kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Tatizo lako unataka kuiona HIMARS ikiwa front line..,Hilo ni jambo hambalo utasubiri sanaSasa kazi yake ni nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].zimekucha kucheza au?
Basi fugieni kuku[emoji1787][emoji1787]Tatizo lako unataka kuiona HIMARS ikiwa front line..,Hilo ni jambo hambalo utasubiri sana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
HIMARS zitaendelea kuwapelekea moto siku zote mkuu..,mbaya zaidi ni kwamba Hadi wakati huu .., super pawer wa kuchonga hajafanikiwa kuidaka hata Moja [emoji16]Basi fugieni kuku[emoji1787][emoji1787]
Yameingiza mamluki na silaha zao ila kichapo ni palepale.Hiyo ni kweli mkuu na Kwa maneno yako kwenye hii coment umekiri wazi kwamba urusi kaonesha uanamme ,kaenda kampiga kibaraka wa west na hakuna mtu aliyemfanya chochote.., nadhani kwa nukta hii Sasa tufunge ukurasa kwamba super anapigana na Ukraine tu,Wala hakuna aliyeingilia
Mambo ya kila siku kuwasingizia NATO kwamba wanapigana na urusi,yakome kuanzia Leo,.., urusi anapigana na Ukraine kama ulivyokiri mwenyewe Wala hakuna aliyeingilia [emoji106][emoji106]
Sasa kazi inabaki kushuhudia kati ya yule anayejiita super pawer pamoja na jirani yake nani ataibuka kidedea[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
@Maxence Melo ,ushawahi sikia hii,hakuna mti usio na mzizi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Taifa lolote linasimama katika misingi ya historia hakuna mti usio na mzizi. Simple logic tu kwanini raia wa ukraine wamepata ujasiri wa kusima na urusi wakati wako outnumbered kwa kila kitu. Uwezo wa medani na muundo wa majeshi upo kihistoria pia usiichukulie uingereza kishabiki vyuo vyake vinasifika kutoa mafunzo bora ya uongozi wa kijeshi. Pia uingereza wako vizuri kwenye ( close combat tactics ). Russia ni mzuri sana kwenye mizinga hapa anawapa nightmare sana wapinzani wake
HIMARS bado zinaendelea kuwachinja warusi huko front line Mzee..,sio kila kinachotokea uwanja wa vita utaambiwa, vinginevyo utauliza kwamba mbona husikii lisasi zikifyatuliwa huko field [emoji28]Yameingiza mamluki na silaha zao ila kichapo ni palepale.
Hivi Himmars zimeishia wapi?? Tomahawk hazijapelekwa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Urusi ana silaha zingine mpaka magharibi wenyewe walikuwa awajui kama Urusi kashazitengenezaHIMARS zitaendelea kuwapelekea moto siku zote mkuu..,mbaya zaidi ni kwamba Hadi wakati huu .., super pawer wa kuchonga hajafanikiwa kuidaka hata Moja [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vivyo hivyo Ukraine ana silaha nyingi hambazo urusi hakuwahi kuwa na habari.., silaha kama javelin urusi Wala hakuwa na habari.., matokeo yake akapeleka msafara wa magari ya kivita na vifaru kuelekea Kiev..,kilichotokea pale, javelin ziliugeuza msafara wote kuwa majivu [emoji16][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Urusi ana silaha zingine mpaka magharibi wenyewe walikuwa awajui kama Urusi kashazitengeneza
Zina wachinja sehemu gani ikiwa kila sehemu ya vita uwanja umeinama.HIMARS bado zinaendelea kuwachinja warusi huko front line Mzee..,sio kila kinachotokea uwanja wa vita utaambiwa, vinginevyo utauliza kwamba mbona husikii lisasi zikifyatuliwa huko field [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani izo Javelin kiwanda kilifungwa au imekuwaje.mbona hazisikiki tena.au vita imeisha [emoji23][emoji23][emoji23]Vivyo hivyo Ukraine ana silaha nyingi hambazo urusi hakuwahi kuwa na habari.., silaha kama javelin urusi Wala hakuwa na habari.., matokeo yake akapeleka msafara wa magari ya kivita na vifaru kuelekea Kiev..,kilichotokea pale, javelin ziliugeuza msafara wote kuwa majivu [emoji16][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Usisahau pia hii mkuu..,hapo ni kheson city.., Mzee wa kazi rais zelensiky Yuko na vijana wake [emoji123][emoji1255]Zina wachinja sehemu gani ikiwa kila sehemu ya vita uwanja umeinama.
Wachinjwaji ndo wana hali hii.itakuwa wakichinjwa wanajiunga tena maana sio bure.wanachinjwa ila bado wanasonga tu mbele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2484730
Zile zilikuwa na kazi maalum ya kuugeuza majivu ule msafara wa urusi wa km 64 kuelekea Kiev [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani izo Javelin kiwanda kilifungwa au imekuwaje.mbona hazisikiki tena.au vita imeisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Kinachoonekana ni miji kuendelea kuchukuliwa huku wananchi wa west wameanza kupiga kelele na tax money zao..HIMARS bado zinaendelea kuwachinja warusi huko front line Mzee..,sio kila kinachotokea uwanja wa vita utaambiwa, vinginevyo utauliza kwamba mbona husikii lisasi zikifyatuliwa huko field [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mwaka gani hii.mbona tushasahau.unafufua makaburi.jamani mkuje huku kipanya 44 ameamua kufufua makaburi.Usisahau pia hii mkuu..,hapo ni kheson city.., Mzee wa kazi rais zelensiky Yuko na vijana wake [emoji123][emoji1255]View attachment 2484735
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo miji itarudishwa kama ilivyorudishwaKinachoonekana ni miji kuendelea kuchukuliwa huku wananchi wa west wameanza kupiga kelele na tax money zao..
Na wanavyoendelea kupiga kelele ndo misaada kwa Ukraine inazidi kupungua.[emoji23][emoji23][emoji23].Kinachoonekana ni miji kuendelea kuchukuliwa huku wananchi wa west wameanza kupiga kelele na tax money zao..
Uje unikate kichwa.[emoji23][emoji23][emoji23] iyo ni ndoto ya mchana kwenye jua kaliHiyo miji itarudishwa kama ilivyorudishwa
Kiev
Khakivu
Snake island
Izium
Kupyansk
Lyman
Kheson
Hapo vip [emoji23][emoji28][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wala sifufui makaburi Mkuu,ni pale kheson vijana wakakamavu wa rais zelensiky walipowatembezea mkong'oto askari wa super pawer wa mchongo na kuwakimbiza kama mbwa mwizi [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mwaka gani hii.mbona tushasahau.unafufua makaburi.jamani mkuje huku kipanya 44 ameamua kufufua makaburi.
Misaada inazidi kumiminika sana Mzee.., soon British Challenger tanks inatinga front line hapo Ukraine 🥱🥱Na wanavyoendelea kupiga kelele ndo misaada kwa Ukraine inazidi kupungua.[emoji23][emoji23][emoji23].
Inabidi wapambane tu na hali zao kwa sasa
Hata hiyo miji kabla haijakombolewa tuliambiwa Ukraine hawezi kukomboa hata sentimeter Moja [emoji23][emoji28][emoji16]Uje unikate kichwa.[emoji23][emoji23][emoji23] iyo ni ndoto ya mchana kwenye jua kali