pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Tuwahurumie watu wanaouawa bila sababu yoyote ndugu!Yeye akivamia wanasema anataka kuleta demokrasia Urusi ikifanya ooh ni Udikteta [emoji1787][emoji1787] Pro-America wanashida Sana mkuu
Chanceller yupi unamzungumzia wewe. Markel kwani bado ni pm huko ujerumani? Hii taarifa yako itakuwa ya zamani sana.Kansela wa Ujeremuni Angela Merkel amesisitiza kuwa hakuna suluhisho lolote la kijeshi katika mzozo wa majini kati ya Ukraine na Urusi katika pwani ya Crimea.
Jumapili iliyopita, wanajeshi wa Urusi ilipiga risasi manuari tatu za Ukraine ambazo zilikuwa safarni kuelekea kwenye lango la bahari ya Azov, na kuwakamata wafanyakazi wa manuari hizo.
i mierkel ameilaumu Urusi kwa mzozo huo, lakini akasema kwamba unaweza kutatuliwa kupitia "majadiliano ya wazi".
Merkel amezungumza hayo akiwa pamoja na Waziri Mkuu wa Ukraine, Volodymyr Groysman kwenye kongamano la kibiashara lililofanyika mjini Berlin.
Unaweza tazama hapa yanayojili sasa
Impossiblekinacho fuata ni kuondoa serikali ya Ukraine madarakani na kuweka serikali nyingine tiifu
Mungu atutetee ktk hii vita, maana ikitokea NATO kujihusisha tu kuipiga Russia, basi China, North Korea, Iran ambapo hizo nchi zote ziko vizuri kijeshi, kiteknolojia, kijasusi na kiuchumi zitamuunga mkono Russia zikilenga kuiangusha dola ya USA inayosapotiwa na France, UK, German n.k.Unadhani hii ni kama playstation ukichoka unaweka pause na ukikosea una-repeat au kutumia lives zako zilizobaki...
The Stakes are high; Na NATO sio kwamba wanawapenda sana Ukraine bali wanajaribu kupunguza influence ya Russia, na sio rahisi kivile NATO kuingia moja kwa moja (that will mean an all out war)....
Bado naamini Msemo wa "No One wins a War"; unless ni kama hii ambapo wanaojifanya kupigana wapo miles away with no human sacrifices...
Haaaahaaah. Halafu Fake ID madhara yake mnaweze kuwa Ofisi Moja halafu unayemtukana ni Mkuu wako wa department. Kila ninapoona Post zako naona zina test fulani na jamaa hapa ofisini. Naendelea kuku zoom ifike hata 60% nitakachofanya huyu jamaa wa ofisini nitamhamishia sehemu network shida na usipoonekana humu nita conclude ni wewe.Mbupu kola.🤣
Russia ni kidume cha dunia kama hujui.
In the age of Nuclear Capabilities hakuna Kidume wa Dunia kuna wajitoa muhanga na Dare Devils...
Kuna hatari za Uchumi; Politics na Annihilation of the Word kama watu watatumie weapons of mass destruction
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]au tu eti zanzibar ikaamka siku moja asubuhi ikatuambia inaanzisha uhusiano wa kidugu na alqaeda/isis au taliban. hebu fikiria tutaamua nini kama sio kuufanya mkoa mmoja wapo wa Tanganyika republic
Hakuna mshindi kwenye Nukes. Hapo wote mpaka huku tutakuwa looser.Kwani yeye hajui kwamba this is the nuclear weapons era??, hajui kwamba some of NATO members are Nuke capable??-- wewe hujiulizi kwanini arisk nchi na watu wake kupambana na NATO??.
Vita ya Nukes vikipiganwa Russia anayo nafasi kubwa kuibuka kidedea japo definitely atakuwa affected.
unajua tatizo la Nuclear War ? Sio kwamba Napiga na wewe unanipiga alafu tunasahau..., Mpaka leo kuna sehemu Amarica bado kuna mabaki ya contamination yaliyotokea wakati wa testing ya Atomic Bomb..., waulize Japan mpaka leo athari za yale mabomu....Kwani yeye hajui kwamba this is the nuclear weapons era??, hajui kwamba some of NATO members are Nuke capable??-- wewe hujiulizi kwanini arisk nchi na watu wake kupambana na NATO??.
Vita ya Nukes vikipiganwa Russia anayo nafasi kubwa kuibuka kidedea japo definitely atakuwa affected.
Teh..teh..teh...Russia wahuni kweli, eti Russia haibadilibadili msimamo wake kama mtoto wa kike (msichana)!Russian FM Lavrov says Moscow wants:
- Our expectations of Kyiv remain the same, Russia doesn’t change its position “like a girl”
- We want to 'free Ukraine from oppression'
- President Putin will hold several int phone calls
- We want to ensure demilitarisation of Ukraine https://t.co/AT8CWuePp8
Putin anasoma jicho la mtu huko na amesema yeyote atakaetia matendegu nae marinda yanatatuliwa watu wooote vilobonga kimyaaa.Mbupu kola.🤣
Russia ni kidume cha dunia kama hujui.