Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Propaganda za Russia sio za nchi hii [emoji23][emoji23][emoji23]Reuters: Hakuna dalili za kuuawa Kwa wanajeshi 600 wa Ukraine wanaodaiwa kuuawa na Urusi huko Kramatorsk katika shambulio la kulipiza kisasi.View attachment 2476393
Russia wakifanikiwa kuchukua hayo machimbo itakua ni pigo kwa Ukraine maana lazima wayatumie kuhifadhi silaha kama wanavyofanya kwenye kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia,na shida ni kwamba Ukraine hawana Bunker buster bombs ingekua Marekani hapo hata mkichukua machimbo anakuja na Massive Ordinance Penetrator ikiwa kwenye B-2 bomber mnazikwa humohumo chini.The salt mines in Soledar and Bakhmut stretch for 200 km.
The picture shows just how huge they are.
They are also far below ground and can be used as storage space for heavy equipment, out of range for Ukrainian HIMARS strikes. https://t.co/KxbDgpuKIq
Inaweza kuwa ndio sababu hayo majamaa ya Wagners yanafia hapo pamoja na kichapo yanachopewa lakini yanarudi hayakomi kwenye huo mji?The salt mines in Soledar and Bakhmut stretch for 200 km.
The picture shows just how huge they are.
They are also far below ground and can be used as storage space for heavy equipment, out of range for Ukrainian HIMARS strikes. https://t.co/KxbDgpuKIq
Na ndio maana Ukraine nae hataki kuachia hayo machimbo yaende kwa Russia,last week Wagner walifika mpaka hapo Ukraine ikaleta reinforcement wakakimbizwa. Hali inayoendelea itabidi Ukraine ipeleke reinforcement za kutosha la sivyo itakula kwaoInaweza kuwa ndio sababu hayo majamaa ya Wagners yanafia hapo pamoja na kichapo yanachopewa lakini yanarudi hayakomi kwenye huo mji?
Asee hiyo battle hapo ni kali haswa. Wagner sijui kwanini wamekomaa sana na hiyo sehemu. Ukraine akishinda hiyo battle hapo kwingine itakuwa ni kufagia tu.Soledar nafkiri ndio key ya bakhmut. Km wakiichukua soledar basi bakhmut itaanguka mapema sana
Sema hii battle ya bakhmut sio poa. Zinalia kwelikweli
Hata Mimi nilipoona Russia anasogeza wanajeshi mpakani na Ukraine nilijua tu kinachofuata!Pro Russia bhana.
Kama watu walijua Russia ataivamia lini Ukraine watashindwa kuestimate waliokufa?
[emoji23][emoji23] kwahiyo asione kama ni point kuubwa ya kutuletea hapa.Hata Mimi nilipoona Russia anasogeza wanajeshi mpakani na Ukraine nilijua tu kinachofuata!
[emoji38][emoji38]
Exactly![emoji23][emoji23] kwahiyo asione kama ni point kuubwa ya kutuletea hapa.
🤣🤣🤣🤣🤣Pro Russia bhana.
Kama watu walijua Russia ataivamia lini Ukraine watashindwa kuestimate waliokufa?
Huyo Russia alikuwa anaogopa nini kuweka mambo hadharani kwamba anakwenda kuvamia Ukraine??..,jibu ni simple tu; alitaka awashtukize Ukraine Ili aweze kumaliza vita kirahisi kwa muda mfupi..,ni bahati mbaya sana aligonga mwamba katika hiloHata Mimi nilipoona Russia anasogeza wanajeshi mpakani na Ukraine nilijua tu kinachofuata!
[emoji38][emoji38]
Sijui Putin anajisikiaje kuona anatumia nguvu nyingi kwenye "tumiji tudogo tu twa mpakani", wakati lengo lilikuwa ni kufanya legime change,na kisha kurudi Moscow na kuanza ku-control serikali ya mjini Kyiv kwa remote control..., kweli vita si lelemamaDuh, kumbe pale bakhmut na soleder kuna network ya underground tunnels, mita 100 chini ya ardhi, hadi vifaru vinatembea huko, no wonder kazi ya kuuchukua hizo miji imekuwa ngumu kama ilivyokua malioupol, [emoji848].
Lengo kuu ni kukomboa Donbass, luhansk,,Sijui Putin anajisikiaje kuona anatumia nguvu nyingi kwenye "tumiji tudogo tu twa mpakani", wakati lengo lilikuwa ni kufanya legime change,na kisha kurudi Moscow na kuanza ku-control serikali ya mjini Kyiv kwa remote control..., kweli vita si lelemama
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Silaha kama hizo wangepewa Ukraine, wangepindua meza mapema sanaRussia wakifanikiwa kuchukua hayo machimbo itakua ni pigo kwa Ukraine maana lazima wayatumie kuhifadhi silaha kama wanavyofanya kwenye kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia,na shida ni kwamba Ukraine hawana Bunker buster bombs ingekua Marekani hapo hata mkichukua machimbo anakuja na Massive Ordinance Penetrator ikiwa kwenye B-2 bomber mnazikwa humohumo chini.
Deal doneSilaha kama hizo wangepewa Ukraine, wangepindua meza mapema sana
Kuna mwanajeshi mmoja wa MAREKANI mstaafuPro Russia bhana.
Kama watu walijua Russia ataivamia lini Ukraine watashindwa kuestimate waliokufa?
Deal done View attachment 2476692