Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Kwani huko kwenu mbona kila mwezi mnachoropoa makamanda na watu hatusemi.Vipi tena mshauri mbona umemkimbia Zelensk[emoji23][emoji23][emoji23].
Si ulishauri kupigana Vita na Urusi, iweje unakimbiaView attachment 2484795
Ni kweli wanapigana kwa muda Fulani halafu wanapunzika ili kupunguza fatigue na low morale.Uliona wapi askari anarudi kupumzika nyumbani kwake[emoji16][emoji23][emoji28]
Kiapo Cha askari ni kuipigania nchi yake mpaka tone la mwisho la damu yake .., unaposema asikari wanaenda kupumzika nyumbani unakuwa kama comedian badala ya zelensiky [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Usitegemee chochote kipya kutoka Kwa huyo super pawer wenu mkuu.., urusi anachofanya Kwa Sasa ni kujaribu kujikaza kiume Ili kuficha aibu ya kipigo anachopokea [emoji16]Wapo front line wakijiandaa kuingia Artemovisky aka Bakhmut kutokea kusini, Magharibi na Mashariki.
Wapo wakiwapiga Jamba Jamba wanazi mamboleo karibia na Siversk.
Wengine wamepelekwa kule kwenye mpaka wa Belarus.
We subiria second wave ili tukukande vizuri
N.B Ukraine ilifanya mobilization ya seven wave na askari karibia Milioni Moja ndio ikapata mafanikio kiduchu ya counter offensive zao
Si sababu kichwa yako ni Box,maana kwenye hiyo video umeandikiwa kabisa ni 1/2 maana yake ni part one na chini kuna 2/2 ambayo ni part 2. Kisha nikakuwekea na Geo location kabisa ili ukajihakikishie mwenyewe hilo eneo kwa Geolocator lakini bado unachongoa kamdomo kama chuchunge.[emoji23][emoji23][emoji23] ivi uwa mnangalia izo video kabla ya kuweka humu maana naona mpaka mwisho watu wanatembea tu.au nawewe umekuwa kama Vunjo[emoji23][emoji23].ebu hakiki kwanza video yako kabla ya kuweka humu.
Usiwe kama Vunjo kijana
Hitler ndo Nani ShekheKesho Hitler ataongea
Huyo inaitwa rotation..,huyo jamaa alidai kwamba wale askari wazoefu wa urusi walienda nyumbani kupumzika ikabidi urusi afanye mobilization ya askari laki tatu [emoji23]Ni kweli wanapigana kwa muda Fulani halafu wanapunzika ili kupunguza fatigue na low morale.
Hili halifanywi na Russia pekee hata Western Nation hufanya.
Arafu utasikia wapuuzi wanasema silaha za Israel zinaweza kupigana urusi [emoji1787][emoji1787]wakati hizo silaha ni zakupigana na wavaa kobazi na watengeneza maroketi uchochoroni tu ... russia anaweza kuipiga Israel yote ndani ya siku 7 na kuteketeza siraha zote
Mpaka Sasa wapo zero kilometer kuingia Bakhmut.Usitegemee chochote kipya kutoka Kwa huyo super pawer wenu mkuu.., urusi anachofanya Kwa Sasa ni kujaribu kujikaza kiume Ili kuficha aibu ya kipigo anachopokea [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kule hautapata nafasi ya kuleta hizo updates HIMARS zitakutanguliza akhera kabla hata habari zako kutufikia hapa[emoji16]Nani anaijua connection ya kujiunga Wagner group?
Ruwekeeni hapa ili update ziletwe Toka front line Moja kwa Moja[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ipo inaonyesha askari wa kutoka Yakutia wanarudi nyumbani kwao kupumzika huku sakishangiliwa na watu wao.Huyo inaitwa rotation..,huyo jamaa alidai kwamba wale askari wazoefu wa urusi walienda nyumbani kupumzika ikabidi urusi afanye mobilization ya askari laki tatu [emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua maana ya jenelali au unalopoka tu.ndo maana nasema hauna unachokijua ila unapenda kuongea kama vile kuna vitu unavijua.yani ujiunge jeshini mwezi wa 7 mpaka ifike mwezi wa 10 uwe jenelali.yani ukae jeshini miezi mitatu upewe cheo cha jenelali[emoji23][emoji23][emoji23].Hata jenelali wa Wagner kaomba hifadhi huko Norway Mkuu. , Ukistaajabu ya Musa utayaona ya filauni[emoji16][emoji28][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Akhera ndio wapi?Kule hautapata nafasi ya kuleta hizo updates HIMARS zitakutanguliza akhera kabla hata habari zako kutufikia hapa[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanakimbia au wanabadilishwa.huyu katoka nduki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani huko kwenu mbona kila mwezi mnachoropoa makamanda na watu hatusemi.
Hiyo Bakhmut tangu mwezi May wanapigana kuichukua lakini mpaka Leo hawajaichukua,yaani karibu mwaka mzima wanapigana kuteka kamji kamoja.Mpaka Sasa wapo zero kilometer kuingia Bakhmut.
Na Bakhmut yenye inazingirwa 75%
Kama kweli America ni super power basi aingie mwenyewe front
Syria hakukuwa na Himars, Iris T, Bayrakhtar, hakukuwa na awacs za nato zinazowa feed taarifa adui wa Russia nk.. Hoja yako ni kutafuta pa kutokea ila challenger haina la ajabu inaloenda kufanya battlefieldUsilinganishe vita iliyopiganwa sehemu nyingine na hii ya Ukraine.., Huko Syria urusi alifanya vizuri mpaka akasifiwa sana,vipi huko Ukraine anakwama wapi , mpaka anachakazwa na kanchi kadoogo nanma hii,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Geographic position ilivyo hakuna uwezekano wa kuizunguka bakhumut..,acha kutupiga fixMpaka Sasa wapo zero kilometer kuingia Bakhmut.
Na Bakhmut yenye inazingirwa 75%
Kama kweli America ni super power basi aingie mwenyewe front
Duh! Jaribu kusoma Tena ulichoandika MzeeIpo inaonyesha askari wa kutoka Yakutia wanarudi nyumbani kwao kupumzika huku sakishangiliwa na watu wao.
Usikariri military doctrine ya Western ndio inaoperate kama ilivyo kwenye Mataifa ya kislav
Uwezo wa kijeshi unapimwa na vitu vingi vinavyoonekana na visivyoonekana. Kulitambua hilo unapaswa uwe angalau uwe kwenye field ya mambo ya jeshi na medani. Matokeo kwenye uwanja wa medani yanaweza kukupa mwanga wa uwezo wa jeshi flaniIsrael kuilinganisha na Urusi kijeshi ni sawa una linganisha baiskaeli na Bombardier.