LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kansela wa Ujeremuni Angela Merkel amesisitiza kuwa hakuna suluhisho lolote la kijeshi katika mzozo wa majini kati ya Ukraine na Urusi katika pwani ya Crimea.

Jumapili iliyopita, wanajeshi wa Urusi ilipiga risasi manuari tatu za Ukraine ambazo zilikuwa safarni kuelekea kwenye lango la bahari ya Azov, na kuwakamata wafanyakazi wa manuari hizo.

i mierkel ameilaumu Urusi kwa mzozo huo, lakini akasema kwamba unaweza kutatuliwa kupitia "majadiliano ya wazi".
Merkel amezungumza hayo akiwa pamoja na Waziri Mkuu wa Ukraine, Volodymyr Groysman kwenye kongamano la kibiashara lililofanyika mjini Berlin.

Unaweza tazama hapa yanayojili sasa

Chanceller yupi unamzungumzia wewe. Markel kwani bado ni pm huko ujerumani? Hii taarifa yako itakuwa ya zamani sana.
 
Unadhani hii ni kama playstation ukichoka unaweka pause na ukikosea una-repeat au kutumia lives zako zilizobaki...

The Stakes are high; Na NATO sio kwamba wanawapenda sana Ukraine bali wanajaribu kupunguza influence ya Russia, na sio rahisi kivile NATO kuingia moja kwa moja (that will mean an all out war)....

Bado naamini Msemo wa "No One wins a War"; unless ni kama hii ambapo wanaojifanya kupigana wapo miles away with no human sacrifices...
Mungu atutetee ktk hii vita, maana ikitokea NATO kujihusisha tu kuipiga Russia, basi China, North Korea, Iran ambapo hizo nchi zote ziko vizuri kijeshi, kiteknolojia, kijasusi na kiuchumi zitamuunga mkono Russia zikilenga kuiangusha dola ya USA inayosapotiwa na France, UK, German n.k.

Bila shaka itakuwa WW III na hakutakuwa na kusalimika kwa namna yoyote ile kwa nchi zingine duniani kuathirika kiuchumi, kibiashara, kidiplomasia, kimaendeleo ktk afya n.k.
 
European benchmark nat gas TTF falls ~20% early on Friday as Russian gas flows into the EU (via Ukraine) surge. European utilities are asking Gazprom to ship more gas, and the Russian state-owned giant is happy to oblige. Capitalism in times of war | #Ukraine #UkraineInvasion
 
Mbupu kola.🤣

Russia ni kidume cha dunia kama hujui.
Haaaahaaah. Halafu Fake ID madhara yake mnaweze kuwa Ofisi Moja halafu unayemtukana ni Mkuu wako wa department. Kila ninapoona Post zako naona zina test fulani na jamaa hapa ofisini. Naendelea kuku zoom ifike hata 60% nitakachofanya huyu jamaa wa ofisini nitamhamishia sehemu network shida na usipoonekana humu nita conclude ni wewe.
 
In the age of Nuclear Capabilities hakuna Kidume wa Dunia kuna wajitoa muhanga na Dare Devils...

Kuna hatari za Uchumi; Politics na Annihilation of the Word kama watu watatumie weapons of mass destruction


Kwani yeye hajui kwamba this is the nuclear weapons era??, hajui kwamba some of NATO members are Nuke capable??-- wewe hujiulizi kwanini arisk nchi na watu wake kupambana na NATO??.

Vita ya Nukes vikipiganwa Russia anayo nafasi kubwa kuibuka kidedea japo definitely atakuwa affected.
 
Nadhani USA ameshashinda tayari. Alitaka Russia ampige Eukrain na akampa sababu ili vikwazo vitoke bila kujali damu zinazomwagika. 😕😕
 
Kwani yeye hajui kwamba this is the nuclear weapons era??, hajui kwamba some of NATO members are Nuke capable??-- wewe hujiulizi kwanini arisk nchi na watu wake kupambana na NATO??.

Vita ya Nukes vikipiganwa Russia anayo nafasi kubwa kuibuka kidedea japo definitely atakuwa affected.
Hakuna mshindi kwenye Nukes. Hapo wote mpaka huku tutakuwa looser.
 
Kuna mamluki kutoka uarabuni tunawaandaa kuwaingiza Ukraine wakamalize hilo suala
 
Putin Jasusi Mbobezi kama Mh. Bernard Membe , amesha ithibitishia dunia ya kwamba yeye ndiye mbabe kwa sasa.

Hivyo Marekani ni kama CCM tu mbele ya Chadema! Yaani mwanamke hawezi kupigana na mwanaume kirahisi tu. Labda akuvizie na kuzikamata zile nanihii (kwa Marekani ni vikwazo dhidi ya Russia), hapo atashinda.
 
Kwani yeye hajui kwamba this is the nuclear weapons era??, hajui kwamba some of NATO members are Nuke capable??-- wewe hujiulizi kwanini arisk nchi na watu wake kupambana na NATO??.

Vita ya Nukes vikipiganwa Russia anayo nafasi kubwa kuibuka kidedea japo definitely atakuwa affected.
unajua tatizo la Nuclear War ? Sio kwamba Napiga na wewe unanipiga alafu tunasahau..., Mpaka leo kuna sehemu Amarica bado kuna mabaki ya contamination yaliyotokea wakati wa testing ya Atomic Bomb..., waulize Japan mpaka leo athari za yale mabomu....

Hii kitu inaweza kuteketeza mji mzima na mabaki yake kuendelea kusambaa karne hadi karne..., Hizo weapons ni ngumu mtu kuzitumia imebaki tu kama ya kujilinda na kutishia watu kwamba msiniguse mkinigusa nitakinukisha....

Russia sio mjinga NATO akiingia Ukraine na kwa Siasa zao na propanganda ni kama kumkaribisha mchawi jikoni kwako.. (kwahio strategically this move was always coming from Russia)
 
Russian FM Lavrov says Moscow wants:

  • Our expectations of Kyiv remain the same, Russia doesn’t change its position “like a girl”
  • We want to 'free Ukraine from oppression'
  • President Putin will hold several int phone calls
  • We want to ensure demilitarisation of Ukraine https://t.co/AT8CWuePp8
Teh..teh..teh...Russia wahuni kweli, eti Russia haibadilibadili msimamo wake kama mtoto wa kike (msichana)!

Any way, tayari rais wa Ukraine kaomba kuzungumza na Putin juu ya Ukraine kutojiunga na NATO na kutoweka silaha za US na NATO kwenye ardhi ya Ukraine
 
Back
Top Bottom