Muda utaongea.. Nato anapokea kichapo kutoka kwa Private Companies (KK Security).. Recruiters ndo hawa akina Tarimo. Aibu sana hiiHiyo miji itarudishwa kama ilivyorudishwa
Kiev
Khakivu
Snake island
Izium
Kupyansk
Lyman
Kheson
Hapo vip [emoji23][emoji28][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Si tulikubaliana kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo atakiona Cha moto.., NATO wanaingiliaje Tena wakati tumashawachimba mkwara[emoji16][emoji28][emoji23]Muda utaongea.. Nato anapokea kichapo kutoka kwa Private Companies (KK Security).. Recruiters ndo hawa akina Tarimo. Aibu sana hii
Germany ameona mimi sio mjinga, hataki kabisa kupeleka msaada pale. Wamebaki wanalia lia tuNa wanavyoendelea kupiga kelele ndo misaada kwa Ukraine inazidi kupungua.[emoji23][emoji23][emoji23].
Inabidi wapambane tu na hali zao kwa sasa
Wanalialia huku urusi akipoteza askari takriban laki mbili kwa kile alichokipatia jina la " operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo"Germany ameona mimi sio mjinga, hataki kabisa kupeleka msaada pale. Wamebaki wanalia lia tu
Wajinga kabisa.kwani ni lazima kumpa mtu silaha.[emoji23][emoji23][emoji23]Germany ameona mimi sio mjinga, hataki kabisa kupeleka msaada pale. Wamebaki wanalia lia tu
Mara ooohh anatuhujumu, hii vita ikiisha Ujerumani lazima alipie. Sasa mtu unajiuliza alipie nini?? Ukorofi uanze mwenyewe utegemee jirani akutetee, acha abondwe tu..
Kutoelewana kawaida sana, nakukumbusha tu kwamba aliyekuwa kamanda mkuu wa kundi la Wagner kaomba hifadhi huko nchini Norway baada ya kutokubaliana na uhalifu wa kivita unaofanywa na urusi huko Ukraine [emoji848]Mmeelewa nn Hapo?View attachment 2484780
Kwenye iyo vita yako ya mdomoni[emoji1787][emoji1787]Wanalialia huku urusi akipoteza askari takriban laki mbili kwa kile alichokipatia jina la " operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo"
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unachokosea ni kuleta tu heading ya habari..,leta habari nzima tujisomee, heading pekee haijitosheleziBBC wa ovyo Sana.View attachment 2484782
Teh teh teh yani maiti ninazo mimi taarifa unatoa wewe. Hii sijui ni akili ya wapi hii..Wanalialia huku urusi akipoteza askari takriban laki mbili kwa kile alichokipatia jina la " operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo"
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Challenger imepambana wapi kwa mafanikio tujaribu kuwaza nini cha ajabu itakifanya ukraine?Misaada inazidi kumiminika sana Mzee.., soon British Challenger tanks inatinga front line hapo Ukraine 🥱🥱
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama unavyofanya hapa sio ?[emoji16]Kwenye iyo vita yako ya mdomoni[emoji1787][emoji1787]
Subiri mpaka siku mkomboe ndo mje kutamba hapa ila kwa sasa nyie ni mbwa kama mbwa wengine[emoji23][emoji23][emoji23].Hata hiyo miji kabla haijakombolewa tuliambiwa Ukraine hawezi kukomboa hata sentimeter Moja [emoji23][emoji28][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ili kupata idadi ya warusi wanaolambishwa mchanga huko front line ni simple tu.., jiulize wakati huu hambapo huyo super pawer wa kuchonga anajiandaa kufanya mobilization ya askari laki Tano,wale laki tatu aliomobilize awali wako wapi[emoji16][emoji23]Teh teh teh yani maiti ninazo mimi taarifa unatoa wewe. Hii sijui ni akili ya wapi hii..
Nilikuwa nasoma comments za watu wa West maala fulani leo, wenyewe wanashangaa aina ya propaganda Ukraine anayofanya..
Kama wanadai Urusi wamekufa laki 2 basi nadhani Ukraine watakuwa wanakimbilia million sasa
Wao wanalazimisha tu. Zele na rundo la wapiga propaganda mitandaoni.Wajinga kabisa.kwani ni lazima kumpa mtu silaha.[emoji23][emoji23][emoji23]
Usilinganishe vita iliyopiganwa sehemu nyingine na hii ya Ukraine.., Huko Syria urusi alifanya vizuri mpaka akasifiwa sana,vipi huko Ukraine anakwama wapi , mpaka anachakazwa na kanchi kadoogo nanma hii,Challenger imepambana wapi kwa mafanikio tujaribu kuwaza nini cha ajabu itakifanya ukraine?
Vita sio kama video game kijana.. Askari wale wapo uwanja wa vita mwaka sasa ni lazima warudi kupumzika na wa kuwareplace ndio hao ambao wapo kwenye mazoezi ya utayari..Ili kupata idadi ya warusi wanaolambishwa mchanga huko front line ni simple tu.., jiulize wakati huu hambapo huyo super pawer wa kuchonga anajiandaa kufanya mobilization ya askari laki Tano,wale laki tatu aliomobilize awali wako wapi[emoji16][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
West wangekuwa wamechoka kama unavyosema ,huyo Putin asingekuwa analilia mazungumzo na rais zelensiky kila uchao [emoji16]Wao wanalazimisha tu. Zele na rundo la wapiga propaganda mitandaoni.
Na wanavyoomba silaha haimaanishi silaha tu, hapo lazima pia waingizwe mamluki wa kwenda kuzitumia hizo silaha. West wamechoka maana wanaona silaha zao zinafyekwa na wanajeshi wao pia wanakufa..
Warusi walisha zijulia ndio maana sio tatizo tena kama zamani, nowadays roketi nyingi za HIMARS zinakuwa swept out of the sky like flies - ndio maana jeshi la Ukraine linaficha sana kwenye misitu ma-truck yanayo tumika ku-launch maroketis,kiukweli siku hizi HIMARS launchers zinasikika kwa nadra sana nyingi zilitiwa kiberiti na drones za Urusi.Himars zinafanya kazi mpaka itokee sherehe.vitani hazina kazi[emoji23][emoji23][emoji23].
Ni machuma chuma ya kazi bure