Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama ingekuwa ni kweli urusi angekuwa keshaondolewa hadi hata crimea!! Kwa bahati mbaya sana propaganda hazipigani wala kuzuia mashambulizi!! Anayelia saa hizi anajulikana!!
Kaongeze nguvu front line mkuu,Mzee mzima anahangaika Hadi kubadilisha majenarali lakini wapi[emoji2]
Vijana wamendindishia,na mpaka vita inaisha nafikiri atabadilisha majenelali zaidi ya 70[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Si tulikubaliana kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atakiona Cha moto mkuu..,au umeshasahau tulivyokubaliana na mkuu..,sisi tumechagua kupigana Ukraine tu na yeyote atakayeingilia kutoka nje tutamuwashia moto[emoji2][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

Kremlin: British tanks ‘will burn just like the rest’​

The Kremlin says that the tanks Britain plans to send to Ukraine “will burn”.
On Saturday, Britain said it would send 14 of its Challenger 2 main battle tanks and other advanced artillery support in the coming weeks.
“They are using this country as a tool to achieve their anti-Russian goals,” Kremlin spokesman Dmitry Peskov said.
“These tanks are burning and will burn just like the rest,” Peskov said.
Peskov added that new supplies from countries like Britain and Poland will not change the situation on the ground.
 
Hoja haikuwa kuongeza nguvu front

Wala si kubadilisha majenerali.

Ulitakiwa kujibu maswali ya kwanini anae pigwa bado yuko uwanjani na wala humsikii akilia lia kama mbwa koko zele.

Je zelen halalamiki au alii?

Unaposema Mrusi kadebweda ilihali bado yuko uwanjani na wala halii

Unaonesha namna unavyo jifariji huku ukweli unaujua.

Kwa hiyo tulia endelea kuangalia mwanaume anacho wafanya huko!!!![emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Urusi imesema waingereza wapeleke tu vifaru vyao huko ukrane na ataviunguza kama anavyounguza silaha zingine walizopeleka huko!! Uzuri na wao wenyewe wanajua jinsi silaha zao zinavyoteketea ndiyo maana kilio cha Zelensky kuomba silaha ni cha kila siku!! Mwisho wa siku itabidi kipanya mwenyewe naye aende huko akauote moto wa Putin!!
 

Kremlin: British tanks ‘will burn just like the rest’​

The Kremlin says that the tanks Britain plans to send to Ukraine “will burn”.
On Saturday, Britain said it would send 14 of its Challenger 2 main battle tanks and other advanced artillery support in the coming weeks.

Aljazeera..


Supa-pawa ana kibarua kigumu mno huko mbeleni....anaamini hizo Challenger 2 zitaunguzwa Kama zile T14 Armata zake.
 

Attachments

  • Challenger 2.jpg
    317.4 KB · Views: 21
Mwambie huyo kwamba kama wameshindwa kuitrack hata HIMARS Moja, hivyo vifaru wataviweza kweli??

Wao waendelee kupambana tu na soft target kama miundombinu ya kiraia, pamoja na majengo ya makazi, kwenye target za kijeshi wameshachemsha[emoji2][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hivi watu hawajiulizi kuwa silaha zilianza kupelekwa ukraine mwaka 2014!! lakini leo Zelensky analilia silaha, je zimeenda wapi?? Jibu unalo: "will burn just like the rest"
 
Huyo unayesema kwamba anapiga amebaki kujificha kwenye andaki huko clemlin..,hata akiona mjusi akidondoka kwenye colidor za cremlin anadhani ni marekani na west wanaitaka roho yake..,yahani jamaa Hana amani kabisa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hizo HIMARS zenyewe hazisikiki kama zilivyokuwa zikipigiwa promo. Mbona hazikuzuia soledar kutekwa?
 
Mkuu nilikuwa nikimjibu aliyesema pindi Belarus itapoingia direct dhidi ya Ukraine basi NATO wataingia direct kupigana dhidi ya Russia.
Bila shaka u msomi wa kimataifa Sana.
 
Hivi watu hawajiulizi kuwa silaha zilianza kupelekwa ukraine mwaka 2014!! lakini leo Zelensky analilia silaha, je zimeenda wapi?? Jibu unalo: "will burn just like the rest"
" will burn just like the rest" huku lengo la kumpigisha danadana super pawer wa kuchonga likiendelea kutimia..,kazi ya silaha ni kutumika Mzee.., iwe kwa kulipuliwa na adui.kutekwa na adui,au kuharibika vitani..,hukujua Hilo?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
We mtoto wewe handaki lipi hapa

Io video ni wa Ukraine kutoka bakhmut. Wakiomba msaada mbaya zaidi wanahemeana kama wame katwa pua

Alafu ghafla likapigwa moja hapo ungefurahi ungeona walivyo wakitia huruma.



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Super amekuwa kama joka la kibisa..,joka lilingo'lewa meno
Hatari sana [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…