Himars zilizo tumwa ukrain ni zaidi ya 150 sema urusi kazichoma zote kama zimebaki si saidi ya 35 ...ila Marekani inadanganya ili waonyeshe kuwa himars chache zimefanya kazi kubwa ...kwa sababu ya kibiasharaUSA walituma zaidi ya Himars 12 Ukraine, sijui unajua.
Na sasa USA wanaongeza Himars kwa vile nyingi zimepungua.
Hii nadhani wangeiita western war sio world war IIIWhat are our goals?"
Retired German general and former military policy advisor to Merkel, Erich Wade, explained in an interview why Ukraine cannot win, why it makes no sense to send tanks to Kiev, and why Germany does not even have a plan of action in this conflict.
"We have a military stalemate that we cannot solve with weapons." A military victory for Ukraine is not to be expected, and negotiations are the only possible way. What is happening in Ukraine is a war of attrition. Marders and leopards are not enough to take over Crimea or Donbass. In eastern Ukraine, the Russians are clearly advancing. They may soon conquer the Donbass completely. The West can send 100 "leopards," but they will not change the overall situation. And the most important question is: how do we get through such a conflict with a belligerent nuclear power? By the way, Russia is the strongest nuclear power in the world! Otherwise, we will wake up one morning and find ourselves in the middle of World War III.
Hivi hujui wakenya no vihere here?Japo cc warusi wa buzaa tumeendelea kuchakazw katk uwanj wa vta lakn
huyu rais wa ukrain kuwasilian/ kuwatafut VIONGOZI wa afrik inamaan kuw western wameshindw kumpa msaada wa kutosha ? Au mnaoelew zaid ...ufafanuz.View attachment 2480222
Umeambiwa wapo waliobaki wamezungukwa. Ndio Hawa sawa. Pakutokea hambaTazama video mwanajeshi wa Ukraine ame share yuko karikati ya jiji la Soledar ambalo Russia wanasema wamechukua
Kwanza Ukraine Huwa wanatoa takwimu ndogo kulingana na uhalisia unaendelea kwenye uwanja wa vita, ukweli anasema amashachinja askari wa urusi takriban 120,000 .., urusi aliingiza Ukraine asikari zaidi ya 190,000.., baadae akafanya mobilization ya asikari laki tatu..,bado mobilization nyingine ya askari laki Tano inaandaliwa..,kwa hesabu hizo huoni kwamba Ukraine kudai kwamba ameshawachinja warusi 120000 Haina uhalisia??Kwaakili zako unazani mpinzani wako anaweza kuwa msemaji wako na kutoa taarifa sahihi usitufanye sisi mazwazwa.
Kuna moto unafukuta huko ,Ukiona Amiri jeshi mkuu kutwa anabadili makamanda kwenye battle field ujue Kuna shida mahali.
Ndiyo hiyo ni kesi tena ya uhaini.Al Jazeera
Russia soldier jailed for refusing to join Ukraine war
11 hours ago
Wewe mwanaume utakaaje nyumbani nchi ipo vitani.Al Jazeera
Russia soldier jailed for refusing to join Ukraine war
11 hours ago
Tu tuliaminishwa hapa kwamba mji wote wa soledar umeshakombolewa??Umeambiwa wapo waliobaki wamezungukwa. Ndio Hawa sawa. Pakutokea hamba
Naona umepata 2000 unakuta tusumbuaHimars zilizo tumwa ukrain ni zaidi ya 150 sema urusi kazichoma zote kama zimebaki si saidi ya 35 ...ila Marekani inadanganya ili waonyeshe kuwa himars chache zimefanya kazi kubwa ...kwa sababu ya kibiashara
Mbona unabadilikaMji wa soledar ushachukuliwa ila Ukraine wanajribu kurudi pale .
Kusumbua au kusema ukweli ..himars kwa sasa si chochote si lolote.Naona umepata 2000 unakuta tusumbua
Naona timu LBGT mnazidi kupeana 'raha'
Kwa hiyo wewe unafikiri kuvuka kwenda mji mwingine ni sawasawa na kuvuka daraja la Tanzanite au sio??Elungata Siku zaidi ya tano nyuma ulisema viongozi wa Jeshi la Ukraine wametoa amri ya Kussurender na kukimbia mji wa Soledar.
Russia baada ya kuteka na kuvuka huu mji wako eneo gani mbele ya Soledar?
Labda hawaelewi ni hv ingekuwa kibongo bongo wengipigwa na kkk security Yani hapo Jwtz wapo makambini tuu wanaranda randaNato wamepigwa na kampuni