Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukiona Urusi wamepoteza wanajeshi laki 3 basi jua kuna wanajeshi milioni 6 wa ukraine watakuwa wameenda na mma
Endelea kujifariji lakini fahamu fika kwamba wale mobilized soldiers laki tatu wameshalambishwa mchanga au kutiwa vilema..,Sasa hivi wanaandaliwa wengine laki Tano Ili watolewe sadaka,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Zelensk aliwekwa pale kwa mission maalum baada watangulizi wake kugoma kuingiza nchi ktk Vita na urusi hivyo marekani akamtafuta kiongozi asiye na akili ndo akampata huyu Sasa hapa anatekeleza tu alichotumwa Vita ikiisha na yeye Hana maisha [emoji3][emoji3]
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Ana Mafuta, Madini, Gas, Technology, Viwanda, Ardhi, Akili, hela etc...
 
Kwa mtu mwenye akili kwa kipigo alichotoa Russia wiki iliyopita na kwa kasi aliyotembea nayo ya kuchukua maeneo angekaa nao mezani. Zelensky akifanya masihara eneo kubwa la nchi litachukuliwa na mwisho itabakia kuwa history!
[emoji23][emoji23][emoji23] Uzuri tumekubaliana kuwa hakuna meza kwa ajili ya kazi iyo.acha inyeshe tujue wapi panapovuja.

Ila naimani mwisho wa siku wataomba tu poo maana watoaji silaha upepo umeanza kukata[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila battle wanayopigana ni ya kikatili sana! Hii battle ya kusafisha mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ni battle ngumu mnoo! Sidhani kama wamagharibi wangeiweza hii battle!
 
Ila battle wanayopigana ni ya kikatili sana! Hii battle ya kusafisha mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ni battle ngumu mnoo! Sidhani kama wamagharibi wangeiweza hii battle!
Hii ndo dawa yao maana walikuwa wanavizia kwenye majengo ya makazi ya watu.hii sasa ukijificha tu kwenye jengo basi unakuwa umeficha uhai wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…