Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nadhani Nazi head walioshauri kulipua daraja la Crimea wanajuta kufanya vile. Hii retaliation from Putin imekuwa ya moto mnooo
Wakati mwingine na muwaza Zelensiky, V katika pembe nyingine. Huyu Zelensiky wanasema ana asili ya Uyahudi.

Na inajulikana, Ukraine chini ya Bandera walishirikiana na Nazi wa Ujerumani ya Hitler kuua wayahudi.

Ukraine ya Sasa Toka 2014 inavikundi vya Neo Nazi kama Azov, na ultra nationalists wengine wenye kumsifia Bandera. Wakati Bandera alikuwa Muuaji wa Wayahudi kipindi cha vita ya pili ya Dunia.

Sasa, unajiuliza huyu mwenye asili ya Uyahudi, Zelensiky, anaungana vipi na vikundi vilivyoua Babu zake? Kwa mbali na ona na kuwaza, Zelensiky, kama " our man behind enemy line". Analipiza kisasi akiwa nao bila wao kuumjua. Usishangae siku za usoni akapewa nishani ya Ushindi wa kukamilisha mission!!! Wana akili ndefu hawa jamaa!!

Mimi Nawaza hivi. Yawezekana Nawaza tofauti na ukweli uliopo. Kwa hiyo, nipo tayari kukosolewa.
 
Yani waliosema jamaa kaishiwa silaha ndo wamekuwa wakwanza kukata moto, aliyeishiwa silaha ndo yupo moto wa kuotea mbali.

Hii imekaaje wadau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zilikua ni propaganda za western media na tatizo sio propaganda za media, tatizo ni watu waliokua wanaamini hizo propaganda wakifurahia kwamba ni za kweli bila hata kufikiria habari hizo.
 
Nadhani Nazi head walioshauri kulipua daraja la Crimea wanajuta kufanya vile. Hii retaliation from Putin imekuwa ya moto mnooo

Mwanzo Russia ilikua inashambulia military infrustructures ila baada ya kushambuliwa kwa daraja la Crimea mambo yakabadilika ikawa ni kudeal na miundombinu yote.

Mwanzo Ukraine walifurahia daraja kulipuliwa wakatengeneza stamp kubwa wakawa wanapiga picha ila baada ya retaliation wakaanza kuweka sura za huruma

 
Zilikua ni propaganda za western media na tatizo sio propaganda za media, tatizo ni watu waliokua wanaamini hizo propaganda wakifurahia kwamba ni za kweli bila hata kufikiria habari hizo.


Kieherehere mmoja anayetunga hizi makitu ameliwa kichwa

Apparently one of the Ukrainians who met their tragic end was a popular nationalist blogger, Vitaly Milevsky, who liked to make videos about how they were "fucking up the Russians."



https://twitter.com/snekotron/status/1613555192363876352/photo/2
 
Assad Hadi Leo anadunda TU.
Kama isingekua mwamba Putin Leo hii Syria Ingekua inatawaliwa na mamluki wa

Hizi propaganda ndizo zinazowaponza!! Hii ndo inaitwa kujitekenya halafu unacheka mwenyewe!! Mrusi angepotyeza silaha zote hizo kwa nini kilio cha kuomba silaha kinatoka Ukraine tu? Je umesikia Urusi inaomba silaha popote? Walisema kaishiwa precision missiles, lakini alichokifanya alfajiri ya tarehe 14/01/2023 hawatakisahau!! Alarm zilipolia mwanaume alikuwa keshamaliza kazi tayari!!
 
Ni uwendawazimu kufikiria kwamba Ukrain atashinda hii vita,sasa hivi HIMAS hazisikiki tena au zimeshapondwapondwa zote
Waulize warusi wenzako walioko makiivka,watakusimulia balaa la hili dubwana..,ndani ya sekunde tu liliwachinja warusi wasiopungua 400!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wadau kuna ka jukwaa naona wame jazana wa Ukrainian wa Msongola kama
Wote wanajifariji kwa kutumiana picha za vigari vyao vya kivita toka uarabuni

Sasa sijui kinacho endelea kwa wenzeo huko hawa kijui au vipi

Au ndio wanajipunguza machungu kama akina kipanya 44. Hapa

Mbaya zaidi
Wamama na wazee jana wameamua kuandamana kujua waume na vijana wao mbona hawarudi Wakati comedian anasema
Wanajeshi wake hawafi

Labda watusaidie wa Ukrainian wa buza watusaidie

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Vita itaishia KWA UKRAINE KUKATAA HII MISIBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…