Takwimu kwa mujibu wa Ukraine!Tokea zele amind yule mama alivyotoa takwimu juu ya vifo vya Ukraine,Kyiv haiminiki Tena!Tayari moderators wamesharuhusu picha, ndio maana tayari nimeshaweka takwimu za warusi jinsi wanavyozidi kuchinjwa huko Ukraine
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimekuambia ukifanikiwa kuacha huo upumbavu na utahaila nitag Ili tujadilianeNijadiliane na mwehu ambae hajui kua ye Ni mwehu
Ukitaka takwimu nyingine jinsi warusi wanavyochinjwa kutoka kwenye chanzo Cha uhakika hiki hapaTakwimu kwa mujibu wa Ukraine!Tokea zele amind yule mama alivyotoa takwimu juu ya vifo vya Ukraine,Kyiv haiminiki Tena!
Maana Kwa mujibu wa Ukraine,vifo vya Ukraine vilikuwa 13000 mwishoni mwa mwaka Jana!Do the math,kama Ukraine walikuwa sahihi,vifo per day mpaka yule mama anatangaza vilikuwa vingapi mpaka vifike zaidi ya laki ndani ya muda mfupi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakuwa umepata kilevi sio bureUkrainian media: AFU conducted a successful counter offensive in Soledar.
View attachment 2478394
Wagner in the center of Soledar today:
Watamlengesha kwenye artillery za UkraineRussian-installed official says Ukrainian βresistanceβ persists in Soledar: Report
A Russian-installed official in Ukraineβs eastern Donetsk region has said βpockets of resistanceβ remain in the town of Soledar, according to a report by Russiaβs state-owned TASS news agency.
Source Aljazeera
Russia now kuna Power struggle on how wanatakiwa kupigana Ukraine.
Yule bosi wa Wargner hakubaliani na maajenerali
Nasi tuione.Sijui ndio hii nimeiona maana kuna moja nimeona jamaa wameshabanwa wanaambiwa weka silaha chini wakataka kuzingua jamaa kawamiminia risasi kama kama anaua kuku
Acha mbwembwe bwana mdogoJamani Moderator tunaomba uungwana tafadhari,tufungulieni njia ya kuweka picha..,tuna picha nyingi za maiti nyingi za askari wa urusi tunataka kutupia hapa..,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hicho ni chombo gani?Cha west au Cha wapi?Ukitaka takwimu nyingine jinsi warusi wanavyochinjwa kutoka kwenye chanzo Cha uhakika hiki hapaView attachment 2478465
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Utakuwa umepiga kitu cha gongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].maana sio bure, hata kujua Wgner group uwajui.we si unaona kabisa wana mpaka nembo za Wagner group.Ukrainian media: AFU conducted a successful counter offensive in Soledar.
View attachment 2478394
Wagner in the center of Soledar today:
Wanakata mitaa kama wapo nyumban vile [emoji3][emoji3]Wagner group wakiwa katikati ya mji wa Soledar wakilinda mitaa
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
View attachment 2478510
Hata kusoma hujui, huoni hapo kuna unoccupied Soledar ππππTushasahau habari ya Soledar.sasa ivi tunaelekea sehemu nyingineView attachment 2478389