Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukrainians are digging trenches in the north of the Rivne region.

Despite claims by Ukrainian propagandists that no one is planning to attack from Belarus, in reality, they are probably preparing for an offensive from Belarus. Fortifications are being prepared in that area.
 
Jamani Moderator tunaomba uungwana tafadhari,tufungulieni njia ya kuweka picha..,tuna picha nyingi za maiti nyingi za askari wa urusi tunataka kutupia hapa..,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pelekeni kwenye uzi wenu ule wa picha na video za Ukraine front line kule jukwaa la Picha. Ambapo hamtaki ukweli bali uzushi. Au uzi umekimbiwa?
 
 
Msemaji wa mchongo washa haribu bradley IFV wakati hata kutua Ukraine bado
 
Idumu Jamhuri Ya Urusi Adumu mwamba jemedari Mkuu Vladimir vladimirovic Putin...
 
Pelekeni kwenye uzi wenu ule wa picha na video za Ukraine front line kule jukwaa la Picha. Ambapo hamtaki ukweli bali uzushi. Au uzi umekimbiwa?
Picha hizo naamini ni za askari wa Ukraine waliouliwa Soledar.Taarifa hii hapa chini👇.Unimaginable,25,000!It's a masacre.

+1# Entire Ukrainian Battalions were eliminated in Soledar. — Nevada Swede 2023-01-12 11:29
11/01/2023 22:17

Unimaginable massacre of 25,000 Ukrainian soldiers lost in Soledar. Hard video of Ukrainian soldiers jumping from five-story building and the Russian raid in the trenches.

Source w/Videos:

https://warnews247-gr.translate.goog/asyllipti-sfagi-25-000-apoleies-oukranon-stratioton-sto-soledar-sklira-vinteo-oukranoi-epesan-apo-pentaorofo-ktirio-efodos-roson-sta-charakomata/?_x_tr_sl=el&_x_tr_tl=en&_x_tr_hl=en
 
Mpaka maji muite mma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Putin akipigiwa simu kuombwa vifaa 200 yeye anapeleka 2000.anaongeza sifuri moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2478558

Halali NATO kuufyata hawa jamaa wamejipanga kivita asee kama silaha wanazo. [emoji119][emoji119]
 
Nasikia Mission ya Luhansk alipewa chechen sijajua imeishia wapi.
na mission Donetsk ndo wamekabidhiwa Wagner.
Luhansk kumekuwa pamoto kwa vikosi vya Ukraine kwa sasa.kuna watu muda sio mrefu watazungukwa huko Bilohorivka.msije sema sikuwambia

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Warusi 740 wafariki kwa siku moja kwenye"Combat"🤔
...
Jan. 13 update on russian losses in war: +740 russian troops killed in action
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…