Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Habari za siku Mrusi wa Kibaigwa

HIMARS hazifanyi kazi mpaka itokee sherehe,waulize hawa vibaka wa Wagner kilichowakuta baada ya kuunguzwa na HIMARS, mbona nyie Makombora yenu mnarusha Kwa mwezi mara mbili halafu ndo mnataka mpigane na NATO[emoji23][emoji23][emoji23]


Yesterday, a unit of Wagner soldiers is being targeted inside Soledar. Magyar's recon unit led a HIMARS strike onto an enemy positions after which two dozen Wagners died.

#Geolocation of the newest #HIMARS strike in #Soledar. @GeoConfirmed
JAGGA JAGGA!
48°41'19.2"N 38°03'13.0"E
 
West wangekuwa wamechoka kama unavyosema ,huyo Putin asingekuwa analilia mazungumzo na rais zelensiky kila uchao [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Amelia wapi na lini?? Uswisi, Ujerumani, Mkuu wa Majeshi wa UK wote hao washatoa red allert. Marekani wananchi washachoshwa na pesa zao kupotea hovyo angali hakuna kinachosaidia
 
Vita sio kama video game kijana.. Askari wale wapo uwanja wa vita mwaka sasa ni lazima warudi kupumzika na wa kuwareplace ndio hao ambao wapo kwenye mazoezi ya utayari..
Uliona wapi askari anarudi kupumzika nyumbani kwake[emoji16][emoji23][emoji28]
Kiapo Cha askari ni kuipigania nchi yake mpaka tone la mwisho la damu yake .., unaposema asikari wanaenda kupumzika nyumbani unakuwa kama comedian badala ya zelensiky [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Aisee kama operation za M23 tu Askari wanafanyiwa rotation ndio ile operation kubwa vile. Unafikiri wale wanaopigana ni robots
 
Wewe kwa akili yako unataka kila siku uendelee kusikia nyimbo za HIMARS zikiimbwa kwenye masikio yako ,sio??

Basi kwa kuwa hatusikii bunduki zikilipotiwa sana huko Ukraine bila shaka zimeacha kutumika siku hizi [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
West wangekuwa wamechoka kama unavyosema ,huyo Putin asingekuwa analilia mazungumzo na rais zelensiky kila uchao [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ivi wewe habari zako uwa unatoa kwenye chombo gani.Putin kashasema kama mnataka kukaa mezani basi cha kwanza miji yote mkubali ipo Urusi.sasa nani anayeomba mazungumzo hapo.mbona unapenda kupotosha kijana[emoji23][emoji23]
 
Aisee kama operation za M23 tu Askari wanafanyiwa rotation ndio ile operation kubwa vile. Unafikiri wale wanaopigana ni robots
Rotation kwa asikari IPO hatukakatai , lakini sio kwenda kupumzika nyumbani kama ulivyodai hapo mwanzo..,kazi ya askari ni kuipambania nchi yake mpaka mwisho,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ivi uwa mnangalia izo video kabla ya kuweka humu maana naona mpaka mwisho watu wanatembea tu.au nawewe umekuwa kama Vunjo[emoji23][emoji23].ebu hakiki kwanza video yako kabla ya kuweka humu.

Usiwe kama Vunjo kijana
 
Wapo front line wakijiandaa kuingia Artemovisky aka Bakhmut kutokea kusini, Magharibi na Mashariki.

Wapo wakiwapiga Jamba Jamba wanazi mamboleo karibia na Siversk.

Wengine wamepelekwa kule kwenye mpaka wa Belarus.

We subiria second wave ili tukukande vizuri

N.B Ukraine ilifanya mobilization ya seven wave na askari karibia Milioni Moja ndio ikapata mafanikio kiduchu ya counter offensive zao
 
Kwahiyo mnataka kila HIMARS ikitumika Ukraine watangaze,kama warusi wamezijulia ilikuaje kule Makiivka air defenses zao ambazo hua unazisifu kila siku zilifanikiwa kutungua Makombora mawili Tu Kati ya 6?!

Hapohapo tukumbuke mwezi December mwanzoni Urusi walituambia wameUpdate software kwenye AD zao kwamba Kwasasa zinaweza kutungua 100% ya Makombora yote ya Himars,Ila tarehe 31 December AD hizohizo zikadaka kombora mbili tu Kati 6
END Of HIMARS? Russian Air Defenses Units Receive 'New Software' That Can Track & Knock Out US-Supplied MLRS

Hii ni kazi ambayo HIMARS imefanya January hii Tu

[emoji123][emoji1255] Destroyed Russian P-18 radar It is reported that #HIMARS was working. 3 occupants were killed on the spot, 4 more were injured #UkraineRussiaWar
#Ukraine

Russian Zoopark-1 1L219 counter-battery radar was destroyed by HIMARS missiles.
The Zoopark radar, which was extremely annoying to our artillery, was neutralized by HIMARS missiles. Army SOS

Yesterday, a unit of Wagner soldiers is being targeted inside Soledar. Magyar's recon unit led a HIMARS strike onto an enemy positions after which two dozen Wagners died.
 
Ahaaa ahaaa kwa nini wasirudi.kwani wao ni maroboti muda wote watapigana tu.shida ujui hata mambo ya kijeshi alafu unataka kubishana.

Hata wale wa front awapigani mwanzo mwisho.mnaweza mkapigana wiki 3, wiki ya 4 wakaja wengine kuwapokea nyie mkaenda kupumzika.hakuna kazi utakayoifanya pasipo kupumzika hapa Duniani.labda uwe roboti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…