jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Hii habari inayotolewa na Ukraine Ni yao Ila sisi Russia hatuna wasemaji kwenye jeshi la Ukraine.Warusi 740 wafariki kwa siku moja kwenye"Combat"[emoji848]
...
Jan. 13 update on russian losses in war: +740 russian troops killed in action
View attachment 2478999
Kama hutaki kuamini hizo takwimu basi jiulize ile mobilization ya askari laki tatu ilikuwa na kazi gani..,bado Kuna mobilization nyingine inatangazwa ndani ya muda mfupi tu ujao.., endeleeni kujitekenya na kucheka mwenyewe [emoji28]Hao uliowanukuu wenyewe wanazitilia mashaka hizo habari ulizoziweka. Soma hayo maandishi madogo, baada heading yenye maneno " Russia 'losses as of Jan 13".
Hayo maandishi madogo yanasomeka hivi( yawezekana hukuyaona)
" Source: Indicative estimates by Ukraine's Armed Forces as of 9:00 a.m EET".
Keywords hapo ni 'indicative' na 'estimates'. Na mashaka yapo hapa.
Karibu.
Duh ! Mkuu wewe ni mashuhuri sana. Yaani upo tayari kuamini taarifa ambazo Hata mtoa taarifa hizo anazitilia mashaka! Nakutakia Mchana Mwema.Kama hutaki kuamini hizo takwimu basi...
Hii ni habari kutoka Ukraine.Hao uliowanukuu wenyewe wanazitilia mashaka hizo habari ulizoziweka. Soma hayo maandishi madogo, baada ya heading yenye maneno " Russia 'losses as of Jan 13".
Hayo maandishi madogo yanasomeka hivi( yawezekana hukuyaona)
" Source: Indicative estimates by Ukraine's Armed Forces as of 9:00 a.m EET".
Keywords hapo ni 'indicative' na 'estimates'. Na mashaka yapo hapa.
Karibu.
Mkuu kwa hizi takwimu unazozirusha zingekua kweli nazan Sasa hivi ukrain ingekua imeshayakomboa majimbo yote Ila kutokana na hali ilivyo sizan kama hizi data zinaukweli,hapo naona sawa na mpira we piga changa uwezavyo lakin ukifungwa tu hakuna atakaekuamini kama timu yako ilikua Inacheza vizr,Wewe ndio unastaili kupewa pole kwa super pawer wenu wa mchongo kupoteza asikari wanaokaribia laki mbili pamoja na properties kibao kwa kile alichokiita operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 Ili kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2]View attachment 2479306
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mchana mwema pia, lakini nakupa hamework,nenda kajiulize Ile mobilization ya askari laki tatu ilikuwa na kazi gani..,na Kuna mobilization nyingine ya askari laki Tano itafanyika soon..,ukishapata majibu hayo utagundua kwamba takwimu zinazotolewa na Ukraine Zina upungufu.., huenda Kuna asikari wa urusi wanaochinjwa lakini hawaesabiwiDuh ! Mkuu wewe ni mashuhuri sana. Yaani upo tayari kuamini taarifa ambazo Hata mtoa taarifa hizo anazitilia mashaka! Nakutakia Mchana Mwema.
Kwa taharifa tu, mobilization nyingine ya askari laki Tano inaandaliwa na Putin.., achilia mbali wale laki tatu wa hawaliMkuu kwa hizi takwimu unazozirusha zingekua kweli nazan Sasa hivi ukrain ingekua imeshayakomboa majimbo yote Ila kutokana na hali ilivyo sizan kama hizi data zinaukweli,hapo naona sawa na mpira we piga changa uwezavyo lakin ukifungwa tu hakuna atakaekuamini kama timu yako ilikua Inacheza vizr,
Assad Hadi Leo anadunda TU.Aibu ya NATO ilianzia pale.
Tunajua ulikuwa unakazia ili zisifunguliwe. Tena kuna za wale jamaa wawili wa uk ndo hatari kama zingeonekana maana naamini ungenyuti muda sana. Shukuru tuu watu wastaarabu wako Urusi kama Putin anavowafanya kistaarabu kwa akiliHuwezo wenu wa kusoma between the lines ni mdogo mno, nashangaa kwa nini mnajiita great thinkers kwa kushindwa kunga'mua coment simple tu..,ndio maana hata mkiambiwa " aliyetoboa sana alitoboa sikio " mnabeba tu kama ilivyo bila kusoma between the lines,kwa sababu akili zenu ni fupi mno
Mimi kuwaomba moderators wafungulie njia ya kuweka picha Ili niweze kupost picha za maiti, nilikuwa na maana yangu, lakini Kwa kuwa nyie ni mbumbumbu,hambao mnazoazoa vitu bila kuangalia ndio maana povu linawatoka.ndio maana tukiwaambia hamna akili Wala hatuwaonei
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kaka ko unahis infinix sio simu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakipa shida sana ki infinix hicho hakiwezi imiri mikiki mikiki ya kukaa online 24/7
Saizi habari zikija ni kusoma word to word maana Kuna watu wanakurupuka tu na habari bila kuzipitia hizo habari.Hao uliowanukuu wenyewe wanazitilia mashaka hizo habari ulizoziweka. Soma hayo maandishi madogo, baada ya heading yenye maneno " Russia 'losses as of Jan 13".
Hayo maandishi madogo yanasomeka hivi( yawezekana hukuyaona)
" Source: Indicative estimates by Ukraine's Armed Forces as of 9:00 a.m EET".
Keywords hapo ni 'indicative' na 'estimates'. Na mashaka yapo hapa.
Karibu.
Mkuu hata mimi jana asubui kuwa kwenye MJI wa soledar Ukraine wamepoteza askari 25000.Picha hizo naamini ni za askari wa Ukraine walioukiwa Soledar.Taarifa hii hapa.Unimaginable,25,000!
+1# Entire Ukrainian Battalions were eliminated in Soledar. — Nevada Swede 2023-01-12 11:29
11/01/2023 22:17
Unimaginable massacre of 25,000 Ukrainian soldiers lost in Soledar. Hard video of Ukrainian soldiers jumping from five-story building and the Russian raid in the trenches.
Source w/Videos:
https://warnews247-gr.translate.goog/asyllipti-sfagi-25-000-apoleies-oukranon-stratioton-sto-soledar-sklira-vinteo-oukranoi-epesan-apo-pentaorofo-ktirio-efodos-roson-sta-charakomata/?_x_tr_sl=el&_x_tr_tl=en&_x_tr_hl=en
Za kishoga sinaBro Una akili kweli?
Ni sheedah! Military Cauldron ni mbaya yaani mnakuwa mmewekwa kama kwenye lichungu la kuchemshia kande yaaani mtaruka huko huko mpaka mnaiva hakuna kutoka🇷🇺🇺🇦⚡Establishing full control over Soledar makes it possible to cut off the supply routes of Ukrainian militants in Artemovsk, and then block and take into the "cauldron" the enemy units remaining in it, the Russian Defense Ministry said.
Wagambo wa Ukraine wanateketea huko mpaka huruma aisee 🤔Ni sheedah! Military Cauldron ni mbaya yaani mnakuwa mmewekwa kama kwenye lichungu la kuchemshia kande yaaani mtaruka huko huko mpaka mnaiva hakuna kutoka