Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanakimbia au wanabadilishwa.huyu katoka nduki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu mwambie ni utaratibu wa kisoviet kubadilisha military kamanda.

Mwambie afuatilie Toka vita ya kwanza ya Dunia na ya pili jinsi walivyokuwa wanabadilisha na Bado wao huibuka washindi.

Ila kilichofanyika ni kumpa jenerali Gerasimanov kuwa kamanda mkuu ambayo Toka mwanzoni yule jamaa alikuwa chini yake hivyo hakuna jipya.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe umeelewa nini hapo.
 
Wanakimbia au wanabadilishwa.huyu katoka nduki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Katoka nduki wakati kajiuzulu,huko Russia walirundika wanajeshi 600 sehemu moja wakaja kuunguzwa kama nyama Choma na HIMARS lakini hatujaona hata aliyewajibishwa,halafu wenzenu wakiwajibika mnachongoa vidomo.

Marehemu wenu hawa kabla Himars hazijawakata vichwa

Russian troops in Makiivka were having a party for New Years Eve. This is one of their last pictures before HIMARS missiles wiped them and another 600 Russian soldiers out. #Makiivka #Ukraine #Donetsk
 
West wangekuwa wamechoka kama unavyosema ,huyo Putin asingekuwa analilia mazungumzo na rais zelensiky kila uchao [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Umewahi kutafakari kiundani Putin anatoa masharti gani kuhusu kusitishwa suala zima la vita ya Ukraine.

FYI, Russian military wana uwezo mkubwa wa kushambulia vikali Ukraine na kuiteka muda wowote ikikata shauri kufanya hivyo na wala NATO/US hatatatia pua pale ili waonekane wanamsaidia moja kwa moja Zelensky kwa kuingiza majeshi ya NATO/US bila kificho - huo ndio utakuwa mwanzo wa WW3, sasa swali ni,je, NATO/US wako tayari kuingia vitani na Urusi ili waisaidie Ukraine - jibu ni hapana NATO/US si wajinga kiasi hicho.

La mwisho, Zelensky akiendelea na ujinga wa majeshi yake kutumika kupigana a proxy war on US behalf kwa lengo la kutaka kuidhoofisha Rusia kijeshi na kuihujumu Russia kiuchumi - nina hakika kwamba Urusi atahamua ku-annex Ukraine moja kwa moja kama njia ya kukomesha Ukraine kutumiwa vibaya na mataifa ya magharibi - Senselesky akiwa kig'ang'anizi na jeuri Taifa lake litataifishwa na Urusi moja kwa moja - ataishia kupoteza kila kitu including his dear life - my opinion.
 
Kwani wamekufa wakiwa nyumbani au vitani.kama vitani basi wamekufa kazini sasa ulitaka mtu awajibike vipi.ukipoteza eneo ndo unatakiwa kuwajibika ila sio wanajeshi
 
Nikufahamishe tu lengo kuu la Putin lilikuwa ni kuipindua serikali ya rais zelensiky na kuweka kibaraka wake.., lakini Hilo lilishindikana.., na hatoweza kujaribu kufanya hivyo Tena maana anajua wazi kwamba uwezo huo Hana ..,Kwa Sasa anatafta Plano B

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hiyo Bakhmut tangu mwezi May wanapigana kuichukua lakini mpaka Leo hawajaichukua,yaani karibu mwaka mzima wanapigana kuteka kamji kamoja.
Kipindi kile Russia walikuwa wanazidiwa manpower na Ukraine.

Askari wa kirusi waliokuwa deployed ni 250K ila Ukraine 1E6 sawasawa na ratio ya 1 Russian soldier kwa 4 manazi.

Sasa upepo umebadilika askari wa kirusi wameongezeka hivyo kubalance mzani.

Kumbuka kipindi kile walitaka kuingia Artemovisky kupitia Southern direction pekee ila Sasa wataivamia kupitia direction tatu ambayo ni South, West na East.

Kipindi kile barabara ya Siversk-Bakhmut ilikuwa chini ya Wanazi ila Sasa ipo chini ya Warusi.

Kipindi kile Soledar ilikuwa under control ya Ukraine ila Sasa Urusi kaibeba.

Kifupi wasipofanya withdrawal basi Ukraine ijiandae kupoteza askari wengi na mji Bado utatekwa.

Kumbuka ikianguka Artemovisky basi ujue Kramatorsk na Slovyiansk zipo hatarini maana umbali wake kutoka Artemovisky ni kilometer 40 au hazizidi 50.

Hii miji ilikuwa imejengewa ngome imara kwa muda wote wa miaka 8 au tuseme 9 ili kuzuia Donetsk Republic forces wasiweze kujitanua kuelekea Magharibi hivyo kuanguka kwake ni disaster kwa Ukraine army and Administration.
 
Urusi hana ubavu wa kuiannex Ukraine yote,alijaribu tarehe 24 February Ukraine ikiwa dhaifu akashindwa ndo aweze sasa?!

Hiyo Donbass tu inamtoa kamasi,tangu mwezi May mwaka Jana wanapigana kutaka kuiteka Bakhmut lakini wapi...karibu mwaka sasa Bakhmut hawajaikamata ndo jamaa aweze kuannex nchi nzima!!!!!?
 
Kwani wamekufa wakiwa nyumbani au vitani.kama vitani basi wamekufa kazini sasa ulitaka mtu awajibike vipi.ukipoteza eneo ndo unatakiwa kuwajibika ila sio wanajeshi
Yani unafanya upuuzi wa kuweka mamia ya wanajeshi kwenye jengo moja pamoja na ammunitions halafu unasema eti Mtu awajibike vipi?! Kwahiyo wananchi wa Urusi waliokua wanataka hao viongozi wawajibishwe hawana akili Ila wewe ndo Una akili kuwazidi!!!!!!?
 
Aaah huyo Babu hana jipya Kwasasa,Labda anataka kutangaza mobilization nyingine maana Ile ya watu laki 3 naona haijazaa matunda.

Hicho kibabu kilishatishia mpaka kutumia Nyuklia na hakuna aliyekikohoa,mpaka chenyewe kikaamua kujirudi na kua na adabu. Siku hizi hatusikii tena tambo za nyuklia [emoji23]
 
Mpaka mwezi wa tatu kutakuwa na Artemovisky Moja tu iliyo chini ya Urusi.

Tutakuwa tunaizungumzia battle of Kramatorsk au Slovyiansk
 
Sijahamisha mada Mzee, hebu wewe toa sababu za msingi kwudhibisha kwamba bakhumut imezungukwa..,hiyo soledar tu mliyotamba nayo imekuwa fupa gumu..,mtaiweza bakhumut?[emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa iyo ulikuwa unaongea vitu pasipo kujua.kenge mkubwa wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
MoD ya Russia imesema wataongeza wanajeshi wao ili wafikie 1.5mil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…