Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nilidhani dada mpendwa ni vema usijiingize katika ubishi na hoja za huyo 'ki-rat'...utapoteza bure heshima yako.....hoja zake hazina mkia Wala miguu...utapoteza heshima dada...ni ushauri tu...
Pro Russia mnapenda kupika propaganda na kuwapumbaza wajinga wasio na uwezo wa kufuatilia mambo..,ni vema Sasa mkawa mnaandika uhalisia kuliko huu upupu mnaotulisha kila uchao,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni kweli mkuu na Kwa maneno yako kwenye hii coment umekiri wazi kwamba urusi kaonesha uanamme ,kaenda kampiga kibaraka wa west na hakuna mtu aliyemfanya chochote.., nadhani kwa nukta hii Sasa tufunge ukurasa kwamba super anapigana na Ukraine tu,Wala hakuna aliyeingilia

Mambo ya kila siku kuwasingizia NATO kwamba wanapigana na urusi,yakome kuanzia Leo,.., urusi anapigana na Ukraine kama ulivyokiri mwenyewe Wala hakuna aliyeingilia [emoji106][emoji106]

Sasa kazi inabaki kushuhudia kati ya yule anayejiita super pawer pamoja na jirani yake nani ataibuka kidedea[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nipende kuwakumbusha tu kwamba warusi mia nane kasoro 10 walichinjwa siku ya Jana , takwimu za Leo bado hazijatoka.., hivyo tunapowaambia kwamba super pawer kapeleka vijana wake machinjioni, tunamaanisha haswa [emoji848]🥱🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2483935
nimetumia kitochi ku screen shoot ili picha isigome. Hii nimeitoa wikipedia. je unajua maana ya withdrew?
Mkuu hao wali" withdraw" baada ya kupewa kichapo kikali..,kama wasingetembezewa mkong'oto wa maana wangeendelea kung' angania Kyiv.., urusi aliona askari wake Wanachinjwa sana huko, akaona isiwe kesi,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka ukiwa kigogo sehemu gani
 
ha ha ha ha unaumbuka mzee tofautisha ku withdrew na kukimbia tena walijiondoa bila kurushiwa hata risasi
 
Ogopa sana kupambana na nchi No.1 kwa ukumbwa duniani afu population yake ni 143m tu. Jiulize eneo lote wanafanyia nini??

Nchi ina natural resources zote hawana shida na kupata raw material wanadig wana produce weapons kila minerals wanazo hawatumii cost ku import sasa hawa watu unapata wapi ubavu wa kupambana nao???

Ndoman wale wanaobezaga kwamba US anatumia bajeti kubwa kwenye millitary waulize ni kiasi gani anatumia kwenye importation ya raw materials??
 
ha ha ha ha unaumbuka mzee tofautisha ku withdrew na kukimbia tena walijiondoa bila kurushiwa hata risasi
Hao walitandikwa Mzee,hakuna free lunch vitani.., ukiona adui kakuachia mji ujue umempa kisago na kimemuingia haswa.., hicho ndicho kilichowakuta warusi huko Kyiv..,hawakuwa na nanma zaidi ya kukimbia mithiri ya mbwa mwizi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…