Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Alaaaah kumbe kwenye video kuna wanajeshi wa Ukraine wanaotoroka,nilikua sijui!!!!!Yani iyo video ni ya mchongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Umeamua kuwakana wanajeshi wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukraine defence imeanguka kwa sasa.na msitegemee ikianguka sehemu ya jimbo la Donesk iliyobaki basi Urusi ataishia mpakan.mkoa mwingine utaenda kumegwaAlaaaah kumbe kwenye video kuna wanajeshi wa Ukraine wanaotoroka,nilikua sijui!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msafara gani uwo.hapo hakuna hata vifaru 5.ebu kalale kama umekosa kazi ya kufanyaWale mnaondelea kukaza shingo kwamba ule msafara wa warusi kuelekea Kiev haukufyekwa njooni huku.., ukweli ni kwamba jamaa walipukuchuliwa kama seneneView attachment 2475632View attachment 2475634
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndio namaanisha silaha hazitaamua vita ikiwa pande zote wanazo. VIFO vitaamua vita pale KILA Kaya itakapopoteza watu wawili au zaidi .Pale itapotokea hakuna wa kutumwa front kizembeUbaya vita vya sasa ni silaha tu wala sio wingi wa watu kama vile vita vya Ertugul.
Ukraine naona wanapigana vita ya kizamani sana sasa sijui ni kwa sababu gani ikiwa wanapewa silaha nyingi tu ila uwanja wa Vita ni kama vile hazitumiki.
Kwa hali hii Ukraine ataendelea kupata shida kwenye nchi yake, labda kitu pekee cha kuwaponya ni kutengeneza Nuclear.
Warusi pamoja wanasemwa wanapoteza silaha ila hazikauki uwanja wa Vita
Shekhe hujachoka tu,maana tangu last week unarudia maneno hayahaya.Ukraine defence imeanguka kwa sasa.na msitegemee ikianguka sehemu ya jimbo la Donesk iliyobaki basi Urusi ataishia mpakan.mkoa mwingine utaenda kumegwa
View attachment 2475637
nitaangalia kama Jamii forum wana jukwaa la Sayansi na techiHaya maelezo yanachanganya. Ulikuwa unajaribu kuelezea namna ambavyo Hypersonic missiles hazimake sense according to laws of physics km ulivyosema mwanzo au ulikuwa unaelezea cost efficient ya Hypersonic missiles!?
hadi tarehe 31 utakuwa unapost hivi hiviUkraine defence imeanguka kwa sasa.na msitegemee ikianguka sehemu ya jimbo la Donesk iliyobaki basi Urusi ataishia mpakan.mkoa mwingine utaenda kumegwa
View attachment 2475637
December alisema Bakhmut bado kidogo tu inaenda kua ya Urusi,Last week akasema Soledar imeanguka. Leo tena anakuja na ngonjera nyingine [emoji23]nitaangalia kama Jamii forum wana jukwaa la Sayansi na techi
hadi tarehe 31 utakuwa unapost hivi hivi
Yahnitaangalia kama Jamii forum wana jukwaa la Sayansi na techi
hadi tarehe 31 utakuwa unapost hivi hivi
Ukiachilia mbali huo msafara uliogeuzwa majivu..,vifaa vingine vingi vya kijeshi vilivyoharibiwa ,( unrepairable) vimepaki huko Crimea.., urusi kazi anayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msafara gani uwo.hapo hakuna hata vifaru 5.ebu kalale kama umekosa kazi ya kufanya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnateseka mkiwa wapiDecember alisema Bakhmut bado kidogo tu inaenda kua ya Urusi,Last week akasema Soledar imeanguka. Leo tena anakuja na ngonjera nyingine [emoji23]
Msafara mrefu kuwahi kutokea uliogeuzwa majivu ndani ya muda mfupi tuMsafara mrefu kama ule mnajifichaje msipigwe..!!?
Wewe ndo unateseka kupost kitu kimoja miezi miwili "Leo kumeanguka hapa kesho kumenyanyuka pale" Aiseee ni huzuni kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnateseka mkiwa wapi
Sasa nani tumuamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].wewe unasema Crimea.wenzako wanasema Belgolod.Ukiachilia mbali huo msafara uliogeuzwa majivu..,vifaa vingine vingi vya kijeshi vilivyoharibiwa ,( unrepairable) vimepaki huko Crimea.., urusi kazi anayoView attachment 2475646View attachment 2475647
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wakati Ukraine wanaomba West wawape electric bikes ProRussia humu walikua wanawakejeli kumbe wenzao walikua wanataka usafiri ambao hautoi aina yoyote ya kelele ili kupiga ambush misafara ya Urusi halafu anatokea ProRussia toka kwa Mpalange anatuambia ule msafara ulitimiza malengo kwa 100% [emoji23][emoji23]Wale mnaondelea kukaza shingo kwamba ule msafara wa warusi kuelekea Kiev haukufyekwa njooni huku.., ukweli ni kwamba jamaa walipukuchuliwa kama seneneView attachment 2475632View attachment 2475634
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app