kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hizi resources kama madini unafikiri wanachimba tu kama wanavyochimba mihogo ,sio??Ogopa sana kupambana na nchi No.1 kwa ukumbwa duniani afu population yake ni 143m tu. Jiulize eneo lote wanafanyia nini??
Nchi ina natural resources zote hawana shida na kupata raw material wanadig wana produce weapons kila minerals wanazo hawatumii cost ku import sasa hawa watu unapata wapi ubavu wa kupambana nao???
Ndoman wale wanaobezaga kwamba US anatumia bajeti kubwa kwenye millitary waulize ni kiasi gani anatumia kwenye importation ya raw materials??
Umerudi na video zako za mchongo [emoji16][emoji23][emoji28]Zele bwana
K [emoji232] 44 utamsikiaZele bwana
Umeelewa kilichosemwa kwenye video lakini?? Au umecoment tu[emoji16][emoji28]K [emoji232] 44 utamsikia
Propaganda hiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uyu dogo atakua anaumwa sio bure
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Uzuri. Sikurupuki kwenye mambo yangu yoteUmeelewa kilichosemwa kwenye video lakini?? Au umecoment tu[emoji16][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Soledar ya vingungutiNipo soledar nikishuhudia warusi wanavyoendelea kupukuchuliwa mithili ya senene [emoji16][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yatakuwa sio mafuta hayo labda ni maji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi resources kama madini unafikiri wanachimba tu kama wanavyochimba mihogo ,sio??
Kuna nchini Zina hifadhi kubwa za mafta lakini wanalazimika kuagiza mafta nje kwa kuogopa ghalama za kuyachimba mafta hayo
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
It is too lateArmoured vehicles 100 na IFV 50 zitasaidia kiasi chake. Kwanza naziamini Bradleys, ngoja ziingie kazini huwezi zilinganisha na kina BMP zile. Ingawa 50 ni chache ila uzuri kina France, Germany na UK wanatarajiwa watatuma za kwao. Germany ina mamia ya vifaa haiyatumii tena na yapo in good condition ni upgrade chache yanafanya kazi kama haya View attachment 2471802
Nipe maana ya withdrewHao walitandikwa Mzee,hakuna free lunch vitani.., ukiona adui kakuachia mji ujue umempa kisago na kimemuingia haswa.., hicho ndicho kilichowakuta warusi huko Kyiv..,hawakuwa na nanma zaidi ya kukimbia mithiri ya mbwa mwizi
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Aise hii irudie kesho maana atajifanya hajaiona.Wakati kipanya 44 akiendelea kupiga umbea,huku uwanja wa vita bundi bado anaendelea kuzunguka kwenye nyumba ya Zelensk[emoji23][emoji23][emoji23].
Warusi wamechukua udhibiti kamili wa kitongozi cha (Silj) maarufu kama kitongoji kikuu cha usafiri wa Reli kwa upande wa Bakhmut na soledar.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2484039View attachment 2484040View attachment 2484041
Vitatokea vinchi vingi kama iliyokuwa Socialist Federal Republic of Yugoslavia japo scenario tofauti kidogo .... Kama iliyoanza Slovenia na Croatia kuomba uhuru wao kutoka SFRY ...ndio LUHANSK NA DONETSK wameanza kama walivyoanza Croatia na Slovenia... Wakafuata Macedonia, Bosnia and Herzegovina, wakafuata Montenegro na Serbia.... Sasa Zele akijitoa ufahamu zitatengenezwa Republics nyingi sana pale Ukraine kama iliyokuwa Yugoslavia. Acha ajizime dataKwa mtu mwenye akili kwa kipigo alichotoa Russia wiki iliyopita na kwa kasi aliyotembea nayo ya kuchukua maeneo angekaa nao mezani. Zelensky akifanya masihara eneo kubwa la nchi litachukuliwa na mwisho itabakia kuwa history!
Walijiondoa ili kuonesha nia njema ya mazungumzo ambayo yalifanyikia uturuki. Na msafara wa kujiondoa haukushambuliwea hata kwa risasi moja. Hata mjini kherson walijiondoa bila kushambuliwa na ukraine hawakuamini wakidhani ni mtego ndio maana hawakuingia mapema mjini kherson.Swali nimeshakujibu kwamba warusi walitembezewa mkong'oto wakakimbia huko Kyiv..,Wala hawakujiondoa kama unavyodai,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tonge limemnasa anatoa macho tu... Zamani tulikuwa tunatoa huduma ya kwanza Kwa kumpiga ngumi ya mgongo alitema....Proved akisoma maelezo Yako hakika chozi litamtoka.
Maana anamini Dunia hakuna kama west,matajiri wao,vita wao.