kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Lugha ya mfalme unaielewa vizuri kweli??Wanakwepa huku wanajifanya hawajui kilichotokea soledar
Kumbe wanapigana soledar ni wagner group
Alisikika kijana mmoja anayejifanya mchambuzi wa siasa za kimataifa kutoka Namanga.Reuters: Hakuna dalili za kuuawa Kwa wanajeshi 600 wa Ukraine wanaodaiwa kuuawa na Urusi huko Kramatorsk katika shambulio la kulipiza kisasi.View attachment 2476393
Super pawer miyeyusho kweli [emoji2][emoji2]Reuters: Hakuna dalili za kuuawa Kwa wanajeshi 600 wa Ukraine wanaodaiwa kuuawa na Urusi huko Kramatorsk katika shambulio la kulipiza kisasi.View attachment 2476393
Jamaa kakupa chanzo Cha taharifa..,tafta mwenyewe ujisomee kuliko kum-attack personallyAlisikika kijana mmoja anayejifanya mchambuzi wa siasa za kimataifa kutoka Namanga.
Unacopy na kupest.Jamaa kakupa chanzo Cha taharifa..,tafta mwenyewe ujisomee kuliko kum-attack personally
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pro NATO Punguza hasiraWe ndo mpumbavu
Reuters wamelipot kwamba hakuna dalili za askari yeyote wa Ukraine aliyeuwawa huko karamotorsk.., wewe endelea kuamini kwamba waliuwawa Ili ujifurahisheUnacopy na kupest.
Imeingia hiyo.
Askari kufa vitani kawaida ., wewe unashangaa kuumia?? Masihara haya!Daaa inatia HURUMA aiseee
Samahani kama nimekuhuzi reutersReuters wamelipot kwamba hakuna dalili za askari yeyote wa Ukraine aliyeuwawa huko karamotorsk.., wewe endelea kuamini kwamba waliuwawa Ili ujifurahishe
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
| Headquarters | City of London, London, England, United Kingdom |
|---|
Basi hata wale 89 , sijui 400 vile sijui 700 kama mnavodai basi ni KAWAIDA sawaAskari kufa vitani kawaida ., wewe unashangaa kuumia?? Masihara haya!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sio sijui 89'700,400..,ni kwamba asikari zaidi ya 400 wa urusi walilambishwa mchanga for only single hit..Basi hata wale 89 , sijui 400 vile sijui 700 kama mnavodai basi ni KAWAIDA sawa
Naona umevurugwa[emoji28]Samahani kama nimekuhuzi reuters
Naona niwalewale
Headquarters City of London, London, England, United Kingdom
Ungekua hujitumi tusingekuona hapa jukwaani,wenzako ambao hawajitumi hatuwaoni jukwaani Ila wewe kila siku tuko wote[emoji23][emoji23]. Wasalimie hapo KremlinKwa watu makini na wazoefu ni rahisi kwao 'kugundua' au 'kuona' ni nani kati yangu na wewe 'anayejituma'
Pro Russia bhana.Ishu ya Urusi hakuna anayejua kuwa wamepoteza askari wangapi ni wao wenyewe wanajua , na hawajasema wala nini.
Ipa NATo wanajua Ukraine inaskari wangapi maana ni wao waliokuwa wanawapa mafunzo na siraha so wanaelewa kuwa wamepoteza askari wangapi.
Ngoja nikuambie dogo ..mnamo mwaka 1989 (pengine ulikuwa hujazaliwa) kulikuwa na vuguvugu la maandamano ya wanafunzi pale beijing wakipinga mamlaka ...Waliokuwa msitari wa mbele ni wanafunzi mbalimbali wa vyuo vikuu. Basi bwana waanfunzi wale wakajazana pale kwenye uwanja maarufu beijing na china nzima ujulikanao kama Tiananmen Square. Dola ya China ikatoa ultimatum kwa wanafunzi hao kuwa waondoke pale uwanjani. Wanafunzi wale wakapuuza. Dola ya China ikapeleka vifaru, lakini kwa kejeli kubwa wanafunzi wale kwa maelfu wakawa wanawakejeli askari wale kwenye vifaru ambao walikaa tuli wakisubiri amri. Vijana wale wengine wakadiriki hata kupanda juu ya vifaru na kuwakejeli askari...Wanafunzi kwa maelfu wakawa wanashinikizwa na nyimbo wakidai ni za kimapinduzi...ikumbukwe huko ulaya Mashariki dola kadhaa za kikomunisti zilikuwa zimeanguka tayari...Huko Soviet Union alikuwepo Mikhail Gorbachev na glasnost na perestroika yake. kwa China alikuwepo kiongozi wa kikomunsti Huo Yaobang ambaye inadaiwa alikuwa mwanamageuzi lakini akafa ghafla na ikawa chanzo cha wanafunzi kwa maelfu kuandamana wakishinikiza reforms.
China ikatoa ultmatum tena kwa wanafunzi hao waondoke lakini wakakaidi. basi bwana usiku mmoja ukaingia na wanafunzi wakaendelea na vitimbwi vyao. Asubuhi moja watu wakaamka lakini wasiwaone maelfu ya wanafunzi pale uwanjani. Dunia ikashangaa na wengine na hasa USA na West wakahamaki. Vifaru usiku ule vilifanya kazi yao. Lakini hakuna hata tone la damu lilionekana uwanjani pale. Na wala hakuna hata picha moja iliyopigwa kudhihirisha 'mauaji' yale ya kutisha. inadaiwa wanafunzi wale waliokuwepo uwanjani pale walikanyagwa kanyagwa kama udongo. inadaiwa usiku ule ule uwanja ukasafishwa hata tone la damu hakuna. Na wala ushahidi haupo. Mawasiliano yote ndani ya China yalikuwa jammed. Hata satellites za kibeberu hazikuweza kupiga picha hata moja.
Huo ukawa mwanzo na mwisho wa vuguvugu la kinachoitwa reforms huko China. Communist Party ikaendelea kushika dola mpaka leo. Kale kanafunzi kalikokuwa kanaongoza maandamano hayo kakaenda Marekani baadaye. Inasemekana hakukuwepo uwanjani wakati wa tukio, kalikuwa kamejificha mahali huku kakiwachagiza wenzake waendelee na maandamano.
Huyo jamaa hajielewi,huko YouTube kuna mamia ya video za Tianamen Square zikionyesha wanajeshi wa china wakirushia waandamanaji risasi halafu yeye anakuja na porojo eti hakukua na ushahidi wowote hata tone la damu!!!!Kwa hiyo kuua maelfu ya wanafunzi wasio na silaha ndio ushujaa wa kikomunisti ?....