Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nani kumfunga paka kengelee !!?

Ukimaliza kuota uamke MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Hitler alikuwa greatest na stronger lakini alichapwa... Putin hii ndio downfall yake hii vita ilikuwa simple kwa Russia lakini now kila siku malengo yao yana twist mwanzo ilkuwa ni kumuondoa zelenky na kuweka utawala wake then ikaja kudemilitalize Ukraine baadae ikaja kuimega uraine mikoa minne ambayo kwa asilimia kubwa alikuwa anai control kutoka mwaka 2014 baada ya kuanza kuloose kushindwa kuicontrol hiyo mikoa now anafanya war crimes kwa kurusha mabom ovyo kwenye makazi ya watu...Kifupi hii ni Loosing battle kwake na ndiyo down fall yake
 
Ivi upo Duniani au upo usingizini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].maana unaongea kama vile vita imesimama.wenzako wanapelekewa moto, weww upo huku unaongea pumba
 
US Senator Aims To Block $20 Billion Deal With NATO Member

Plans by President Joe Biden’s administration to approve a $20 billion sale of US-made F-16 fighter jets to Türkiye have hit a potential roadblock, as a key member of the Senate has vowed to block the deal because he considers Ankara to be an untrustworthy NATO ally.

“I strongly oppose the Biden administration’s proposed sale of new F-16 aircraft to Türkiye,” Senator Bob Menendez, a New Jersey Democrat, said on Friday in a statement. He accused Turkish President Recep Tayyip Erdogan of disregarding human rights, undermining international law and engaging in “alarming and destabilizing behavior in Turkey and against neighboring NATO allies.”

Menendez spoke out, reiterating his opposition to the arms deal, after the US State Department reportedly notified relevant congressional committees of its intention to go forward with the F-16 sale.

Subscribe to RT
 
Huko Bakhmut Brigade mzima ya Ukraine imeamua kujisalimisha kwa Warusi kukwepa kupigana.

Sasa naona vijana wa Ukraine wameanza kumstukia Zelensk kuwa ana jambo lake kuhusu wao.





Brigade SAWA na vikosi vitatu hivi na kikosi SAWA na mtu 1000 mpaka 1300. Kwahiyo Kati ya mtu 2800 mpaka 3300 hivi zimepaki pembeni. Wazipeleke Russia
 
,[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji106][emoji106]
Lawama zielekezwe kwa Zelensk na Mabwana zake makombora ya Russia hayana macho

A missile that hit an apartment building in Ukraine’s eastern city of Dnipro on Saturday has thus far killed 29 people, with some 40 others still unaccounted for, Dnipropetrovsk Governor Valentyn Reznichenko said on Sunday.

Reznichenko said on his Telegram account that a search operation, ongoing for over 24 hours, has involved 550 people. They included rescuers, police officers, doctors and volunteers.

On Sunday, a 27-year-old woman was pulled out from under the rubble. She suffered from severe hypothermia and was taken to a hospital’s intensive care unit for treatment, Reznichenko…

Continue Reading


News Source: Ukraine updates: Nearly 30 killed in Russian Dnipro strike – DW – 01/15/2023
 
Ivi upo Duniani au upo usingizini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].maana unaongea kama vile vita imesimama.wenzako wanapelekewa moto, weww upo huku unaongea pumba
hawajaanza kupelekewa moto leo mkuu kumbuka Russia walifika hadi Kiev lakini wakachapwa mpaka waka retreat hii ni vita sio kila siku utakuwa unashinda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…