Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
MKUU una matatizo ganiAssad wamtoe ili iweje, kwanini unalazimisha wamtoe. Na level za geopolitics za Russia ni kufanya uvamizi tu na kupigana vita, hakuna kitu cha maana Russia wanaweza fanya kwenye nchi. Hawafanyi investments wala kuongeza trade wala kusaidia kilimo, technology wala elimu. Hata wakija kwenye mikutano na nchi za Afrika agenda zao ni zilezile kuongeza ushirikiano wa kijeshi wauze silaha.
Hiyo ndiyo level ya nchi isiyo top 10 of the greatest economies in the world. Sasa hawa wengine kina UK wanaweza tumia ushawishi aina nyingine tofauti na jeshi hivyo hawalazimiki kila siku kupigana kama Russia. Na UK pale Argentina alienda kwa kuvamiwa, kama unataka kumpima mvamie tena.
Miaka ya 90s si USSR ilivunjika, Russia ikaanza na uchumi mbovu na constitutional crisis, Russia wakapigana wenyewe na Chechnia yao, muda huo UK wanakula maisha. Huo muda hatuwezi linganisha Russia iliyokuwa kwenye migogoro na UK. 2000s wakaufyata, 2008 wakavamia Georgia, 2017 nadhani ndio walienda Syria. 2014 wakachukua Crimea, wakajiona wababe wa dunia. 2022 wakafundishwa adabu hadi leo. Mwanzoni mlianza na mikwara nchi itakayopeleka silaha inapigwa, leo mnalalamika Ukraine inapata silaha. Si superpower nyie, wapigeni hao wanaopeleka silaha
Acheni kupopoma vijana....Mimi sio shabiki wa Ukraine wala Russia lakini ukisema Russia ni hakuna kitu jitafakari...eti hawafanyi investment...hivi unaelewa unachokiandika au ?Assad wamtoe ili iweje, kwanini unalazimisha wamtoe. Na level za geopolitics za Russia ni kufanya uvamizi tu na kupigana vita, hakuna kitu cha maana Russia wanaweza fanya kwenye nchi. Hawafanyi investments wala kuongeza trade wala kusaidia kilimo, technology wala elimu. Hata wakija kwenye mikutano na nchi za Afrika agenda zao ni zilezile kuongeza ushirikiano wa kijeshi wauze silaha.
Hiyo ndiyo level ya nchi isiyo top 10 of the greatest economies in the world. Sasa hawa wengine kina UK wanaweza tumia ushawishi aina nyingine tofauti na jeshi hivyo hawalazimiki kila siku kupigana kama Russia. Na UK pale Argentina alienda kwa kuvamiwa, kama unataka kumpima mvamie tena.
Miaka ya 90s si USSR ilivunjika, Russia ikaanza na uchumi mbovu na constitutional crisis, Russia wakapigana wenyewe na Chechnia yao, muda huo UK wanakula maisha. Huo muda hatuwezi linganisha Russia iliyokuwa kwenye migogoro na UK. 2000s wakaufyata, 2008 wakavamia Georgia, 2017 nadhani ndio walienda Syria. 2014 wakachukua Crimea, wakajiona wababe wa dunia. 2022 wakafundishwa adabu hadi leo. Mwanzoni mlianza na mikwara nchi itakayopeleka silaha inapigwa, leo mnalalamika Ukraine inapata silaha. Si superpower nyie, wapigeni hao wanaopeleka silaha
Huyu mwamba ndio maana ninamwambia yeye ni kilaza yeye ana jiona anajua kumbe debe tupuMKUU una matatizo gani
ASSAD Must Go haya maneno siku yasema mie wala sikumwambia RAIS wa US ayatamke haya wakati wamepeleka majeshi SYRIA ila hatimae aameondoka wao na ASSAD yupo pale pale mpaka leo
Mie sio nliotaka wao wenyewe ndio walitaka maana wote walisema ili SYRIA iwe kwenye mikono salama basi ASSAD must GO ila mpaka leo yupo madarakani kwakua waltaka aondoke nahawakumwondoa basi walichemka
Sasa unasema RUSSIA hana analoleta zaidi silaha kila mmoja Analeta anachoona kinampa faida kama mchina analeta mpaka electronic devices basi acha RUSSIA alete kinachofaa kwake maadam kina maslahi kwake
Usilolijua RUSSIA alikua mpaka kwenye g8 mataifa matajiri zaidi duniani kiuchumi taja sababu za KIUCHUMI zilizoitoa RUSSIA hapo
Mgogoro wakikatiba hata huko UK wanapokataa ireland kujitenga upo ila wanatumia mabavu kuzuia hilo
Hata RUSSIA hakupeleka silaha alipeleka jeshi kabisa ambalo lilizuia ASSAD asiondoke na kweli hakuondoka kama wao walikua wanajiamini wangeshambulia majeshi ya RUSSIA
Mwisho kwasasa RUSSI kwenye idara yaushawishi yupo mbele sana dhidi ya UK mfano hii vita nakupanda gharama za maisha lawama zote juu ya RUSSIA nato na UK wamepigana vita ngapi na hukuona haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Tushangae wote MKUUAcheni kupopoma vijana....Mimi sio shabiki wa Ukraine wala Russia lakini ukisema Russia ni hakuna kitu jitafakari...eti hawafanyi investment...hivi unaelewa unachokiandika au ?
Mmeelewa nn Hapo?View attachment 2484780
Hivi ww jamaa una akili kweli yaani pamoja na maelezo yote bado umejizima data?Taliban gani iliishinda Uingereza. Sasa Russia haiwezi kuipiga Ukraine hao NATO itawaweza wapi
Mbona hiyo hiyo Uingereza haikuishinda Talban baada kuitembelea maelfu ya kilomita kuwafuata nchini Afghanistan?
Kulinganisha vita ya Ukraine na vita za huko nyuma ndo upumbavu ambao tunaukataa lakini mmekuwa mkijizima data.
Kabla hujalinganisha vita ya Argentina na Uingereza na vita ya Ukraine unaweza kunitajia ni msaada gani wa silaha alio kuwa ana upokea Argentina kama ilivyo kwa Ukraine sasa hivi?
Kinacho fanya vita ya Ukraine kuwa ndefu sio kwa sababu Ukraine ina nguvu au Urusi ni dhaifu bali ni usambazaji wa silaha za nchi za magharibi kwa Ukraine.
Mpaka sasa tangu vita ianze Ukraine imesha zambaziwa silaha zenye thamani ya $75 bilion ambazo ni sawa na bajeti ya ulinzi ya Ufaransa , Uturuki na Israel kwa kuziunganisha kwa pamoja lakini bado hazijafua dafu sasa hivi wana taka kutuma kifurushi kingine.
Kwa msaada wa namna hiyo hata kama ingekuwa Tz au Burundi tungeweza kupambana na taifa lolote lile duniani.
Ukraine kwa sasa ni sawa na mgonjwa mahututi asiye jiweza kwa lolote ambaye hawezi kuishi bila msaada wa mashine ya kupumua ina maana Ukraine anategemea silaha za wamagharibi ili aweze kuendelea na vita tofauti na hapo Ukraine haijiwezi kwa lolote kwa sasa.
Nchi zaidi ya 50 zimeungana kupambana na taifa moja kiuchumi na kijeshi na bado kiuchumi zimesha shindwa na kijeshi ni suala la muda.
Sasa kama walikuwa hawataki akolewe silaha za mabilion ya $ walikuwa wanapeleka kwenda kuchezea rede au?Assad wamtoe ili iweje, kwanini unalazimisha wamtoe. Na level za geopolitics za Russia ni kufanya uvamizi tu na kupigana vita, hakuna kitu cha maana Russia wanaweza fanya kwenye nchi. Hawafanyi investments wala kuongeza trade wala kusaidia kilimo, technology wala elimu. Hata wakija kwenye mikutano na nchi za Afrika agenda zao ni zilezile kuongeza ushirikiano wa kijeshi wauze silaha.
Hiyo ndiyo level ya nchi isiyo top 10 of the greatest economies in the world. Sasa hawa wengine kina UK wanaweza tumia ushawishi aina nyingine tofauti na jeshi hivyo hawalazimiki kila siku kupigana kama Russia. Na UK pale Argentina alienda kwa kuvamiwa, kama unataka kumpima mvamie tena.
Miaka ya 90s si USSR ilivunjika, Russia ikaanza na uchumi mbovu na constitutional crisis, Russia wakapigana wenyewe na Chechnia yao, muda huo UK wanakula maisha. Huo muda hatuwezi linganisha Russia iliyokuwa kwenye migogoro na UK. 2000s wakaufyata, 2008 wakavamia Georgia, 2017 nadhani ndio walienda Syria. 2014 wakachukua Crimea, wakajiona wababe wa dunia. 2022 wakafundishwa adabu hadi leo. Mwanzoni mlianza na mikwara nchi itakayopeleka silaha inapigwa, leo mnalalamika Ukraine inapata silaha. Si superpower nyie, wapigeni hao wanaopeleka silaha
MKUU Naomba unitag atakapopangua hizi hoja mana jamaa kaniangushia jumba bovu kanakwamba mimi ndio nlitaka ASSAD aondolewe vileSasa kama walikuwa hawataki akolewe silaha za mabilion ya $ walikuwa wanapeleka kwenda kuchezea rede au?
Usilete bulaabulaa hapa siyo yeye anaye razimisha Asad atolewe bali ni hao hao wamagharibi waliokuwa wanarazimisha atolewe ila wakashindwa mpaka walianzisha na msemo wao wa Asad must go na wakaunda ushirika wa mataifa mengi na kujiita marafiki wa kweli wa Syria.
Aya tuachane na Syria vipi kuhusu Venezuela ambapo mpaka walimtangaza raisi wao ?
Sawa kabisa ila Nilidhani umesahau kumkumbusha pia suala la vikwazo lakini Naona hapo mwisho umeweka!Mbona hiyo hiyo Uingereza haikuishinda Talban baada kuitembelea maelfu ya kilomita kuwafuata nchini Afghanistan?
Kulinganisha vita ya Ukraine na vita za huko nyuma ndo upumbavu ambao tunaukataa lakini mmekuwa mkijizima data.
Kabla hujalinganisha vita ya Argentina na Uingereza na vita ya Ukraine unaweza kunitajia ni msaada gani wa silaha alio kuwa ana upokea Argentina kama ilivyo kwa Ukraine sasa hivi?
Kinacho fanya vita ya Ukraine kuwa ndefu sio kwa sababu Ukraine ina nguvu au Urusi ni dhaifu bali ni usambazaji wa silaha za nchi za magharibi kwa Ukraine.
Mpaka sasa tangu vita ianze Ukraine imesha zambaziwa silaha zenye thamani ya $75 bilion ambazo ni sawa na bajeti ya ulinzi ya Ufaransa , Uturuki na Israel kwa kuziunganisha kwa pamoja lakini bado hazijafua dafu sasa hivi wana taka kutuma kifurushi kingine.
Kwa msaada wa namna hiyo hata kama ingekuwa Tz au Burundi tungeweza kupambana na taifa lolote lile duniani.
Ukraine kwa sasa ni sawa na mgonjwa mahututi asiye jiweza kwa lolote ambaye hawezi kuishi bila msaada wa mashine ya kupumua ina maana Ukraine anategemea silaha za wamagharibi ili aweze kuendelea na vita tofauti na hapo Ukraine haijiwezi kwa lolote kwa sasa.
Nchi zaidi ya 50 zimeungana kupambana na taifa moja kiuchumi na kijeshi na bado kiuchumi zimesha shindwa na kijeshi ni suala la muda.
Taliban gani iliishinda Uingereza. Sasa Russia haiwezi kuipiga Ukraine hao NATO itawaweza wapi
Huyo Mzee unayemjibu anazeeka vibaya.... Andiko reefu kachanganya mambo kama kachumbari kwenye andiko lake mbaya zaidi kachumbari yenyewe Katia Nazi badala ya Ndimu/limao halieleweki Nini ladha yake hovyo kabisa. Abaki tu na machumachuma yakeSawa ni Maoni yako lakini hayana mtiririko unaotizamia kufikisha ujumbe mmoja. Hata kama ni maoni yako ndio utupangilie shagalabagala namna hii!? What is your point!?
"Vladimir Putin ni somehow autocrat na kawaida yao huwa hawataki mtu popular zaidi yao
Putin hakuwa best candidate kuwa Rais wa Urusi
Chubais ni kiongozi mzuri ana reputation duniani
Yumanshev ndio alimpendekeza Putin awe mrithi na Yeltsin akakubali baada ya kujadiliana na watu wake wa karibu na wao kushawishika
Yeltsin alikuwa na possible candidates wake ni Boris Nemtsov, sergei Stepashin na Nikolai Aksenenko.
Jeshi halikupenda kabisa lilimjua alivyo
Putin anawaamini hawa watu wawili
Na kitendo cha Shoigu na Gerasimov kupendekeza Surovikin atoke kisha Gerasimov aongoze operation mwenyewe
Wagner wamechukia.
Prigozhin haziivi sana na General Gerasimov na Shoigu"
- Haya sio maoni ni madai. Una ushahidi!? Mafano, Unaweza kututhibitishia kwamba Prigozin na Shoigu na Gerasimov haziivi!?
Hao jamaa wengi hawana akili....yaani wanaongea vitu hadi mtu unabaki kushangaa..wamegeuza hii vita imekuwa ya kishabiki, hata kama ni kama mtu hauna source za ndani sana hebu basi angalia hata Al geezira tu halafu chambua kidogo kinachotaarifiwa... yaani uone Ukraine ilivyoumia, uone majeshi ya Urusi yanavyousakama kwa sasa mji wa Bakhumut baada ya kumaliza kuuvuruga Soledar...wanaeleza kabisa kwamba kwa sasa jamaa wanapiga maeneo ya msingi ili kukata movement za majeshi ya Ukraine ili wauteke mji wa Donbas...Hivi ww jamaa una akili kweli yaani pamoja na maelezo yote bado umejizima data?
Nimesha kwambia Ukraine kama Ukraine kwa sasa hana lolote kinacho mfanya aendelee kusavave ni misaada ya silaha anazo pokea kutoka huko huko NATO kwa maana hiyo NATO inapigana vita ya Uwakala na Urusi ina maana tiyari Urusi iko vitani na Nato japo sio rasimi.
Hiyo misaada anayo pewa Ukraine angepewa Iraq kipindi inavamiwa na Marekani wenda mpaka sasa Sadam angekuwa Madarakani.
Umeniuliza swali la kipumbavu sana,mbona hujajiuliza inakuwaje Marekani aliye shinda vita dhidi ya taifa kubwa kama Japan badae ilikuja kushindwa vita tena vibaya sana na Kijitaifa kidogo na masikini kama Vietnam?
Mbona ujiulizi ilikuwaje Usoviet aliye shinda vita dhidi ya Ujerumani ya Hitra iliyo kuwa inatisha badae ilikuja kushindwa vita na kikundi cha mujahideen cha nchini Afghanistan? Hata kama ni ushabiki msiwe mna jitoa akili kiasi hicho.
Jana mkuu wa jeshi la Uingereza alikiri kuwa jeshi la Uingereza limedhoofika kwa sababu ya kupeleka silaha Ukraine na sio Uingereza tu vinchi vya vingi vya Ulaya mashariki maghara yao tiyari ni matupu sasa sijui kati yako na huyo jenerali wa kiingereza tumsikilize nani.
Hivi ww jamaa una akili kweli yaani pamoja na maelezo yote bado umejizima data?

Yaani vijana wanshindwa kutambua ukweli ni upi na uongo ni upi. Russia ni taifa kubwa sana. Lakini ukiwaeleza wanabaki kutoa pumba tu...Tushangae wote MKUU
Kuna watu wanaiona RUSSIA kama kenya au uganda
Ila wanasahau kama RUSSIA ni DUDE fulani kuubwa sana hapa DUNIANI kwenye angle zote KISIASA KIUCHUMI KIJESHI nk
Ila tuyaheshimu maoni yao MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Boya kweli huyu mtu kanywa supu ya bendera za marekani na ukraine
Sasa hadithi yako inatufundisha nini?
Jitahidi sana watu wasijue kwamba wewe ni mpumbavu
Sema na wewe kilaza mmoja ambae unajidai unaelewa mambo kumbe wapi kuna mda inabidi unyamaze mkuu unajichoresha sana
Hoja inapingwa kwa hoja ndivyo mijadala inaendeshwa...Hakuna unachokijua.ni bora unyamaze tu, unazidi kujizalilisha
Russia ni nchi kubwa wakati anatolewa kamasi na kataifa kadogo hambako hakafiki hata size ya mkoa wake??Yaani vijana wanshindwa kutambua ukweli ni upi na uongo ni upi. Russia ni taifa kubwa sana. Lakini ukiwaeleza wanabaki kutoa pumba tu...
Kama kweli vijana wa taifa hili na haya ndio mawazo Yao, tunasafari ndefu sana ya ukombozi wa taifa hili kimaendeleo. Tutateseka sana. Wenzetu wengine wa east Africa watatupiga bao sana.