Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Kipindi kile Russia walikuwa wanazidiwa manpower na Ukraine.
Askari wa kirusi waliokuwa deployed ni 250K ila Ukraine 1E6 sawasawa na ratio ya 1 Russian soldier kwa 4 manazi.
Sasa upepo umebadilika askari wa kirusi wameongezeka hivyo kubalance mzani.
Kumbuka kipindi kile walitaka kuingia Artemovisky kupitia Southern direction pekee ila Sasa wataivamia kupitia direction tatu ambayo ni South, West na East.
Kipindi kile barabara ya Siversk-Bakhmut ilikuwa chini ya Wanazi ila Sasa ipo chini ya Warusi.
Kipindi kile Soledar ilikuwa under control ya Ukraine ila Sasa Urusi kaibeba.
Kifupi wasipofanya withdrawal basi Ukraine ijiandae kupoteza askari wengi na mji Bado utatekwa.
Kumbuka ikianguka Artemovisky basi ujue Kramatorsk na Slovyiansk zipo hatarini maana umbali wake kutoka Artemovisky ni kilometer 40 au hazizidi 50.
Hii miji ilikuwa imejengewa ngome imara kwa muda wote wa miaka 8 au tuseme 9 ili kuzuia Donetsk Republic forces wasiweze kujitanua kuelekea Magharibi hivyo kuanguka kwake ni disaster kwa Ukraine army and Administration.
Wewe ndiye kenge unayeta kutuongopea kwamba bakhumut imezungukwa, kumbe unatupiga fix tu [emoji2]Kwa iyo ulikuwa unaongea vitu pasipo kujua.kenge mkubwa wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwezi wa tatu sio mbali nakutunzia hii comment.Mpaka mwezi wa tatu kutakuwa na Artemovisky Moja tu iliyo chini ya Urusi.
Tutakuwa tunaizungumzia battle of Kramatorsk au Slovyiansk
Kuna wenzio walisema urusi atamaliza hii vita ndani ya siku tatu,tukawatunzia coment zao zikawaumbua hapa, hivyo jaribu kuwepo akiba ya maneno,Mpaka mwezi wa tatu kutakuwa na Artemovisky Moja tu iliyo chini ya Urusi.
Tutakuwa tunaizungumzia battle of Kramatorsk au Slovyiansk
Wewe njoo na majina yako yote maana hapa umefika Shekhe,hiyo battle tutapambana kisawasawa. Me Nitakuita tobo la pink.Mwanamchi gani hao.ebu leta ushahidi wa maandamano ya kuonyesha hao wananchi.kama usipileta kuanzia leo nitakuwa nakuita shoga mgeni
Wewe Dogo Ni matako Sana na akili zako zipo kwenye makalio ya nguruwe.Kuna wenzio walisema urusi atamaliza hii vita ndani ya siku tatu,tukawatunzia coment zao zikawaumbua hapa, hivyo jaribu kuwepo akiba ya maneno,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Miji huwa inashikwa na vifaa au foot soldier?Kipindi kile Urusi ilikua imejikamilisha Kwa mavifaa yote,si ndege si Makombora si AD si mavifaru si ma APC lakini ikashindwa kuichukua,wakati huo Ukraine ikiwa dhaifu walichokua wanafanya ni kuretreat tu.
Kua na wanajeshi wengi ambao hawana vifaa muhimu hakukuhakikishii ushndi ingekua hivyo waarabu wangekua washaifuta Israel Kwa uso wa Dunia pale Middle east.
Kumbuka Kwasasa warusi wanachezea kichapo pale Kreminna,ikitokea Kreminna imeanguka bhas jua kuisupply Bakhmut ni shughuli maana Kreminna ni kama Supply Hub ya Urusi Kwasasa. Kreminna ikianguka Severodonetsk ijiandae. Hapo Kreminna warusi wameshaanza kupelekea reinforcement maana kuna taarifa majeshi ya Ukraine yameshaanza kuingia kwenye huo mji.
Hebu tupe mafanikio ya huyo jenelali wenu mnayemuita Armageddon, mbali na kulenga soft target kama miundombinu ya umeme na maji.., tuambie amelisaidia jeshi la Urusi kusonga mbele sentimita ngapi,Halafu mwambie ni utaratibu wa kisoviet kubadilisha military kamanda.
Mwambie afuatilie Toka vita ya kwanza ya Dunia na ya pili jinsi walivyokuwa wanabadilisha na Bado wao huibuka washindi.
Ila kilichofanyika ni kumpa jenerali Gerasimanov kuwa kamanda mkuu ambayo Toka mwanzoni yule jamaa alikuwa chini yake hivyo hakuna jipya.
Kwanza Sina wenzangu humuKuna wenzio walisema urusi atamaliza hii vita ndani ya siku tatu,tukawatunzia coment zao zikawaumbua hapa, hivyo jaribu kuwepo akiba ya maneno,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] upo ndotoni nini.kremina gani iyo unayoisema.habari ya kremina na stavote ilishakufa muda tu.au ulikuwa haupo duniani [emoji23][emoji23]Kipindi kile Urusi ilikua imejikamilisha Kwa mavifaa yote,si ndege si Makombora si AD si mavifaru si ma APC lakini ikashindwa kuichukua,wakati huo Ukraine ikiwa dhaifu walichokua wanafanya ni kuretreat tu.
Kua na wanajeshi wengi ambao hawana vifaa muhimu hakukuhakikishii ushndi ingekua hivyo waarabu wangekua washaifuta Israel Kwa uso wa Dunia pale Middle east.
Kumbuka Kwasasa warusi wanachezea kichapo pale Kreminna,ikitokea Kreminna imeanguka bhas jua kuisupply Bakhmut ni shughuli maana Kreminna ni kama Supply Hub ya Urusi Kwasasa. Kreminna ikianguka Severodonetsk ijiandae. Hapo Kreminna warusi wameshaanza kupelekea reinforcement maana kuna taarifa majeshi ya Ukraine yameshaanza kuingia kwenye huo mji.
Hizo ground forces bila vifaa dhabiti wanashikaje hiyo miji,au Kwa sala?!Miji huwa inashikwa na vifaa au foot soldier?
Bakhmut ni heavier fortfied area pamoja na Soledar bila kuisahau Siversk ila nimekuoa maelezo kwa nini? Bakhmut ilishindikana?
Kreminma kwani Jeshi la Ukraine lipo kilomita ngapi kuuteka mji?
Embu amka haraka Sana utajikolea Shekhe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] upo ndotoni nini.kremina gani iyo unayoisema.habari ya kremina na stavote ilishakufa muda tu.au ulikuwa haupo duniani [emoji23][emoji23]
Habari za siku Mrusi wa Kibaigwa
HIMARS hazifanyi kazi mpaka itokee sherehe,waulize hawa vibaka wa Wagner kilichowakuta baada ya kuunguzwa na HIMARS, mbona nyie Makombora yenu mnarusha Kwa mwezi mara mbili halafu ndo mnataka mpigane na NATO[emoji23][emoji23][emoji23]
Yesterday, a unit of Wagner soldiers is being targeted inside Soledar. Magyar's recon unit led a HIMARS strike onto an enemy positions after which two dozen Wagners died.
#Geolocation of the newest #HIMARS strike in #Soledar. @GeoConfirmed
JAGGA JAGGA!
48°41'19.2"N 38°03'13.0"E
Kwamba unataka kusema nini?!
Mafanikio kwa maana ipi?Hebu tupe mafanikio ya huyo jenelali wenu mnayemuita Armageddon, mbali na kulenga soft target kama miundombinu ya umeme na maji.., tuambie amelisaidia jeshi la Urusi kusonga mbele sentimita ngapi,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bro jiheshimMwenzako kafa na medali ...wewe ukifa tutakutia gunzi au kipande Cha mkaa ....
Umerishwa matango pori[emoji1787][emoji1787][emoji1787].sio kila sehemu basi unapata taarifa ya kweli kuna vyanzo vya kuaminika.hiyo ni january 14Embu amka haraka Sana utajikolea Shekhe
Ukraine wameshaichukua Dibrova wiki mbili zilizopita,Kuzmyne yote karibu inaenda kwa Ukraine.
1.Hii Ramani ya Kwanza ni wiki mbili zilizopita
KREMENNA AXIS /1515 UTC 3 JAN/ West of the P-66 HWY, RU forces have attempted to stage attacks at Ploschanka. Shelling continues along the line of contact, following heavy fighting near Dibrova on 1-2 JAN. FEBA assessed to be E of Dibrova.
2.Hii ni Ramani ya wiki hii
KREMINNA AXIS /1320 UTC 16 JAN/ RU forces conducted fire missions on Kuzmyne, indicating the presence of UKR forces. The Forward Edge of the Battle Area (FEBA) is assessed to extend from the center of Kreminna in a southern direction to the banks of the Sievro-Donets River.
View attachment 2484866View attachment 2484869
Sala ndio nini?Hizo ground forces bila vifaa dhabiti wanashikaje hiyo miji,au Kwa sala?!
Wewe unadhani kwanini Ukraine inaomba ipewe vifaru,APC,Stingers,ATGM Kwa ajili ya wanajeshi wake wa ardhini?!