Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vyombo vya habari vya magharibi hawatangazi hivi vitu daaa.
Ila ile ya 89 wa URUSI walitangaza.
Aljazeela na France international wanajitaid sana kubance lakini hiyo habari siioni uko..,kwa ufupi ni kwamba urusi Bado anatafta kwa nguvu dawa ya kuponya maumivu ya kile kipondo Cha makiivka,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

Mkuu unaweza kufafanua hii
 
Ile referendum iliishia wapi wakuu.., maana naona warusi wanaendelea kushushiwa kipondo na kupukutika haswa [emoji848]View attachment 2473737

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mmebakiza vita ya kwenye makaratasi ila uwanjani hamna mnachofanya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].


Mataifa zaidi ya 60 zidi ya mwanaume mmoja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila warusi Kwa Chai....haya walete picha bhas tuone [emoji23]. Inaelekea tukio la Makiivka limewaumiza Sana sasa wanatafuta njia za kupoza hasira wananchi wao
Kwa iyo nyie mlileta picha au mkifanya nyie ni sawa akifanya Urusi basi sio kweli.au nyie maroboti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unawazungumziga hawa waliokimbia bakhmut
Tuma salamu kwa watu watatu

Another attempt by the Russians to storm Bakhmut. The Luhansk border guards detachment dealt with it. Result: 38 wounded and/or dead. Let the footage speak for itself.
 
Hii ndio sababu inayomfanya Putin kutafuta kila aina ya propaganda ili kupoza hasira za wananchi wake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…