Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Askari wa ukraine hata akipoteza maisha anakuwa na sababu nzuri ya kwa nini anapigana na kuifia nchi yake .,shida inakuja pale unapopelekwa machinjioni kwa matakwa ya dikteta mmoja

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru sasa umekubali kua wa Ukrainian wanapoteza jeshi lao na lita teketea sana

Kujipa matumaini kua hii vita Ukraine atashinda ni kupoteza muda

Maana urusi alionya sana na mkamuona hawezi fanya kitu sasa anacho kifanya mnaishia kulalamika

Na propaganda zenu sasa zinaisha rasmi

Sasa nyie toeni takwimu sisi tuna angalia kwenye ground yani uhalisia wa kile kinacho onekana hata na kipofu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Former chairman of the Munich Security Conference, German diplomat Wolfgang Ischinger said that Ukraine spends as much ammunition in a day as Germany produces in six months.
Germany masuala ya vita sio kipaumbele chake maana alishafungwa spid governor..,kitu hicho angeongea uturuki au USA, kidogo ingekuwa ajabu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukraine ameshapata ushindi mnono wa kuigeuza operation ya saa 72 kuwa vita ya muda mrefu,huku akiendelea kuwachinja askari wa urusi Kwa wingi.., mpaka mwezi June urusi atakuwa kapoteza askari zaidi ya laki mbili..,ni aibu kubwa kwa taifa lililojinasibu kama super pawer kuhenyeshwa na kanchi kadoogo Tena jirani yake kwa muda mrefu namna hii,na Bado ngoma inaendelea kuwa ngumu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wakati unaandika tumia akili bro sio mihemko

Hizo saa 72 ni dhidi ya Ukraine na sasa mrusi anapigana na NATO huoni tofauti au hili nalo hulijui

Mbaya zaidi ona hawa wanaandamana kwa kua watu zao wengi wamekufa

Na unapo sema mpaka mwezi june urusi atakuwa hivi sijui vile ni maneno ya kwenye kanga hayo bro

BORA ungesema tu mpaka mwezi june uenda Ukraine ikabaki magofu

Au nyumba zinavyo anguka huko huzioni

Vikwazo kaekewa muda tu na husikii akiomba omba kama huyu comedian wako anaomba msaada kenya sasa kamsadieni mwenzenu NATO wameshindwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
View attachment 2481602
 
Wewe sasa ndio kichwa chako kimejazwa na uji mzito hayo majeshi ya Nato yakiingia hapo si mtasikia putin angalia,
Nato wana msapoti Ukraine silaha na mahitaji ya kibinadamu na baadhi ya askari kwenda kupewa mafunzo nchi za Nato.
 
Nimeshaanza kuwa na wasiwasi na IQ yako.
 
Wewe sasa ndio kichwa chako kimejazwa na uji mzito hayo majeshi ya Nato yakiingia hapo si mtasikia putin angalia,
Nato wana msapoti Ukraine silaha na mahitaji ya kibinadamu na baadhi ya askari kwenda kupewa mafunzo nchi za Nato.
Silaha zake azifui dafu mwambie aweke hao kuku zake mr putin awa put in kweli

Acha ujinga hata hujiulizi NATO wanaogopa nini kuweka jeshi lake pale maana teyar comedian kashaanza omba omba kwa kenya huko

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii vita bado sana, jamaa anatumia mgambo na mercenaries, jeshi la urusi halijaanza kaz mkuu lipo standby huko Belarus [emoji1044] linasubiri otan waingue cha kike!!
 
Hii vita bado sana, jamaa anatumia mgambo na mercenaries, jeshi la urusi halijaanza kaz mkuu lipo standby huko Belarus [emoji1044] linasubiri otan waingue cha kike!!
Hawa elewi tu hawa ila yule mchekeshaji aamue tu ku surrender la sivyo watazikwa

Tena kujisalimisha ni kuikataa NATO nje ya hapo kipigo kwake hakita koma.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Russia Ni nchi ya ajabu Sana kivita. Kwa muda wote ilipotazamiwa kuanguka kiuchumi imeibuka kuwa kitisho zaidi kwa uchumi wa ulimwengu na si dhidi yake japo kiukweli vikwazo vina athari kubwa. Kwa uhimilivu huu wa Russia zile stori za kushangaza kutoka ulaya Kwamba
_Russia itaanguka kabisa kiuchumi Hapo Mey 2022
_Russia Wana precision missile za kutumia Mara 3 hivi. Hiyo Ni mwishoni na mwanzoni mwa March 2022.
_ Askari wa kirusi Wana njaa Kali , Russia haiwezi kuwalisha coz Ni taifa maskini Sana la Ulaya Mashariki.
_Russia hawana hata vifaa vya oxygen kwajili ya mapilot wao. Cha ajabu Ni Kwamba bila oxygen kit huwezi kuendesha ndege inayoenda kws zaidi ya km 1500 / h japo kwa mwendo was km 30/h . Utakufa vibaya.
_ Russia wanatumia outdated Soviet weapons. Zipi hizo outdated Smerch MLRS? Su 25 frogfoot? Mi 28? Rpg 29? TU 95? TU 160? Hizo zote Ni mwiba mkali si TU Ukraine Bali kwa nchi yoyote dhidi ya Russia. Huyo huyo anaesema hivyo Hana silaha mpya za ajabu ana A 10 warhog, f15, b 52, Nlaw, F 16, zote za cold war?
Kipya Nini hapo?
Destruction ya missile ya Smerch Ni karibu robo tatu ya pitch ya kuchezea Uwanja wa mpira.
_Ongezea mwanajf
Stori hizi zimebaki stori za alinacha na alama halisi ya kusimama kidete taifa kubwa kulinda maslahi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…