mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Hii ni january 15.sasa wewe sijui unachukua chanzo gani mwenzetu[emoji23][emoji23][emoji23]Embu amka haraka Sana utajikolea Shekhe
Ukraine wameshaichukua Dibrova wiki mbili zilizopita,Kuzmyne yote karibu inaenda kwa Ukraine.
1.Hii Ramani ya Kwanza ni wiki mbili zilizopita
KREMENNA AXIS /1515 UTC 3 JAN/ West of the P-66 HWY, RU forces have attempted to stage attacks at Ploschanka. Shelling continues along the line of contact, following heavy fighting near Dibrova on 1-2 JAN. FEBA assessed to be E of Dibrova.
2.Hii ni Ramani ya wiki hii
KREMINNA AXIS /1320 UTC 16 JAN/ RU forces conducted fire missions on Kuzmyne, indicating the presence of UKR forces. The Forward Edge of the Battle Area (FEBA) is assessed to extend from the center of Kreminna in a southern direction to the banks of the Sievro-Donets River.
Mwanangu hi picha nimeiona mwezi wa tatu huu SA hivi.Kwahiyo mnataka kila HIMARS ikitumika Ukraine watangaze,kama warusi wamezijulia ilikuaje kule Makiivka air defenses zao ambazo hua unazisifu kila siku zilifanikiwa kutungua Makombora mawili Tu Kati ya 6?!
Hapohapo tukumbuke mwezi December mwanzoni Urusi walituambia wameUpdate software kwenye AD zao kwamba Kwasasa zinaweza kutungua 100% ya Makombora yote ya Himars,Ila tarehe 31 December AD hizohizo zikadaka kombora mbili tu Kati 6
END Of HIMARS? Russian Air Defenses Units Receive 'New Software' That Can Track & Knock Out US-Supplied MLRS
Hii ni kazi ambayo HIMARS imefanya January hii Tu
[emoji123][emoji1255] Destroyed Russian P-18 radar It is reported that #HIMARS was working. 3 occupants were killed on the spot, 4 more were injured #UkraineRussiaWar
#Ukraine
Russian Zoopark-1 1L219 counter-battery radar was destroyed by HIMARS missiles.
The Zoopark radar, which was extremely annoying to our artillery, was neutralized by HIMARS missiles. Army SOS
Yesterday, a unit of Wagner soldiers is being targeted inside Soledar. Magyar's recon unit led a HIMARS strike onto an enemy positions after which two dozen Wagners died.
View attachment 2484799View attachment 2484800View attachment 2484801
Una kawaida ya kuzungumza mambo mengi ya ajabu ajabu mengi unaya copy kutoka kwenye wikipedia - huna hata habari kwamba silaha nyingi za kivita zinazo milikiwa na jeshi la Ukraine nyingi zimeundwa Urusi including radars na ADS batteries notably S-300 - kichekesho ni kwamba Russia ikitumia makombora yake ya kisasa kuharibu majority ya silaha na radar za Ukraine zilizo undwa/nunuliwa Urusi kesho yake Wizara ya ulinzi ya Ukraine inazuga Duninia kwa kusambaza picha kuonyesha jinsi jeshi la Ukraine lilivyo haribu/lipuwa silaha za Urusi - usanii mtupu, wanafikia hatua hata ya kuonyesha masalia/picha kutoka kwenye archive za vita ya 2014/15 kama ndio mambo real yanayo endelea huko Ukraine. Kwa taarifa yako rada zote unazo onyeshesha hapa kwamba sijui niza Warusi huko Ukraine-hizo na propaganda za akina nyinyi na west, FYI rada hizo ziliharibiwa/lipuliwa na a no nonsense Russian anti radiation missiles dhidi ya rada karibu zote za Ukraine - ndio maana missiles karibu zote zinazo kuwa launched kutoka kwenye meli, submarines, ndege(bombers na jetsfighters) aridhini karibu zote zinafanikiwa kulipia designated targets to the letter - ujeuri na kiburi cha Senselessky anajitafutia balaa ya bure pamoja na Taifa lake - tunamkumbusha mara kwa mara hapa kwamba Russia bado ni thermonuclear super power - semeni yoyote mnayo taka - lakini kumbukeni kwamba NATO/US hawana ubavu wa kutaka kupigana vita ya vita ya moja kwa moja na Urusi - Russia maji marefu sana, hajahamua tu kuwatandika vilivyo akina Zelensky na wanao mtia kiburi na ujeuri - wakihamua tu atahama Kiev by chopper za Kimerikani kama atapona.Kwahiyo mnataka kila HIMARS ikitumika Ukraine watangaze,kama warusi wamezijulia ilikuaje kule Makiivka air defenses zao ambazo hua unazisifu kila siku zilifanikiwa kutungua Makombora mawili Tu Kati ya 6?!
Hapohapo tukumbuke mwezi December mwanzoni Urusi walituambia wameUpdate software kwenye AD zao kwamba Kwasasa zinaweza kutungua 100% ya Makombora yote ya Himars,Ila tarehe 31 December AD hizohizo zikadaka kombora mbili tu Kati 6
END Of HIMARS? Russian Air Defenses Units Receive 'New Software' That Can Track & Knock Out US-Supplied MLRS
Hii ni kazi ambayo HIMARS imefanya January hii Tu
[emoji123][emoji1255] Destroyed Russian P-18 radar It is reported that #HIMARS was working. 3 occupants were killed on the spot, 4 more were injured #UkraineRussiaWar
#Ukraine
Russian Zoopark-1 1L219 counter-battery radar was destroyed by HIMARS missiles.
The Zoopark radar, which was extremely annoying to our artillery, was neutralized by HIMARS missiles. Army SOS
Yesterday, a unit of Wagner soldiers is being targeted inside Soledar. Magyar's recon unit led a HIMARS strike onto an enemy positions after which two dozen Wagners died.
View attachment 2484799View attachment 2484800View attachment 2484801
Comred unaweza kutusaidia ramani ya hivi karibuni ikionyesha position ya vikosi vya kirusi na Ukraine around BakhmutHii ni january 15.sasa wewe sijui unachukua chanzo gani mwenzetu[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2484895
Kipindi kile Urusi ilikua imejikamilisha Kwa mavifaa yote,si ndege si Makombora si AD si mavifaru si ma APC lakini ikashindwa kuichukua,wakati huo Ukraine ikiwa dhaifu walichokua wanafanya ni kuretreat tu.
Kua na wanajeshi wengi ambao hawana vifaa muhimu hakukuhakikishii ushndi ingekua hivyo waarabu wangekua washaifuta Israel Kwa uso wa Dunia pale Middle east.
Kumbuka Kwasasa warusi wanachezea kichapo pale Kreminna,ikitokea Kreminna imeanguka bhas jua kuisupply Bakhmut ni shughuli maana Kreminna ni kama Supply Hub ya Urusi Kwasasa. Kreminna ikianguka Severodonetsk ijiandae. Hapo Kreminna warusi wameshaanza kupelekea reinforcement maana kuna taarifa majeshi ya Ukraine yameshaanza kuingia kwenye huo mji.
Hawezi kukujibu lolote - mambo mengi anaokotezea okotezea tu nilisha muona siku nyingi lakini nikawa nanyamaza tu.Mwanangu hi picha nimeiona mwezi wa tatu huu SA hivi.
We umeiona leo?
Ungeanza kujiheshimu Kwa kudharau kifo Cha mwenzako!!??Bro jiheshim
Patriot itatusaidiaKwamba unataka kusema nini?!
Ukraine haina AD dhidi ya ballistic missiles na heavy missiles kama Kh-22 carrier killer ndio maana wameomba AD za west kama SAMP-T na Patriot zenye uwezo wa kutungua Makombora kama hayo.
Anachekesha sana huyo jamaa.yani ufike kremina pasipo kumiliki Dibrova.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]L
Urusi [emoji635] haina vifaa gani vya muhimu?
Lete ushaidi kwamba AFU wameanza kuingia kreminna
Wewe kumbe ndio maana hua unatuletea habari za February,yaani Leo unazungumzia habari za Dibrova wakati sehemu kubwa ipo chini ya Ukraine tangu wiki mbili ziliyopita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umerishwa matango pori[emoji1787][emoji1787][emoji1787].sio kila sehemu basi unapata taarifa ya kweli kuna vyanzo vya kuaminika.hiyo ni january 14View attachment 2484880
Kama hujui maana ya mafanikio basi naomba tuishie hapa[emoji106]Mafanikio kwa maana ipi?
Hivi unajua toka 2014 Ukraine imepewa vifaa kuasi gani na pesa kiasi gani? Sijui unazungumzia vifaa gani kwa sasa?Hizo ground forces bila vifaa dhabiti wanashikaje hiyo miji,au Kwa sala?!
Wewe unadhani kwanini Ukraine inaomba ipewe vifaru,APC,Stingers,ATGM Kwa ajili ya wanajeshi wake wa ardhini?!
Leta hapa ushahidi,ukinipa ushahidi najipiga ban Jf mpaka mwezi ujao.Mwanangu hi picha nimeiona mwezi wa tatu huu SA hivi.
We umeiona leo?
Hizo ramani zako za mchongo tulishazichoka Wala hazina uhalisia wowote..,hebu Tafta ushaidi mwingine [emoji848]Hii ni january 15.sasa wewe sijui unachukua chanzo gani mwenzetu[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2484895
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ya kwako ni january 7.mimi nakupa iyo january 15.usikurupuke tu ovyo bro.utakuwa kupata aibu.tafuta vyanzo sahihi vya habari kisha ndo ulete humuWewe kumbe ndio maana hua unatuletea habari za February,yaani Leo unazungumzia habari za Dibrova wakati sehemu kubwa ipo chini ya Ukraine tangu wiki mbili ziliyopita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Several takeaways from this tank battle:
1. RU-tanks came from east and not south, same when they were retreating
2. The tank battle is inconclusive. Russian tank in the end even using smoke screen while retreating
3. Very stark sign that Dibrova is confirmed Ukrainian control.
Watu wapo Kuzmyne wewe unaleta habari za Dibrova Leo,sehemu kubwa ya Dibrova ipo chini ya Ukraine na sasa Ukraine wapo hapo Kuzmyne. Russia kapeleka reinforcement,mpaka mwezi ujao kutakua na habari NJEMA hapo Kreminna.
Nakuhakikishia hakuna ADninayoweza kutungua Kh-22Kwamba unataka kusema nini?!
Ukraine haina AD dhidi ya ballistic missiles na heavy missiles kama Kh-22 carrier killer ndio maana wameomba AD za west kama SAMP-T na Patriot zenye uwezo wa kutungua Makombora kama hayo.
Kwa sababu swali lako ni Pana nikisema niandike hutaelewa.Kama hujui maana ya mafanikio basi naomba tuishie hapa[emoji106]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app