi sasa ana hasara ya watu zaidi ya 200,000
Defence ya vikosi vya Ukraine naona imeanguka kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The Soledar Center is under the control of the Wagner PMCs and other divisions. AFU is withdrawing en masse, Russian Army troops are moving densely further